furaha

  1. JamiiForums Tanzania Baada ya Utafiti wa Uongo kuwa Watanzania wana Furaha Afrika nzima, Mwanasaikolojia Nguli na Mwerevu apingana nao

    "Ukweli ni kwamba siyo kwamba Watanzania wana Furaha bali wana Amani ambayo inapelekea Wao kuridhika haraka na kila Wanachokikuta na Wanachokipata kutokana na Umasikini wao Waliouzoea ila kiuhalisia wengi Wao wamekuwa Wakikereka na Maisha yao magumu yasiyo na Ufumbuzi hadi wameamua Kuyafurahia...
  2. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa mamelodi hawana furaha kucheza na Yanga

    MAMELODI "TULIITAKA SIMBA SIO YANGA" Mashabiki wa Mamelodi huko SOUTH AFRICA wamesema waliomba sana wakutane na SIMBA sio YANGA Baadhi ya mashabiki wamesema hawana furaha kupangiwa Yanga. Mamelodi watakula mnara ✋
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiri Watanzania hawana furaha

    Akiwaapisha wateule Ikulu, Rais Samia Kwa kinywa chake amekataa article ya kitapeli inayosemwa Tanzania ni ya 3 Kwa wananchi wake kuwa na furaha. Rais Samia amekataa utafiti huo uchwara na kusema Watanzania hawana furaha. Kwahiyo Wananzengo mpaka Rais anajuwa Watanzania tunaishi kama tupo jela...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya tatu duniani kama nchi ambayo watu wake wana furaha

    Kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza hapo juu kwamba Nchi zenye Furaha duniani, basi sisi Tanzania ni inchi ya Tatu duniani yaani DUNIANI. Source ikiwa ni hii taasisi ina itwa Mental state of the world report ambayo wame kusanya data toka kwa watu laki 4 toka inchi 71 duniani. Nilipo ona...
  5. JamiiForums Tanzania Utafiti: Watu ulimwenguni kote wanapoteza furaha kadri miaka inavyokwenda

    Hello! Hili kila mtu anaweza kulithibitisha kwa kuback up miaka michache nyuma. Furaha niliyokuwa nayo mwaka 1999 ni kubwa kuliko ya miaka ya 2009, furaha niliyokuwa nayo 2019 si kubwa kama ile niliyokuwa nayo 2009. Licha ya maisha yangu kuboreka kila mwaka. Nakiri kuwa maisha ya kulala...
  6. JamiiForums Tanzania Nikiwaza kua ndoa yaweza vunjika hata baada ya miaka 15, nakosa furaha

    Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja. Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote. I real don't...
  7. JamiiForums Tanzania Mke wa Bilionea Msuya, furaha yake na sauti yake ya kusifu Yesu akitoka Mahakamani si yenye Roho Mtakatifu

    Hakika nawaambieni Mungu wa kweli hukaa ndani yetu, alisikika mke wa Hayati Billionaire Msuya akiimba baada ya hukumu kumpenda zaidi yeye pale kisutu, yeyote anaejua maana ya kilio na kusifu kuliko na malaika huyo mwanamke alikosa muunganiko wa sauti, kiini cha sauti na Nuru ya mwili hasa uso...
  8. JamiiForums Tanzania Mayelle alichagua fedha badala ya furaha.

    Kule pyramids Kuna fedha lakini hakuna furaha kwa Mayelle. Money over happiness¡
  9. JamiiForums Tanzania Rose Muhando: Safari ya mateso, huzuni, furaha hatimae ushindi

    Katika mmoja ya wasanii ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao na wana vipaji vya ajabu ni Rose Muhando hakika hakuna atakaepinga hilo na nyimbo zake kwa miaka mingi zimetubariki na kutusogeza karibu na muumba kwa namna ya pekee kabisa, Mungu aendelee kumbariki. Wengi wasichokijua ni kuwa Rose...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinakumalizia pesa lakini haukiachi kwasababu kinakupa furaha?

