fedha

  1. Diversity

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Jimbo la Hai Kilimanjaro hazionekani Jimboni tangu 2020-2022

    MADAI Yapo madai kuwa Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Jimbo la Hai Kilimanjaro hazionekani Jimboni tangu 2020-2022. Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022? Aidha, inadaiwa kuna kila dalili fedha hizo wanalamba...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kupewa fedha na silaha zinazofikia thamani ya dola bilioni 60, bado Ukraine inalialia kuwa imezidiwa kwa mbali na urusi! Hii imekaaje?

    Nadhani hili ni dili! Ukraine inapewa silaha hewa halafu wajanja wanaweka fedha mfukoni!! Kuna taarifa ilitoka kuwa ni asilimia 30 tu ya silaha zinazotolewa na nchi za magharibi kwenda ukraine ndizo zinazowafikia walengwa!! Watoa kodi wa nchi za magharibi wanapigwa pakubwa sana!! Silaha za dola...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Jimbo la Hai Kilimanjaro hazionekani Jimboni tangu 2020 hadi 2022

    Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022? Kuna kila dalili fedha hizo wanalamba asali wachache. Miaka ya 2015-2020 fedha hizo zilioneka jimboni na Kufanya shughuli muhimu ila kwa sasa mbunge anajengea nyumba...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itenge fedha ya dharura kukabili changamoto za elimu bure

    FEDHA YA DHARURA ITENGWE HARAKA KUOKOA ELIMU NCHINI🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ✍️Mwl. Modest Alphonce (Mwandishi wa Makala hii ni mwalimu wa Sekondari, mwalimu wa Taaluma Mwandamizi na Mjumbe wa Kamati ya Shule ya Msingi iliyopo jijini Dsm) Wakati shule wanazosoma watoto wa watunga Sera hapa nchini zikizidi...
  5. Fund man

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi, ni kuhusu thamani ya fedha

    Leo asubuhi nilikuwa na Google thamani fedha kwa nchi mbalimbali za Afrika dhidi ya Dola ya Marekani. Nimeshituka kuona kwamba 1$=16.20 kwacha ya Zambia. Kwa kweli sijaelewa, naomba ufafanuzi tafadhali.
  6. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Kamati ya sera ya fedha yaridhishwa na utekelezaji wa sera ya fedha nchini na mwenendo wa ukuaji wa uchumi Tanzania

    Saa chache zilizopita kupitia kurasa zake katika mitandao ya kijamii, Benki Kuu imetoa taarifa ya Kamati ya sera ya fedha ambayo kazi yake kubwa ni kufanya tathmini ya utekelezaji wa sera ya fedha na mwenendo wa uchumi. Chini ya Rais Samia Suluhu ukuaji wa uchumi wa Tanzania imeendelea...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais wa Sudan Kusini awafuta kazi Waziri wa Fedha, Gavana Benki Kuu

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardiit amewafukuza kazi Waziri wa Fedha, Agak Achuil Lual ikiwa ni miezi minane tangu alipomteua katika nafasi hiyo pamoja na Gavana wa Benki Kuu, Moses Makur. Baada ya uamuzi huo ambapo sababu hazijawekwa wazi, Rais Kiir amemteua Gavana wa zamani Dier Tong...
  8. Kaaya10

    JamiiForums Tanzania Maneno yanavyoathiri uchumi wako

    Ipo nguvu katika maneno. Maneno yanaumba. Ukweli ni kwamba maneno yanauwezo mkubwa sana wa kuathiri maisha ya mtu iwe ni chanya+ au katika mwelekeo Hasi- kwa sababu Imani ya mtu katika jambo fulani huja kwa kusikia au tuseme miongoni mwa njia za kujifunzia ni kwa kusikia. Kama tunavyojifunza...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Chalinze yaongoza ukusanyaji mapato nchini. Yatia fora pia upelekaji wa fedha nyingi za miradi ya maendeleo

    CHALINZE YAONGOZA UKUSANYAJI MAPATO NCHINI. YATIA FORA PIA UPELEKAJI WA FEDHA NYINGI ZA MIRADI YA MAENDELEO. Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani inayoongozwa na Mbunge Mhe. Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeongoza katika...
  10. Sangu Jr

    JamiiForums Tanzania Semina za fedha

    Habari watafutaji wa jukwaa naomba kufahamu kama kuna mtu anafahamu taasisi au kampuni inayohusika katika kutoa semina za mafunzo kazini za wafanyakazi wa ma bank kama, tellers, wahasibu, mapokezi, ma afisa mikopo n.k. Iko moja naifahamu inaitwa AFFLUENCE TRAINING LTD na nimeshiriki semina zao...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu mgawanyo wa fedha za malipo ya marehemu

    Habari humu ndani naomba kupata mwongozo kidogo Baba yangu alikuwa na mji hapa dar na amefariki sasa mji wake umetwaliwa na TRC kwa ajili ya ujenzi wa SGR sasa malipo yake ndio naitaji kujua mgawanyiko wake unakuwaje tuko watoto sita na mama , kuna jambo moja nataka kuongeza hapo sisi watoto...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kuchangia fedha ili kupata huduma ofisi ya mtendaji wa kata, ama mtaa ni utaratibu ulowekwa na mamlaka au utaratubu binafsi?

