fedha

  1. JamiiForums Tanzania Kamati ya sera ya fedha yaridhishwa na utekelezaji wa sera ya fedha nchini na mwenendo wa ukuaji wa uchumi Tanzania

    Saa chache zilizopita kupitia kurasa zake katika mitandao ya kijamii, Benki Kuu imetoa taarifa ya Kamati ya sera ya fedha ambayo kazi yake kubwa ni kufanya tathmini ya utekelezaji wa sera ya fedha na mwenendo wa uchumi. Chini ya Rais Samia Suluhu ukuaji wa uchumi wa Tanzania imeendelea...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Sudan Kusini awafuta kazi Waziri wa Fedha, Gavana Benki Kuu

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardiit amewafukuza kazi Waziri wa Fedha, Agak Achuil Lual ikiwa ni miezi minane tangu alipomteua katika nafasi hiyo pamoja na Gavana wa Benki Kuu, Moses Makur. Baada ya uamuzi huo ambapo sababu hazijawekwa wazi, Rais Kiir amemteua Gavana wa zamani Dier Tong...
  3. JamiiForums Tanzania Maneno yanavyoathiri uchumi wako

    Ipo nguvu katika maneno. Maneno yanaumba. Ukweli ni kwamba maneno yanauwezo mkubwa sana wa kuathiri maisha ya mtu iwe ni chanya+ au katika mwelekeo Hasi- kwa sababu Imani ya mtu katika jambo fulani huja kwa kusikia au tuseme miongoni mwa njia za kujifunzia ni kwa kusikia. Kama tunavyojifunza...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Chalinze yaongoza ukusanyaji mapato nchini. Yatia fora pia upelekaji wa fedha nyingi za miradi ya maendeleo

    CHALINZE YAONGOZA UKUSANYAJI MAPATO NCHINI. YATIA FORA PIA UPELEKAJI WA FEDHA NYINGI ZA MIRADI YA MAENDELEO. Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani inayoongozwa na Mbunge Mhe. Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeongoza katika...
  5. JamiiForums Tanzania Semina za fedha

    Habari watafutaji wa jukwaa naomba kufahamu kama kuna mtu anafahamu taasisi au kampuni inayohusika katika kutoa semina za mafunzo kazini za wafanyakazi wa ma bank kama, tellers, wahasibu, mapokezi, ma afisa mikopo n.k. Iko moja naifahamu inaitwa AFFLUENCE TRAINING LTD na nimeshiriki semina zao...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu mgawanyo wa fedha za malipo ya marehemu

    Habari humu ndani naomba kupata mwongozo kidogo Baba yangu alikuwa na mji hapa dar na amefariki sasa mji wake umetwaliwa na TRC kwa ajili ya ujenzi wa SGR sasa malipo yake ndio naitaji kujua mgawanyiko wake unakuwaje tuko watoto sita na mama , kuna jambo moja nataka kuongeza hapo sisi watoto...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kuchangia fedha ili kupata huduma ofisi ya mtendaji wa kata, ama mtaa ni utaratibu ulowekwa na mamlaka au utaratubu binafsi?

    Leo naomba kueleweshwa tafadhali, huu utaratibu wa kuchangia elfu mbili (2000)kila unapoenda kupata huduma ofisi ya mtendaji wa kata, ama mtaa ni utaratibu ulowekwa na mamlaka ama ni utaratubu binafsi. Je, hicho ni chanzo cha mapato ya serikali au ni mapato ya mtu binafsi? Na kama iko kisheria...
  8. JamiiForums Tanzania Uongo tulioaminishwa kuhusu fedha

    UONGO TULIOAMINISHWA KUHUSU FEDHA Nafahamu wengi wetu tumejaribu kwa namna mbalimbali kutafuta kanuni ya fedha. Hebu jiulize binafsi ni vitabu vingapi umesoma, semina ngapi umehudhuria, maombi mangapi umeomba, ushauri ngapi umefuata. Lakini huoni matokeo yeyote. Bado umestuck kwenye shughuli...
  9. JamiiForums Tanzania Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro Ampongeza Simbu Kwa Medali ya Fedha.

    Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt Asha-Rose Migiro, Ampongeza mwanariadha Alphonce Felix Simbu kwa kunyakua Medali ya fedha baada ya kuibuka mshindi wa pili, nyuma ya Mganda Victor Kiplagat katika mchuano wa Marathon Kwa wanaume katika Michezo ya Jumuiya ya Madola yaliyofanyika leo jijini...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanariadha wa Mbio Ndefu Marathon (42KM) Alphonce Felix Simbu Amenyakua Medali ya Fedha

    Mwanariadha wa Mbio Ndefu Marathon (42KM) Alphonce Felix Simbu Amenyakua Medali ya Fedha ,kwa kukimbia muda (2:12:29) nyuma ya Mganda Victor Kiplagat (2:10:55) na Mkenya wa Tatu Kwa Muda (2:13:16), kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola yaliyofanyika Jijini Birmingham, Uingereza Leo Tarehe 30...
  11. JamiiForums Tanzania Mwalimu: TANU iliwakuta na fedha zao tayari