    Ni kitu gani kinakumalizia pesa mara kwa mara lakini haukiachi kwasababu kinakupa furaha?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Jana Nilikuwa na furaha kutwa nzima. Kufika usiku furaha yangu ikatiwa dosari

    Jana nimekwenda ibadani nikapata upako wa kutosha. Na nikarudi nyumbani, nikitarajia kuwa furaha hiyo itaendelea hadi usiku wote. Kufika majira ya saa nne za usiku, timu moja, inayoitwa Taifa Stars ikatibua furaha yangu ya kutwa nzima. Hovyo kabisa. Nimesikitika sana. Yaani mnaruhusu goli dakika...
  12. JamiiForums Tanzania Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

    Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa. Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kula...
  13. JamiiForums Tanzania Binadamu tunakutana: Leo nimekutana na mwalimu wangu wa bible O - level, nina furaha sana

    Habari za uzima wakuu? leo baada ya kuwepo mapumziko na mama watoto na mwanangu nyumbani ,jioni nikapokea simu ya sister wangu akiniambia nimsindikize airport anasafiri. Nikamuambia sawa basi nikatoka na wife na mwanangu mpaka kwa sister, nikamkuta ameshajiandaa akamwita wifi yake chumbani...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kitenge hana furaha Wasafi, ataka kutimkia EFM

    Habari za uhakika kabisa zinasema gwiji la kusoma magazeti nchini aka zee la viearphones halina furaha Wasafi redio. Kitenge yuko kwenye mazungumzo ya awali akijiandaa kuhamia EFM huku ongezeko la mshahara na idadi ya safari za nje zikitajwa kama sababu kubwa kumshawishi kukimbilia EFM.
  15. JamiiForums Tanzania Hizi ndio nchi ambazo Watu wake hawana Furaha duniani, Tanzania ipo

    122. Togo 123. Jordan 124. Ethiopia 125. Liberia 126. India 127. Madagascar 128. Zambia 129. Tanzania 130. Comoros 131. Malawi 132. Botswana 133. DR Congo 134. Zimbabwe 135. Sierra Leone 136. Lebanon 137. Afghanistan
  16. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Wananchi wa kijijini wakisherehekea sikukuu kwa furaha kuliko wa Dar

  17. JamiiForums Tanzania Mambo haya yakikutokea kwenye maisha yako lazima upate furaha ya ajabu utahisi maisha yako yameanza upya

    1. Ukipata mpenzi mnaependana sana. 2. Ukipata mtoto wako wa kwanza. 3. Ukifunga ndoa. 4. Ukinunua gari lako la kwanza. 5. Ukifaulu form4 au form 6 (vilaza wenzangu watanielewa) 6. Kuhamia nyumbani mwako baada ya kuishi kweny za kupanga 7. Majibu ya kipimo kurudi HIV negative baada ya...
  18. JamiiForums Tanzania Raia Iran wafanya maandamano ya furaha, maana furaha ni haram kwa hiyo nchi inayooongzwa kidini

    Nchi ya Iran inayoongozwa kwa itikadi za dini ya kiislamu huwa imeharamisha vitu vingi sana ikiwemo kucheza kwa furaha, sasa raia wa Iran wameanzisha aina mpya ya maandamano ili kujitoa kwenye utumwa wa kidini, wanacheza kwa furaha nchi yote na kupachika video kwenye mitandao, japo pia...
  19. JamiiForums Tanzania Watu wote wenye furaha nchini Tanzania hawana akili

    Watu wote wenye furaha katika nchi ya Tanzania hawana akili. Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania. Ukijiona unaishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania jua fika huna akili timamu. Huu ni utafiti
  20. R

    JamiiForums Tanzania Niwaombe viongozi wa Tanzania wapunguze picha /selfie kwenye majanga; watofautishe furaha na kilio

    Viongozi wa serikali waliokwenda Hanang hakuna kazi serious waliyokwenda kufanya; Jeshi limetekeleza wajibu wakuokoa Raia viongozi wametekeleza wajibu wakupigwa picha na vyombo vya habari. Picha za viongozi zinazosambaa zimezima kabisa coverage ya uharibifu uliofanyika. Naamini wapo viongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…