fursa

  1. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Mafunzo na EACOP

    Vijana wangu, nasikitika kwamba Sina sifa za kuhudhuria hii fursa, jitahidi saana kama una umri huo na vigezo tajwa hudhuria hii training. Narudia, usiharibu bando yako kwinginee, tumia just hizo week kadhaa kufanya hizo training. Ningeruhusiwa ningehudhuria bahati mbaya umri umenitupa sana...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Inaendelea Kuangalia Fursa kwa ajili ya Kuwawezesha Wanawake Kuanzisha Vituo Mahususi vya Uwekezaji na Masoko kwa Wanawake katika Kata

    NAIBU WAZIRI EXAUD KIGAHE - SERIKALI INAANGALIA FURSA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUWEKEZA KATIKA KATA Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amesema Serikali inaendelea kuangalia fursa mbalimbali kwa ajili ya kuwawezesha wanawake kuanzisha vituo mahususi vya uwekezaji na...
  3. KingsStore

    JamiiForums Tanzania Kuwa Wakala wetu katika eneo ulilopo, tunauza simu na tablets

    Habar za wakati huu wakuu? Nashkuru kwa wote ambao mmeendelea kutuamini na kufanya kazi na sisi nimeuza simu na tablet nyingi sana humu Asanteni kwa sapoti yenu kubwa Fursa nilizo nazo kwenu wakuu 1. Unaweza kutengeneza kipato cha ziada kwa kufanya kazi na sisi yaani ukituunganisha na mteja...
  4. Tanzanite Digital Agency

    JamiiForums Tanzania Huwezi Futiwa Deni Facebook Ads (Sponsor ads) Usitapeliwe Kizembe!

    Hii ni kwa wafanyabiashara au watu wanaotangaza biashara zao kwa platform za Meta (Facebook na instagram). Kumekuwa na huduma nyingi sana haswa instagram, Kuna vijana wanatangaza huduma ya kufuta madeni ya Facebook na instagram, na wengine kucharge hadi sh. 50,000 kwa account moja. Nataka...
  5. J

    JamiiForums Tanzania TANTRADE na Ubalozi wa Hispania wakutana kuangalia fursa mbalimbali za biashara

    TANTRADE NA UBALOZI WA HISPANIA WAKUTANA KUANGALIA FURSA MBALIMBALI ZA BIASHARA _________ 24 Mei, 2023 Dar es Salaam Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Ukuzaji Biashara - Bw. Fortunatus Mhambe, Kaimu Mkurugenzi Maendeleo ya Biashara - Bw...
  6. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Fursa katika kutunza mazingira na kupunguza matumizi ya kuni na mkaa

    Mazingira ni jumla vitu vyote vinavyotuzunguka vikiwemo viumbe hai na visivyo hai.mfano wa viumbe hai ni pamoja na binadamu ,mimea na wanyama visivyo hai ni pamoja na mawe magari nyumba n.k Mazingira hayo pia yamegawanyika tena katika sehemu mbili; (1)mazingira ya vijijini (2)mazingira ya mijini...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Zitto ashauliwe, anayo fursa ya kuamua, kuzikwa pembeni ya Membe au akae kwa kutulia!

    Zitto amechanganyikiwa? Aliyoyaongea kwenye msiba wa mpendwa wetu mh Membe, yanasidifu hiki ninachosema! Aliwahi kusema kipindi cha Kifo cha Magufuli kwamba, walioumizwa sana na kifo hicho, wakazikwe pembeni yake Sasa leo tunamkumbusha tuu Haya ni marudio tu ya kile Zitto alisema pale ambapo...
  8. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi Fursa nchini Burundi zinazoweza kubadili maisha na kuongeza kipato chako

    UTANGULIZI Habari za muda huu wanajamvi,Kila mtu anahistoria yake katika safari ya utafutaji wa riziki,Wapo wenye historia za kusikitisha,kufurahisha na kuelimisha. Mwaka 2019 wakati dunia imekumbwa na mlipuko wa uviko 19,Na kupelekea kazi,Masomo na Shughuli mbalimbali kusimama.Nilipata...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Serikali inafahamu kuwa kwa kuwapatia watu wake passport kunaweza kuwahamasisha kutafuta fursa nchi zingine?

    Mwanzoni mwa mwaka huu, nilienda Mutukula kufanya manunuzi ya vitu fulani. Niliamua kuvifuata huko kwa sababu niliamini bei ni nafuu zaidi kuliko nilikokuwa. Kuna wafanyabiashara wanaofuata mizigo yao huko. Ikiwa wao wanafuata huko na kuja kutuuzia tuliko, nilijua, kwa vyo vyote, bei ingekuwa ni...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sekta Binafsi ni Nyezo muhimu katika kuibua Mipango mbalimbali ikiwemo fursa za Fedha

    SEKTA BINAFSI NI NYENZO KATIKA KUIBUA MIPANGO NA FURSA ZA KIFEDHA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesema ushiriki wa sekta binafsi chini ya ubia kati ya serikali ni nyezo muhimu katika kuibua mipango mbalimbali ikiwemo fursa za fedha za kugharamia...
  11. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Fursa gani ipo kwenye Halmashauri uliyopo?