    JULIUS NYERERE ALISEMA TANU IMEUNDWA IMEWAKUTA NA FEDHA ZAO HAWAKUTAJIRIKA NDANI YA CHAMA Historia ya wafadhili wa TANU na harakati za kupigaia uhuru wa Tanganyika bado haijaandikwa. Mwalimu Nyerere katika miaka ya 1970 alipata kusema kuwa kuna watu TANU ilikuwakuta nafedha zao wazalendo kama...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia mteue Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Fedha na Mipango

    GTs, Nina maoni: Naona kabisa Mh. Rais akimteua Dkt Ashatu Kijaji kwa nafasi ya waziri wa Fedha na Mipango itakuwa vema kwa uchumi wetu. Sababu: 1. Dkt Ashatu ni msomi na mbobevu katika masuala ya mipango na fedha. 2. Dkt Ashatu ni muadilifu na mwenye maadili 3. Dkt Ashatu ni mcha Mungu na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara Midogo Serikalini: Serikali iingie makubaliano na taasisi za fedha watumishi wakope kupitia posho na pia sheria ya moja ya tatu itazamwe upy

    Ukweli ni kwamba, kwa miaka mingi mishahara serikalini imekuwa duni na bahati mbaya zaidi, uwezo wa serikali kuongeza mishahara sasa unaonekana kushuka na bila shaka sababu kubwa ni serikali kuwa na miradi mikubwa na ya gharama pasipo kuwa na vyanzo vya uhakika (hawakujipanga). Hivyo, kutokana...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Biashara, Fedha na Uwekezaji vifundishwe Shuleni Kwa vitendo nadharia hatufikishi kwenye matokeo

    1. Kidato cha kwanza mpaka cha nne Elimu ya biashara, uwekezaji na fedha itolewe kwa nadharia 2. Kidato cha tano na sita Elimu ya biashara na uwekezaji na fedha itolewe kwa vitendo walau asilimia 10 ya ada itumiwe na wanafunzi kubuni au kuwekeza kwe biashara kwa vitendo... 3. Chuo 20% ya Alama...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Fedha za Mfuko wa Jimbo

    Kama ulikuwa unasikia tu kuna Fedha za "๐Œ๐Ÿ๐ฎ๐ค๐จ ๐ฐ๐š ๐‰๐ข๐ฆ๐›๐จ," basi tuelimishane hapa na kuchangia hoja hii. Kwanza fedha za mfuko wa Jimbo zimetokana na sheria namba 16 ya mwaka 2009 ambayo ilitungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kutambua mfuko huo kama "Constituency Development...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Utafiti mwanaume unatakiwa uwe na angalao na kitu kimojawapo kati ya Fedha, Utanashati na Urefu

    Wadau hamjamboni nyote Hi ni kwa mujibu wa Utafiti na maoni ya wataalami wa masuala ya Kijamii Kwamba kuna vitu vifatu muhimu kwa Mwanamume yeyote duniani ili kuongeza thamani yake na mvuto Fedha - za kumudu mahitaji yote ya msingi na ziada Utanashati - Uhandsome Urefu kuanzia futi 6 kwenda...
  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunge na Mkurugenzi wa Fedha wa zamani, Khadija Makontena afariki dunia

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan amemtumia salaam za pole Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF ) Profesa Ibrahim Lipumba, familia, ndugu na jamaa kufuatia kifo cha Mbunge wa zamani wa Chama Cha Wananchi (CUF) na Mkurugenzi...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Lary Fink: Mtu mwenye nguvu zaidi Duniani kwenye ulimwengu wa fedha

    Kampuni yenye nguvu zaidi Duniani na kwa bahati mbaya unaweza usiwe unaijua, kwa jina ni BlackRock. Hadi sasa Kampuni hii ina manage Mali zenye thamani ya Dola Trilioni nane( USD 8 Trillion) (hii ni kwa makadirio sawa na pesa za kitanzaninia Trilioni 18,400/-) moja kwa moja(Directly) na...
  19. JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya Rushwa Afrika: Fedha zinazolenga kukabiliana na athari za COVID-19 zinawanufaisha Wananchi?

    Julai 11 ilipitishwa na Umoja wa Afrika (AU) kuwa Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Barani humo. Kwa mwaka 2022, Maadhimisho yanafanyika Zanzibar leo Julai 12 yakiwa na Kaulimbiu "Mikakati na Mifumo ya Wazi ya Usimamizi ya Fedha za UVIKO-19" Tangu kuanza kwa janga la COVID19 kumekuwa na taarifa...
  20. JamiiForums Tanzania Malengo ya sera ya fedha 2022/23 kwa mujibu wa BoT

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ili kuongeza ukuwaji wa uchumi na kudhibiti mfumuko wa bei kati ya 3% - 5% kwa 2022, licha ya kuwa na matatizo mengi nje ya nchi kama vita vya Ukraine na Urusi na kupanda kwa bidhaa kwenye soko la dunia ambayo yanaweza kudhuru ukuwaji wa uchumi wetu na kupelekea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