fedha

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Benki za Tanzania hazina ATM machine za kuweka fedha

    Habari za mihangaiko wakuu, Kwanini benki za Tanzania hazina ATM machine za kuweka fedha?
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli umelifaa taifa kisiasa na kiuchumi. Sasa ongeza kasi kudhibiti fedha za political vote

    Dkt. John Pombe Magufuli, ni mwamba imara - umefanya mengi mazuri i.e utawala bora, uwajibikaji, miundombinu nk Pamoja na hayo nashauri uangazie sana matumizi ya fedha unazotoa kwa ajili ya mfuko wa self help schemes or political vote. Kwa wasiozifahamu ni kuwa Serikali hutoa:- (a). Fedha za...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tujadili miaka mitano ya tumbuatumbua na matumizi mabaya ya mali za umma

    Tunaingia miaka mingine mitano ya awamu ya tano na tumeanzia pale tulipoishia. Tumbua tumbua inaendelea......kwanini wateule niwagumu kumwelewa anayewateua? Kama ubadhirifu huu unaotajwa kila siku ni kweli Basi Tanzania tunaongozwa kwa kuwa na mfumo mbaya wa uteuzi wa viongozi. Tunateua watu...
  4. JamiiForums Tanzania TAKUKURU sasa yasema inaanza kuchunguza Vyama vya Siasa kuhusu fedha za mfuko wa jimbo

    Najua kuwa mlengwa mkuu ameshajulikana na hapa Lema alicheza kama Pele. Ilikuwa ni suala la muda tu kwa wabunge waliopita wa CHADEMA kuanza kukumbwa na mshike mshike wa fedha za mfuko wa jimbo. Kama mlikuwa hamjui basi hii ndiyo sababu kubwa ya wao kuangushwa na mamlaka huko majimboni...
  5. JamiiForums Tanzania Nimekutana na gari la matangazo ya mnada nimeogopa mikopo toka taasisi za fedha

    Leo asubuhi nikiwa nazurura zurura mtaani kama kawaida yangu. Nimekutana na gari la matangazo ya mnada wa hadhara likitangaza uwepo wa mnada kwa mali za watu walioshindwa kufanya marejesho ya fedha walizochukua toka taasisi za kifedha kama mikopo. Mali zinazouzwa ni majumba na magari. Jambo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hazina wanachelewa kutoa fedha za miradi kimkakati ili watendaji watumbuliwe?

    Miradi mingi ya wizara na idara za serikali imesimama au kusuasua kwa kukosekana fedha ambazo zimepitishwa na bunge au kuahidiwa na Mhe. Rais. Viongozi wa kisiasa wanapotembelea miradi hii nakuambia hazina awajatoa fedha utosikia wakiwakoromea hazina badala yake watamgombeza mkuu wa Idara na...
  7. JamiiForums Tanzania Shirika la Bima la Taifa (NIC) kuna tatizo gani? Mbona hamlipi fedha za watu kwa wakati?

    Mimi ni mfanyakazi wa taasisi X ya umma hapa Shinyanga... Nilichukua bima ya elimu (Education Provider With Profit) kwa ajili ya ada ya watoto wangu hapa tawi la NIC - Shinyanga yenye thamani ya Tshs 7,500,000 kwa makato ya Tshs. 62,500 kila mwezi kwa miaka kumi (10) tangu mwaka 2010... Bima...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Waliochapwa na DC Arusha na kulazimishwa kulipa fedha bila kufikishwa mahakamani waombe msaada wa kisheria kumshtaki DC

    Ni miaka karibia mitano sasa viongozi wamekuwa wakijichukulia sheria mikononi na hakuna kiongozi wa kisiasa wa juu anayekemea Jambo linaloashiria wahusika wanatekeleza msimamo wa serikali. Wahanga wa tukio la Arusha wamelazimishwa kupigwa na kisha kulipishwa fedha zaidi ya milioni tano ambazo...
  9. JamiiForums Tanzania Kuolewa na mwanaume amaizing ilikuwa ni matamanio ya kila mwanamke kabla hatujavurugwa na dunia

    Kuna hili jambo ningependa tujadiliane ama tushirikishane kidogo. Hakuna asiejua kuwa kila mwanamke kabla hatujavurugwa na dunia huwa matamanio yetu ni siku moja kuolewa na kutengeneza familia na mwanaume fulani hivi amazing(fantancy vs reality). Sasa tatizo linakuja kuwa huwa wanawake wengi...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Walionunua magari ya kifahari kwa fedha za walipakodi nawapa siku 7 za kujieleza

