fedha

  1. Daktari wa Manchester

    JamiiForums Tanzania Je umekuwa ukihangaika kuifahamu fedha ya kidijitali? Leo utaifahamu kwa undani zaidi

    Hebu fikiria Denis na Caroline wanataka kwenda jiji la Manchester kushuhudia mechi kati ya Chelsea na Arsenal ili waweze kuenda inabidi walipie nauli ya ndege ambayo Itasaidia kufika kule na itabidi walipie kupitia Mastercard ila kutokana na hitilafu inapelekea wote kushindwa kufanya malipo ila...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka imchunguze Waziri wa Fedha Dk. Nchemba kwani kufuru anazozifanya kwa timu yake ya Singida Big Stars zinatia shaka

    Kama hanyofoi pesa za Mama(Rais) za hazina kufanyia kufuru Klabu yake ya Singida Big Stars basi atuambie hizo pesa anazitoa wapi. Halafu mwambieni aache kuzuga na kuficha kuwa yeye si mwenye timu hiyo ya Singida Big Stars ili labda bosi wake mkuu asijue. Ukweli ni kwamba kwa 99.9% yeye ndiyo...
  3. Innocent Ngaoh

    JamiiForums Tanzania SoC02 Makosa Saba (07) yanayopelekea Kupoteza Fedha zako

    Emmanuel Olumide mwandishi wa vitabu kutoka Nigeria aliandika kitabu cha “50 common money mistakes” kitabu ambacho ameelezea makosa hamsini (50) ambayo watu wengi hufanya kwa kujua au kutojua na kupelekea kupoteza fedha zao, inawezekena kabisa unapata fedha lakini hujui wapi fedha zako...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Afisa Mtendaji ahukumiwa miaka 20 jela kwa ufujaji wa fedha

    Agosti 24, 2022 Jamhuri imeshinda katika Shauri Na. ECO. 90/2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Shauri hili lilimhusu, JULIUS K. MBISE, aliyeshtakiwa kwa makosa ya Ufujaji na Ubadhirifu, Matumizi Mabaya ya Madaraka pamoja na Kuisababishia Serikali Hasara, kinyume na vifungu vya 28 (1)...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hayati William Kusila, Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wa zamani aliyekimbia furushi la fedha ofisini

    Mbunge wa Bahi (CCM), Keneth Nollo ametoboa siri ya uzalendo wa Hayati William Kusila kwamba aliwahi kukimbia furushi la fedha zilizopelekwa ofisini kwake ili apokee hongo na kutoa upendeleo. Nollo ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 25, 2022 wakati akitoa salamu za rambirambi mbele ya mwili...
  6. Kwa msisi yetu

    JamiiForums Tanzania Wananchi wameridhika na tozo kwa kuwa fedha zinazopatikana zinaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo

  7. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Fedha za tozo zawapa faida Lindi

    Wakazi wa kata ya Mvuleni, manispaa ya Lindi wameeleza watakavyonufaika na uwepo wa kituo cha afya cha kisasa kilichojengwa kutokana fedha za tozo za miamala ya simu kikiwa na thamani ya Sh250 milioni. Kabla kituo hicho hakijajengwa wananchi walilazimika kwenda kufuata huduma za afya katika...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Makinda abadili gia angani, asema kuhesabiwa ni siku saba

    Kutoka moyoni tumekwazika, tumesubiri makarani kutwa nzima kumbe ni zoezi la siku saba. Kama ni zoezi endelevu, kwanini leo ikawe mapumziko? Sensa ya kuhesabu siku saba itakupa majibu ya uongo maana watu hawatulii sehemu moja kama mawe. Kuna watu hawatahesabiwa au watahesabiwa mara mbili bila...
  9. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha ameudanganya umma, si kweli kwamba hawezi kutengua tozo

    Jamani eeh, hivi hawa viongozi siku hizi wanatuonaje wananchi? Wanadhani kwamba tuko mambumbumbu kiasi hiko? Iko hivi, siku zote muswada wa sheria hutungiwa nje ya bunge, kisha Bunge hutunga SHERIA MAMA, na baada ya hapo zinatungwa KANUNI na wizara husika. Hivyo kwenye suala la tozo, Bunge...
  10. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania NSSF yajivunia trilioni 7.3 ukusanyaji wa michango ya wanachama kwa mwaka wa fedha 2022/2023

    Kiasi cha shilingi Trilioni 7.3, katika mwaka wa fedha 2022/2023, kimekusanywa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii, (NSSF) ambapo fedha hiyo inatokana na michango ya wanachama wa mfuko huo. Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Bw.Masha Mshomba wakati akitoa...
  11. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hali ya maisha imekuwa ngumu, na pia ni kweli hizi tozo hazikubaliki, sasa wananchi tuseme kwa vitendo imetosha

    Kwa lugha rahisi tu wananchi sisi ndio wenye nchi na huyu Mwigulu Nchemba na mama sisi ndio mabosi wao, sisi siyo vijakazi wao hili lieleweke dhahiri shairi. Kwakuwa ugumu huu wa maisha hauchagui itikadi za vyama au wasiokuwa na vyama, kupitia thread hii tukusanye maoni ya wananchi jinsi ya...
  12. The Boss

    JamiiForums Tanzania Rais Samia "muondoe "Mwigulu wizara ya fedha..

