Miundombinu ya mjini inachangia sana fursa ya kuzini; kijijini zinaa inafanyika kwa shida sana; Hapa ndipo nguvu za kiume na kike zinapopotelea

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Mjini ukitaka kuzini ni wewe tu na pesa yako; lodge kila kona lakini pia maisha yakupanga yanakuruhusu kuzini kila unapojisikia. Hii ni sababu kubwa ya wanaume wa mjini kuona tendo la zinaa ziyo tatizo na kubweteka.

Kijijini kuzini hadi uoe au uishi kwenye vichaka; la sivyo ukiwa sehemu ambayo hakuna vichaka unaweza maliza miezi hata sita unapanga na mpenzi wako kwenda kuzini. Kama ukitumia mazingira ya nje yaani vichaka maana yake hisia zako zinakuwa more effective na mbegu nyingi uzaliwa. Usipotumia kinga hata kama mpenzi hayupo kwenye mzunguko lazima tu shauku utapelekea mzunguko ubadilike na hapo ndipo tendo moja uzaa mimba.

Ukitaka kufanya majaribio ya utafiti huu ondoka huko mjini uje kijijini; ukikaa wiki tu kila mwanamke unamwona mzuri. Same applies kwa wanawake .

Lakini pia hata ukiwa na mpenzi wako wa siku zote mkaenda kijijini shamba huko ufanisi wenu utakuwa juu na utajiuliza hizi nguvu za kiume katoa wapi? Amezitoa kwenye scarcity yaani kuviziana.

Wenzetu wazungu wanatumia sana hizi mbinu kurejesha mahusiano; wanatenga muda wakuja Afrika huku likizo wanafanya na ziada.

Karibuni kijijini kukwepa upungufu wa nguvu za kiume na kike. Hata wafu wenye fedha, jengeni kijijini ndoa zenu zitadumu......ukiona mpenzi wako anaanza kuleta maomvi unamleta bush huku mnakula mahindi ya kuchoma na mlenda....atakushukuru kwa huduma
 
Sioni sababu ya mwanaume kuzini wa shida.

mapenzi ni starehe.. yanapaswa yafanyike sehemu tulivu sana.

vijijini huko mnapelekana vichakani mnakutana na nyoka anawalamba macalio
 
Kama umemwelewa mleta mada especially aliposema Kijijini kuna scarcity + kula mlenda, mahindi akimaanisha vyakula asilia na uhusiano wa kutengeneza nguvu za kiume ungerekebisha hapo ulupomalizia. Any way it's a free platform to speak anything that comes in your mind.
 
Mjini ukitaka kudinya ni sekunde tu tena mademu wala hawazungushi

unaweza kaa home mida ya jion ukatoka zako kutembea tembea ukarudi na goma la kupiga
 
Mjini ukitaka kuzini ni wewe tu na pesa yako; lodge kila kona lakini pia maisha yakupanga yanakuruhusu kuzini kila unapojisikia. Hii ni sababu kubwa ya wanaume wa mjini kuona tendo la zinaa ziyo tatizo na kubweteka.

Kijijini kuzini hadi uoe au uishi kwenye vichaka; la sivyo ukiwa sehemu ambayo hakuna vichaka unaweza maliza miezi hata sita unapanga na mpenzi wako kwenda kuzini. Kama ukitumia mazingira ya nje yaani vichaka maana yake hisia zako zinakuwa more effective na mbegu nyingi uzaliwa. Usipotumia kinga hata kama mpenzi hayupo kwenye mzunguko lazima tu shauku utapelekea mzunguko ubadilike na hapo ndipo tendo moja uzaa mimba.

Ukitaka kufanya majaribio ya utafiti huu ondoka huko mjini uje kijijini; ukikaa wiki tu kila mwanamke unamwona mzuri. Same applies kwa wanawake .

Lakini pia hata ukiwa na mpenzi wako wa siku zote mkaenda kijijini shamba huko ufanisi wenu utakuwa juu na utajiuliza hizi nguvu za kiume katoa wapi? Amezitoa kwenye scarcity yaani kuviziana.

Wenzetu wazungu wanatumia sana hizi mbinu kurejesha mahusiano; wanatenga muda wakuja Afrika huku likizo wanafanya na ziada.

Karibuni kijijini kukwepa upungufu wa nguvu za kiume na kike. Hata wafu wenye fedha, jengeni kijijini ndoa zenu zitadumu......ukiona mpenzi wako anaanza kuleta maomvi unamleta bush huku mnakula mahindi ya kuchoma na mlenda....atakushukuru kwa huduma
Jaman unajua mtu aliyekamilika asipofanya anakuwa hayuko sawa kiakili. Nina boss wangu mmoja akija kazini hayuko sawa tunajua tu huyu kanyimwa tunda màana unaweza msalimia kanyamaza kimya na hapo tumetoa sauti ila siku nyingine anakujaga anafuraha utadhani ameiona mbingu imemfungukia kumbe kapewa mauno ya pwani stress zote kwisha. Same applies to me yaani nikikosa dyudyu nakua siko sawa kabisa ila nikipewa yaani siku yangu inaenda vzr kabisaa
 
Myth za kijinga
 
Back
Top Bottom