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku saba kuanzia leo (Alhamisi, Desemba 17, 2020) kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, maofisa wanaochambua maombi ya ununuzi wa magari Ofisi ya Waziri Mkuu na wakurugenzi wa Jiji la Mwanza, Halmashauri ya wilaya ya Chato, Msalala na Kahama wajieleze kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM haifurahi ukiwa na kiasi kikubwa cha fedha benki, unafilisiwa kwa kupewa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Salaam Wakuu, Nmeanza kuelewa kwanini Matajiri wengi wa Tanzania wanaficha fedha zao nje ya Nchi. Siwalaumu tena. Na kama hii hali ikiendelea, Benki nyingi zitatikisika kiuchumi kwani watu watasusa kupeleka hela. Zamani Watanzania wengi walikuwa hawapeleki fedha zao benki. Walikuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Watumishi 22 TRA kuchunguzwa, madai kubambikia watu kodi yatajwa

    Waziri wa Fedha, usiwatoe kafara watendaji wako. Wewe ndiye chanzo cha mayowe ya kodi kandamizi kwa wafanyabiashara Ndugu zangu wanabodi, huwa napenda sana kuishi kwa kujifunza kutoka kwenye hotuba za viongozi na kupitia hotuba hizo huwa nanyakuwa baadhi ya mambo ambayo kwangu ninayoyaona...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wizara ya Fedha ili kufikia lengo la kuwa na mapato mengi ya ndani

    Nimeona Video ambayo Waziri wa fedha anawaambia watu wa idara zote zinazohusika na ukusanyaji wa mapato ya kodi na yasiyo ya kodi ya serikali kukusanya mapato mengi ili malengo ya serikali ya awamu ya tano yatimizwe na fedha za ndani Mbali na haya yote mimi nasema fedha nyingi zinaweza...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Ujenzi wa Soko la Kisasa - Chuno kwa kutumia Fedha za Ndani

    Ujenzi wa Soko La Kisasa Lililopo Chuno Halmashauri Ya Mtwara Kwa Kutumia Fedha Za Ndani Wakazi wa Mtwara wanazidi kuona matokeo chanya yatokanayo na kuichagua Serikali ya CCM Matumizi sahihi ya Rasilimali zetu huleta matokeo Chanya Kwetu Sote Tuliahidi Tumetekeleza
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kenya watakiwa kurudisha fedha zote walizojilipa kama posho ya nyumba kinyume na Katiba

    The High Court in Kenya has ordered the country's 416 lawmakers pay back 1.2bn shillings ($10m; £7.5m) after ruling that the money had been unlawfully given to them as housing allowances, local media report. The Parliamentary Service Commission (PSC) had encroached on the mandate of the...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli, Kigoma tunakushukuru Fedha na Elimu - hatutakuangusha

    WanaKigoma, Huu ni ujumbe mahususi kwa Mhe Dkt Magufuli kwa heshima aliyotuonesha, aliyotupatia kufuatia uteuzi wa wasaidizi wake kwa nafasi ya uwaziri ambapo Wizara ya Fedha kamuteua Isidory Mpango, na Wizara ya Elimu na Mafunzo kamuteua Prof Ndalichako. Hii ni heshima kubwa sana tuliyopewa...
  17. JamiiForums Tanzania Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

    Wazazi Maskini zaidi ya 2000 ambao watoto wao wanafadhiliwa kimasomo katika shule ya St. Jude iliyopo Arumeru Mkoa wa Arusha, wameandamana Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakitaka shule hiyo yenye mchepuo wa Kiingereza ifunguliwe ili Watoto wao waliosimamishwa masomo kwa zaidi ya wiki mbili...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Ili kukuza uchumi wa nchi na kupata fedha za ujenzi wa miundombinu, Mishahara ya watumishi wa umma na viongozi wa kisiasa ipunguzwe

    Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana. Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuondoa sherehe za Uhuru ili fedha zikajenge hospitali Dodoma si jambo la sifa, ni kuonesha Serikali haina mipango hususan ya maendeleo

    Kwa mtu mwenye akili za chini, atamsifia Rais Magufuli kwa kutangaza kwamba mwaka huu hatutakuwa na sherehe za uhuru ili kuokoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya Dodoma. Kwa mtu mwenye akili ya kufikiria, atajiuliza, hivi inakuwaje tunakuwa hatuna mipango hususan inayotia ndani kutengwa...
  20. JamiiForums Tanzania NHIF matatani, kilio cha wamiliki wa hospitali binafsi kukatwa mabilioni ya fedha chaibuka

    WAMILIKI wa hospitali na zahanati binafsi mkoani Mwanza wameingia katika mvutano mkubwa na mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) kuhusu makato ya fedha wanazokatwa kila mwezi zinazotokana na matibabu wanayotoa kwa wateja wa mfuko huo. NHIF mkoa wa Mwanza inatuhumiwa kuendesha utaratibu feki wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…