fedha

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Ajira Mpya 2026 tunahitaji Haki sawa ya Malipo ya Fedha za Kujikimu

    Sisi walimu wa ajira mpya 2026 tunaonyesha masikitiko yetu kutokana na kutopatiwa fedha za kujikimu, ilhali watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya tayari wamepata stahiki hizo kupitia TAMISEMI. Tunaiomba Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kutoa ufafanuzi kuhusu tofauti hii ya utoaji wa stahiki...
  2. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Prof Anna Tibaijuka kwenye muswada wa Fedha 69 wa 2026

    Anna Tibaijuka, aliyekuwa Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi, UN-Habitat-Nairobi na Waziri wa Tanzania, anachambua marekebisho ya Sheria ya Fedha 2026 kwenye kifungu cha 69 cha Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania. Marekebisho hayo yanaruhusu serikali kupata mapato ya muda kutoka kwa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Hoja ya Festo Sanga 'kutungwa kwa Sheria ya Fedha au mali ambazo hazikudaiwa, hatua zimeanza kuchukuliwa

    Kufuatia pendekezo Mahsusi lililotolewa na Mbunge wa Makete, Festo Sanga kuomba kutungwa kwa sheria ya kufuatilia na kusimamia Fedha au mali ambazo hazikudaiwa, zimetelekezwa au zimesahaulika na Wamiliki wake kwenye Makampuni au Taasisi mbalimbali kama Bank, Mitandao ya Simu, Mifuko ya Hifadhi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Je Misafara ya Viongozi inazingatia matumizi ya fedha za walipa kodi?

    Kumemekuwa na kawaida viongozi wengi wakiwemo Mawaziri kutembea na misafara mikubwa wanapokwenda kwenye ziara zao ikiwemo kuwasafirisha waandishi wa habari kila waendako. JE hizi bajeti hutoka wapo?
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutoka halmashauri ya Busokelo, sijalipwa fedha zangu za uhamisho wala posho ya likizo tangu 2021

    Mimi niliajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo mwaka 2021, nikifanya kazi katika Hospitali ya Wilaya. Baada ya miezi miwili nilipewa barua ya kuhamishwa kituo cha kazi, hivyo nikaandika barua ya kuomba posho ya uhamisho. Hata hivyo, hadi leo sijalipwa. Nimekuwa nikiandika barua za...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona fedha uchochezi zinaenda kukata Chadema inarudia kwenye hoja za "Deep Green"

    Mara zote tuliwaasa kusimama na maslahi ya watu yaani kuzisemea shida za watu na kuja na sera mbadala kwa ajili ya watanzania. Chadema ilihama kutoka kuwa chama cha upinzani kwa maslahi ya watanzania ....chama ambacho kilikuwa kinaibua ufisadi na kuleta hoja kinzani zilizoifanya ccm kujipanga...
  7. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Kama Dhambi zako hazikuingizii Fedha achana na hizo Dhambi.

    Matendo yanayoonekana kama Dhambi lakini yanaingiza Pesa nyingi. Katika jamii yetu na jamii za kidini, kuna mielekeo ambayo inasifika kuwa ni "dhambi" lakini kwa kweli inaingiza pesa nyingi. Uelimishaji huu ni muhimu ili watu wajue ya kwamba si matendo yote yanayoonekana kuwa si safi kidini...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!.

    Hili ndio Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!. Toka Muungano , Tanganyika imekua inaibeba sana Zanzibar , Kwa Tanganyika kama kupoteza tulishapoteza vitu vingi sana Kiasi kwamba HAMNA NAMNA YOYOTE YA KUIACHA ZANZIBAR IWE NCHI . Zanzibar ni Alama...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tujiepushe na tamaa ya mali au kupenda fedha

    Tujiepushe na tamaa ya mali au kupenda fedha Kwa namna ya kawaida fedha haina ubaya wowote, ni nyezo ambayo Mungu aliiruhusu iwepo na itumiwe ili kuendesha kushughuli zote za kijamii: Mhubiri 19:19 “…Na fedha huleta jawabu la mambo yote”. Lakini kitendo cha kupenda fedha, hicho ndicho Mungu...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la Kuboresha Huduma za Utumaji Fedha Kupitia Mawakala wa Simu