    Aisee maisha yalinipiga wadau miaka kadhaa iliyopita, nilikuwa Dar kwa kipindi kirefu hela nilikuwa nashika lakini ni Kama nawatafutia watu. Kodi ya nyumba, nauli za daladala kila siku, kifungua kinywa, chamcha na chajio, kubet (sababu ya msongo), kodi ya taka, hela ya ulinzi shirikishi Ankara...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Michikichi fursa inayoweza kuwatoa kimaisha wakulima wengi

    Licha ya Tanzania kuwa na hali ya hewa inayoruhusu uzalishaji wa zao la michikichi, uzalishaji wake uko chini ukilinganishwa na nchi zianzozalisha kwa wingi kama vile Malaysia na Indonesia. Ni kwa sababu hii Tanzania hujikuta ikiagiza karibu tani 400,000 za mafuta ya mawese ili kukidhi mahitaji...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kichaa haachiwi fursa ya kufanya maangamizi-Ndugu Bernard Membe ziba masikioni, Mahakama iheshimiwe stay firm.

    Hello JF readers and family. Wazandiki na wanafiki ni wauaji, wakati hao wahuni na wadhenzi wakiandika mengi sana kuhusu senior na historical figure na more specifically a gallant and long serving stateman B. Membe, we didn't hear and see them trying hard and wisely to advise Magufuli and his...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kama ningepata fursa leo ya kuonana na Rais ningemwambia yafuatayo

    Kama siku ya leo ningepata bahati ya kuonana na Mhe. Rais na kupata fursa ya kuzungumza naye, ningemwambia yafuatayo: Kwanza, ningemshukuru kwa kutoa ajira nyingi sana kwenye kada ya Afya na Ualimu lakini panatakiwa pawepo na mchakato rasmi ili kuondoa upendeleo. Ningemshauri pawepo hata na...
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mwanamke, Ukipata fursa usiiache kisa mwanaume uliyenaye

    Wanawake ukipata fursa yoyote kwenye maisha yako usiiache eti kisa kuogopa mwanaume au kuwaza kuwa mbali na huyo mwanaume. Wanawake jifunzeni kujiweka wa kwanza kwenye kila kitu kwani hao wanaume hujiweka wao wa kwanza kabla yenu. Ikitokea mwanaume kapata fursa labda ya kusoma au kazi mbali na...
  16. Undava King

    JamiiForums Tanzania Je, kuna haja sasa kwa Serikali kuajiri waonaji fursa?

    Tuna tatizo kubwa la kuziona fursa na kuzitumia si Serikali tu bali na Watu wake pia. Wananchi wanaitegemea serikali itengeneze fursa hili vijana na watu wote wenye uwezo au sifa za kuajiriwa na kujiajiri waweze kufanya kazi kwa mustakabali wa maisha yao na ustawi wa taifa. Cha ajabu level ya...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Vijana Tutumie Fursa za Asili Zilizopo Kwenye Kata Zetu

    MBUNGE NGASSA: "VIJANA TUTUMIE FURSA ZA ASILI ZILIZOPO KWENYE KATA ZETU" "...Vijana wenzagu nimerudi Jimboni kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri yetu, nilipokuwa naelekea Halmashauri Viongozi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya wakaniambia kuna...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Rorya asema wana Rorya tuchangamkie fursa kupitia Ziwa Victoria

    Wakazi wa Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazotokana na uwepo wa Ziwa Victoria unaouzunguka wilaya hiyo kwa asilimia 77. Akizundua tawi la Benki ya CRDB eneo la mji mdogo wa Shirati leo Jumatano Aprili 5, 2023, Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka...
  19. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania The most profitable business idea (ufugaji samaki)

    Habari zenu wakuu Kwanini na amini biashara ya ufugaji samaki ni fursa nzuri kwa mtu anayetaka kuwekeza? Ni kwa sababu kuna upungufu mkubwa wa samaki kwenye vyanzo vya asili vya maji, wakati huo huo kuna ongezeko kubwa la idadi ya watu Duniani. Idadi ya watu duniani inaendelea kuongezeka...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kodi kubwa zinawanyima fursa Watanzania kumiliki Simu bora na za Kisasa

    Tanzania ina kiwango kikubwa cha kodi na ushuru inaotoza kwenye simu za mkononi ikilinganishwa na mataifa mengine duniani. Viwango hivyo vinaelezwa kuwa juu kuliko mataifa mengi ya kusini mwa Jangwa la Sahara, Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika, Ulaya, Asia hata Amerika Kusini, hatua...
Back
Top Bottom