    Kwanza kabisa masuala ya uchumi WA nchi hayapaswi kuwa chini ya mtu mmoja....zamani tulikuwa na Tume ya mipango ambayo waziri alikuwa sehemu ya tume hiyo...jopo la tume hiyo ndo lilikuwa linaendesha uchumi... Mwigulu ana weakness ya kuongea Kwa kukera watu na ana history ya kutokuwa team...
  13. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha kutoa ufafanuzi dhidi ya "upotoshaji wa tozo"

    Kama kawaida Yao, tengeneza tatizo tatua tatizo then jipongeze! Ndio wanachotaka kufanya. Gerson Msigwa anasema kuwa Wizara ya Fedha itatoa "ufafanuzi" kuhusu Tozo maana kuna upotoshaji mkubwa unaofanywa mitandaoni! Anadai eti tozo zilikuwepo.....
  14. init

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wizara ya fedha na mipango haijitoshelezi.

    Yaliyo fanyika hivi karibuni; 1. Kuanzishwa kwa tozo katika miamala ya simu za mkononi. 2. Kuanzishwa kwa government levy katika miamala ya kibenki. Yangeli tosha kabisa kumtathmini Mh Mwiguru ikiwa anamudu, kwani ameonekana kuishi katika machaguo duni siku zote. Miongoni mwa mafanikio yaliyo...
  15. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka: Ni marufuku kwa hospitali za Serikali kumtoza Mama mjamzito kiasi chochote cha fedha wakati, kabla na baada ya kujifungua

    SHAKA "TUSIWATOZE FEDHA WAJAWAZITO" Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewataka watoa huduma kote nchini kuacha kuwatoza fedha wanawake wajawazito wakati wa kliniki na wanapofika kujifungua. Shaka ametoa maelekezo hayo akiwa Jimbo la Bukene...
  16. Mkemia Fred James

    JamiiForums Tanzania Fedha haiwezi kununua vitu hivi

    1. Muda. Pesa haiwezi kununua muda uliopoteza. 2. Uzoefu wa kihisia.(Furaha,huzuni,vifijo, nderemo,shangwe,hofu, ukumbusho) 3. Muunganiko wa kweli-Watu wanaokujali au kukukubali pasipo fidia ya chochote. 4. Afya. Unaweza kwenda kwa madaktari bingwa na wazuri lakini juhudi zako binafsi pekee...
  17. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Je, Unajua hapo kabla wananchi waliibia sana Serikali, kwa sasa Serikali inawaibia wananchi kwa kushirikiana na taasisi na mashirika ya fedha?

    Kwa miaka kadhaa iliyopita watumishi wengi wa serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali, waliibia sana serikali. Hii ilitokana na kukosa udhibiti wa miaya ya rushwa, kukosa uadilifu na kuruhusu matumizi yasiyo ya lazima. Kiongozi wa nchi aliyetangulia kabla ya huyu aliyepo sasa, alijitahidi...
  18. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nidhamu ya Fedha

    HADITHI YA TEKE TEKE. Bwana Athumani. Kila ifikapo jioni, yeye na jiko lake, anawasha moto, kiupepo cha jioni kikikoleza mkaa huku cheche zikiruka huku na kule. La haula, moto umekolea vyema huku fuko la mahindi likimtazama. Anachukua hindi moja baada ya jingine na kutoa maganda, nywele za...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Bilioni 776.6 zaelekezwa katika ujenzi, ukarabati na matengenezo ya barabara vijijini na mijini katika mwaka wa fedha 2022/23

    Bilioni 776.6 zaelekezwa katika ujenzi, ukarabati na matengenezo ya barabara vijijini na mijini katika mwaka wa fedha 2022/23 OR TAMISEMI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amesema katika mwaka wa fedha 2022/23 ujenzi wa barabara...
  20. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nilivyoanzisha Chuo cha Afya bila kuwa na mtaji wa fedha

    Baada ya kuhitimu chuo kwa ngazi ya shahada nilipata sehemu ya kujishikiza kufundisha chuo ambacho kimsingi hakikuwa na kipato kikubwa sana kwa hivyo nilikuwa kama najitolea kwa muda wa miaka mitano. Lakini badae tulianzisha programu ya kuwanufaisha wakufunzi kupitia kuleta wanafunzi kwa maana...
Back
Top Bottom