    Hoja kuhusu Kuboresha Huduma za Utumaji Fedha Kupitia Mawakala Ningependa kutoa maoni yangu kuhusu huduma za utumaji fedha zinazotolewa kupitia mawakala wa mitandao ya simu. Kuna haja ya kuweka utaratibu bora zaidi utakaomwezesha mteja kutuma fedha moja kwa moja kwenda sehemu yoyote nchini...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kamwe, usijaribu kubet ili kurudisha fedha uliyopoteza, tulia kwanza, vinginevyo Muhindi atakufurahisha

    Kamwe, usijaribu kubet ili kufidia hasara uliyopata kwenye beti ya kwanza Moja ya makosa makubwa ambayo bettors wengi hufanya ni kujaribu kurudisha pesa waliopoteza kwa kubet tena haraka. Hali hii, inayojulikana kama kufukuza hasara (chasing losses), mara nyingi huanza kama wazo la kufidia...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wajawazito wanasita kwenda Kituo cha Afya Nindo - Shinyanga Vijijini sababu wanatozwa hela

    Ninaishi Iselemagazi, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu huduma zinazotolewa katika Kituo cha Afya Nindo. Katika kituo hicho, wanawake wajawazito wanaoanza huduma za kliniki hutakiwa kulipa shilingi 10,000, na wakati mwingine fedha hizo hukusanywa bila...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Said Mtanda: Mkandarasi anayejenga Soko la Kirumba - CHINA RAILWAY GROUP ameanza kuingiza malipo ya NSSF ya Watumishi wake

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amefafanua hoja iliyotolewa na Mdau wa JamiiForums aliyelezea kuwa Mkandarasi raia wa China anayejenga soko hilo hawasilishi michango ya Wafanyakazi wake katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Mtaka amesema “Ukweli ni kuwa kampuni hii tangu kusajiliwa na...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha: Tumetenga Tsh. 50 kuboresha barabara za Mtaa Kibaha Mwaka wa Fedha 2026/2027

    Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha Mkoani Pwani imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya Barabara kutoka Sheli hadi Mpigi na ile ya kuelekea Tankini na Muheza katika Kata ya Mailimoja kwa kusema kuwa ilipeleka kiasi cha Shilingi Milioni 420 kwa mgawo wa Shilingi Milioni 30 kwa kila kata. Taarifa ya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Shabiby Aifagilia Bajeti Kuu, ampa tano Waziri wa Fedha, Akiwatetea Bodaboda

    Wakati akiritirisha maoni, ushauri kwenye kuchangia Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2025-2030, Mbunge wa Gairo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby amesema kuwa, kwa mara ya kwanza mwaka huu (2026) ameona bajeti iliyo bora sana katika bajeti nyingi alizowahi kushuhudia. Mbunge huyo...
  16. Mtoto Teule

    JamiiForums Tanzania Daah! Na imagine kama fedha ingekuwa inachimbwa.. dunia ingekuwa mashimo adi sio powaa!!

    Daah! Na imagine kama fedha ingekuwa inachimbwa.. dunia ingekuwa mashimo adi sio powaa!!
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hivi wenzangu, mnafanyaje mnapobeti hamgusi fedha mlizoweka kama akiba?

    Eti Wakuu mnafanyaje? Nimefanya kila mbinu kuepuka mtego huu wa ku-bet bila kutumia pesa yangu ambayo nimeweka kama akiba ila nimeshindwa, umekuwa ugonjwa wangu karibu kila ninapo suka mikeka yangu. Hali hii inaniumiza sana na sijui najinasuaje?
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Magari yaliyotumika yanayoingizwa Nchini kutozwa Ushuru wa 50%

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni Juni 11, 2026, ametangaza kupandishwa kwa viwango vya ushuru wa bidhaa kwenye magari yaliyotumika yanayoingizwa nchini, huku kigezo cha umri wa gari kikichukua nafasi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 62.33 kwa mwaka 2026/2027

    kwa mwaka2026/27 Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 62.33, ikiwa ni ongezeko la asilimia 10.3 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2025/26. Mchanganuo wa Matumizi ya Shilingi Trilioni 54.5 Waziri wa Fedha amefafanua kuwa kiasi hicho cha fedha kimetengwa kwa ajili ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoza ushuru wa forodha wa kiwango cha 10% kwenye mafuta ya kula

    Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akiwasilisha Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2026/27 leo Juni 11, 2026, Bungeni, Dodoma, amesema kuwa erikali imependekeza kufanya marekebisho makubwa kwenye kodi na ushuru wa mafuta ya kula, ikiwa ni pamoja na kuanza kutoza ushuru wa forodha wa...
Back
Top Bottom