    Leo naomba kueleweshwa tafadhali, huu utaratibu wa kuchangia elfu mbili (2000)kila unapoenda kupata huduma ofisi ya mtendaji wa kata, ama mtaa ni utaratibu ulowekwa na mamlaka ama ni utaratubu binafsi. Je, hicho ni chanzo cha mapato ya serikali au ni mapato ya mtu binafsi? Na kama iko kisheria...
  13. plan z

    JamiiForums Tanzania Uongo tulioaminishwa kuhusu fedha

    UONGO TULIOAMINISHWA KUHUSU FEDHA Nafahamu wengi wetu tumejaribu kwa namna mbalimbali kutafuta kanuni ya fedha. Hebu jiulize binafsi ni vitabu vingapi umesoma, semina ngapi umehudhuria, maombi mangapi umeomba, ushauri ngapi umefuata. Lakini huoni matokeo yeyote. Bado umestuck kwenye shughuli...
  14. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro Ampongeza Simbu Kwa Medali ya Fedha.

    Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt Asha-Rose Migiro, Ampongeza mwanariadha Alphonce Felix Simbu kwa kunyakua Medali ya fedha baada ya kuibuka mshindi wa pili, nyuma ya Mganda Victor Kiplagat katika mchuano wa Marathon Kwa wanaume katika Michezo ya Jumuiya ya Madola yaliyofanyika leo jijini...
  15. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha wa Mbio Ndefu Marathon (42KM) Alphonce Felix Simbu Amenyakua Medali ya Fedha

    Mwanariadha wa Mbio Ndefu Marathon (42KM) Alphonce Felix Simbu Amenyakua Medali ya Fedha ,kwa kukimbia muda (2:12:29) nyuma ya Mganda Victor Kiplagat (2:10:55) na Mkenya wa Tatu Kwa Muda (2:13:16), kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola yaliyofanyika Jijini Birmingham, Uingereza Leo Tarehe 30...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mwalimu: TANU iliwakuta na fedha zao tayari

    JULIUS NYERERE ALISEMA TANU IMEUNDWA IMEWAKUTA NA FEDHA ZAO HAWAKUTAJIRIKA NDANI YA CHAMA Historia ya wafadhili wa TANU na harakati za kupigaia uhuru wa Tanganyika bado haijaandikwa. Mwalimu Nyerere katika miaka ya 1970 alipata kusema kuwa kuna watu TANU ilikuwakuta nafedha zao wazalendo kama...
  17. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mteue Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Fedha na Mipango

    GTs, Nina maoni: Naona kabisa Mh. Rais akimteua Dkt Ashatu Kijaji kwa nafasi ya waziri wa Fedha na Mipango itakuwa vema kwa uchumi wetu. Sababu: 1. Dkt Ashatu ni msomi na mbobevu katika masuala ya mipango na fedha. 2. Dkt Ashatu ni muadilifu na mwenye maadili 3. Dkt Ashatu ni mcha Mungu na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara Midogo Serikalini: Serikali iingie makubaliano na taasisi za fedha watumishi wakope kupitia posho na pia sheria ya moja ya tatu itazamwe upy

    Ukweli ni kwamba, kwa miaka mingi mishahara serikalini imekuwa duni na bahati mbaya zaidi, uwezo wa serikali kuongeza mishahara sasa unaonekana kushuka na bila shaka sababu kubwa ni serikali kuwa na miradi mikubwa na ya gharama pasipo kuwa na vyanzo vya uhakika (hawakujipanga). Hivyo, kutokana...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Biashara, Fedha na Uwekezaji vifundishwe Shuleni Kwa vitendo nadharia hatufikishi kwenye matokeo

    1. Kidato cha kwanza mpaka cha nne Elimu ya biashara, uwekezaji na fedha itolewe kwa nadharia 2. Kidato cha tano na sita Elimu ya biashara na uwekezaji na fedha itolewe kwa vitendo walau asilimia 10 ya ada itumiwe na wanafunzi kubuni au kuwekeza kwe biashara kwa vitendo... 3. Chuo 20% ya Alama...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Fedha za Mfuko wa Jimbo

    Kama ulikuwa unasikia tu kuna Fedha za "𝐌𝐟𝐮𝐤𝐨 𝐰𝐚 𝐉𝐢𝐦𝐛𝐨," basi tuelimishane hapa na kuchangia hoja hii. Kwanza fedha za mfuko wa Jimbo zimetokana na sheria namba 16 ya mwaka 2009 ambayo ilitungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kutambua mfuko huo kama "Constituency Development...
Back
Top Bottom