kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,546
- 1,662
Leo nimekwenda bank moja kuulizia namna ya kupata mkopo wa biashara.
Vijana tujitahidi tujenge hizi taasisi za fedha hazina mpango wa wewe kama huna assets.
Yaani kumbe hata ukiwa una kiwanja tena kina hati miliki bado ni kazi bureeeee...
Tujitahidi tujenge maana hicho kiwanja kama hakina jengo ni sawa una runchi ya kufugia mifugo tu.
TANZANIA YETU BADO TUNA SAFARI NDEFU