Watu wote wenye furaha nchini Tanzania hawana akili

Umevurugwa siyo bure
Watu wote wenye furaha katika nchi ya Tanzania hawana akili.

Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania.

Ukijiona unaishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania jua fika huna akili timamu.

Huu ni utaf
 
Huu ni utafiti
Kweli aisee! Mazuzu ndio wana enjoy nchi hii!
 
Furaha haiko kwenye mali wala pesa furaha iko ndani yako ni kuswitch tu hyo button
NB:Nenda vijijini huko uone watu wanavyoishi kwa furaha mtu hawazi kesho yeye anaiishi which is true purpose of life live today you never know what tomorrow holds
Zingatia maneno "hawana akili timamu" wangelikuwa na akili timamu na hakika wasingelikuwa na hiyo furaha unayo izungumzia.
 
Watu wote wenye furaha katika nchi ya Tanzania hawana akili.

Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania.

Ukijiona unaishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania jua fika huna akili timamu.

Huu ni utafiti
FB_IMG_1702662501777.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Furaha haiko kwenye mali wala pesa furaha iko ndani yako ni kuswitch tu hyo button
NB:Nenda vijijini huko uone watu wanavyoishi kwa furaha mtu hawazi kesho yeye anaiishi which is true purpose of life live today you never know what tomorrow holds

Huyo ni sawa na mtoto mchanga asiyejua chochote kuhusu maisha.
Huwezi kuwa na furaha katika nchi ambayo unalima Kwa bidii unapangiwa bei ya hasara,unasoma Kwa bidii hakuna uhakika wa ajira, and a lot of other factors.
 
Watu wote wenye furaha katika nchi ya Tanzania hawana akili.

Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania.

Ukijiona unaishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania jua fika huna akili timamu.

Huu ni utafiti
Pascal Mayalla na huyu braza wangu yeye furaha tele kwake

Huko lumumba nako ni shangwe kila sasa, furaha amani teleee...

Mkuu uko serious na kichwa chako cha Habari
 
Back
Top Bottom