fedha

  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za ufisadi wa makamu mwenyekiti wa Chadema taifa, zazorotesha hali na mwenendo wa uchangiaji fedha kwaajili ya baraza kuu taifa Sept.15,2026.

    Wana chama wengi wa chadema, pamoja na wafadhili wa chadema wa ndani na nje ya nchi hawana tena imani na uongozi uliopo wa chadema kuhusu masuala ya pesa, na wala hawana uhakika wa ikiwa pesa watakazoichangia chadema zitatumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa. Na, kwa mvurugano wa chini kwa chini...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Sisi ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini mkoa Mtwara, bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu tukiuliza tunaambiwa jambo lipo kwenye mchakato.
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Ualimu Kaliua hatujalipwa Fedha za Kujikimu, waliolipwa wamepewa nusu

    Baadhi ya watumishi wa kada ya ualimu katika Halmashauri ya Kaliua hatujalipwa fedha za kujikimu hadi sasa. Wale waliolipwa wamepewa sehemu tu ya malipo hayo, huku kiasi kilichobaki kikiwa bado hakijalipwa. Ufuatiliaji unaonyesha kuwa hata baadhi ya watumishi waliopo kazini kwa muda mrefu bado...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ashura Masoud: Tuhuma za Heche kula pesa hazina ukweli, hahusiki na fedha za CHADEMA

    Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kati, Ashura Masoud, amesema kuwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha zinazomkabili Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, hazina ukweli wowote kwani kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, kiongozi huyo hahusiki na usimamizi wa masuala ya fedha za chama. Masoud amefafanua...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia imefulia? Imeanza kujibebea fedha za Wananchi zilizopo Benki. Eti inataifisha

    Serikali imesema kuanzia Julai 2025 hadi Machi 2026 imetaifisha mali mbalimbali zilizopatikana kwa njia ya uhalifu. Mali hizo ni pamoja na fedha taslimu TZS bilioni 2.9, dola za Marekani 903,875, hati fungani tatu zilizopo Benki Kuu zenye thamani ya TZS milioni 490, nyumba na viwanja 46, magari...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania IMF yaipatia Tanzania Dola Milioni 443.9 baada ya kukamilisha Tathimini ya Mwisho

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), limeidhinisha kutolewa mara moja kwa takriban dola za Marekani milioni 443.9 kwa Tanzania baada ya kukamilisha tathmini za mwisho chini ya programu za Extended Credit Facility (ECF) inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ya Lissu na Heche ichangiwe kwa moyo mweupe. Fedha zipo salama hii sio ile SACCOS ya Mbowe.

    Natoa wito kwa Watanganyika wote na Wazinzabari kuichangia Chadema hii maana ipo kwa ajili ya ukombozi wa taifa letu. Kutoa ni moyo. Watu wachangie bila kuwa na hofu . Pesa na michango ipo salama tofauti na zama za Mbowe. Propaganda mfu za wanaCCM waliokosa sera zisisikilizwe. Mimi binafsi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Siasa Safi Na Fedha

    Habari Wana Jf,Nimetafakari Sana juu ya Maisha yetu wanadamu hapa Dunia! _Fedha inaweza kununua chakula sio hamu ya kula _Fedha inaweza kununua Dawa sio Afya! _Fedha inaweza kununua vitu vya Anasa sio Furaha! _Fedha inaweza kununua vifaa vya vita vya Kila aina sio Amani! Kusingiziana wanadamu...
  9. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tunapoteza mwelekeo: Kwa nini kelele nyingi kwenye michango ya Tonetone, lakini kimya kwenye fedha za umma?

    Kuna jambo ambalo Watanzania tunapaswa kulitafakari kwa kina. Katika kipindi hiki, mjadala mkubwa umeibuka kuhusu tuhuma zinazomhusisha kiongozi wa CHADEMA, John Heche, kuhusu fedha za michango ya wananchi. Tuhuma hizo zinapaswa kuchunguzwa kwa haki na kwa kufuata taratibu za chama na sheria...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Fedha zinazokusanywa mikutanoni zinawekwa banki na zinatoka kwa utaratibu maalum

    Mnyika amesema kuwa fedha za tonetone zinazokuswanywa mikutanoni zinawekwa banki, na kisha ili pesa itoke ni lazima ziwekewe saini na watu 2, hivyo pesa za makao makuu zinatoka zikiwa pesa ikiwa imesainiwa na katibu Mkuu. Tuhuma za matumizi ya pesa kwa viongozi ni uongo, pesa ziko salama
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Katika vijiji vya kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi

    Katika vijiji vya kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi takribani miaka 3 iliyopita. Baadhi ya nyumba zilishapata huduma, ila kuna wengine bado hatujapata hiyo huduma. Tukaambiwa kwamba sisi...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dkt. Lugomela: Niliwapatia fedha za posho baadhi ya madiwani kwenye mchakato wa kura za maoni za CCM mwaka 2025 hawakutekeleza makubaliano

    Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema aliwapatia baadhi ya madiwani fedha alizozitaja kuwa ni posho wakati wa mchakato wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2025, akidai baadhi yao hawakutekeleza makubaliano waliyokuwa nayo. Akizungumza katika kikao cha...
  13. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ipi hatma ya fedha za Basket Fund(HSBF) kwa vituo vya kutolea huduma za Afya?

    Fedha za basket fund ambazo huwa zinaingizwa kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya kila baada ya robo mwaka haijaingia tangu mwezi disemba 2025. Hii imepelekea changamoto ya uendeshaji wa vituo hivi vya Afya kwani fedha hizi hutumika kununua dawa na vifaa tiba, kulipa bili za umeme na maji...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Kutoka Symbion hadi Sheria ya Fedha 2026 na Ufisadi katika Uagizaji Mafuta. je, Luhaga Mpina amebadili msimamo?

    Dar es Salaam. Taarifa waqliyoitoa Chama cha ACT-Wazalendo walipokuwa wanaongea na Waandishi wa habari. kuwa litafungua mashauri mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 limefungua mjadala mpya kuhusu nafasi ya siasa za upinzani katika usimamizi wa fedha za Umma...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya Hospitali ya KCMC hatujapata fedha za kujikimu

    Kwanza, napenda kuwashukuru kwa kazi kubwa mnayoifanya ya kuwapa wananchi nafasi ya kutoa maoni, changamoto na kero zao kupitia jukwaa hili. Ninaomba kupaza sauti kuhusu suala la malipo ya hela ya kujikimu kwa baadhi yetu tuliokuwa tumeajiriwa katika Hospitali ya KCMC kwa mkataba na baadaye...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nafuatilia Pasipoti Uhamiaji Kurasini tangu 2025, nimelipia fedha kamili wao wanataka wanipe Pasipoti ya muda! Why?

    Nina dukudhuku kuhusu Idara ya Uhamiaji Kurasini hapa Dar es Salaam, Mtu unaomba Passport kwa ajili ya matembezi mfano kwenda Kenya wao wanataka bank statement, unaleta bank statement wanataka barua ya mwaliko. Unaleta barua ya mwaliko wanakusukumizia kwa afande mwingine wanaanza kuhoji ukoo na...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha amjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania

    Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omaramjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania Pia soma: Luhaga Mpina: Bei ya mafuta imeshuka soko la Dunia kwa 22% lakini hatuoni bei zikishuka hapa nchini
  18. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ongezeko la Excise Duty kwenye magari ni changamoto mpya kwa Wananchi

    Wizara ya Fedha imewasilisha bajeti ya mwaka mpya ambayo imejumuisha ongezeko la kodi ya excise duty kwa magari, ambapo baadhi ya magari yameongezewa kwa asilimia 10 na mengine kwa asilimia 5 kulingana na umri wa gari. Sisi wafanyabiashara tunaelewa kuwa kodi ni wajibu wetu na hatupingi kulipa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Taharuki Mpimbwe: Katibu wa Hospitali Asimamishwa Baada ya Kuibua Maswali ya upigaji wa Fedha

    Katibu wa Hospitali ya Wilaya ya Mpimbwe amesimamishwa kazi na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mpimbwe baada ya kuhoji masuala yanayohusu malipo ya fedha za kujikimu kwa waajiriwa wapya pamoja na matumizi ya fedha za ujenzi wa njia za watembea kwa miguu (walkway) katika hospitali ya wilaya...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kabla ya sasa hivi tulishwahi na Waziri wa Fedha Mzanzibari kwenye muungano?

    Kwa nijuavyo, hatujawahi kuwa na waziri wa fedha mzenj tangia Nyerere hadi Magu. Najua Fedha si suala la muungano huenda ndiyo maana wote wenye akili timamu waliamua kutokuwa na mawaziri wa fedha wazenj. Je, ilikuwa ni ubaguzi, upendeleo, au mahitajio ya katiba ya JMT? Imekuwaje Samuya...
Back
Top Bottom