fedha

  1. Adharusi

    Serikali imewakosea nini walimu wa Tanzania kugoma kuwalipa Fedha za likizo ya malipo Disemba 2023

    Tukiwa tunaelekea kwenda kumaliza mwaka wa fedha wa 2023/24 .Walimu wa Tanzania shule za msingi na Sekondari hawajalipwa fedha za Likizo ya mwezi DISEMBA 2023 imekua ni kuwaida serikali kuwalipa walimu fedha za likizo kwa namna inavyojisikia sio kwa mujibu wa sheria ,kanuni na taratibu.. Imekua...
  2. Dalton elijah

    Dkt. Mpango ahimiza ubunifu sekta ya fedha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, amepongeza jitihada za taasisi zote za sekta ya fedha nchini kuhimili vihatarishi vyote vilivyojitokeza na kufanya sekta hiyo kuwa imara na himilivu kwa kuongeza ubunifu na uwezo wa kubadilika kuendana na mazingira...
  3. BARD AI

    Wizara ya Fedha: Tanzania ipo kwenye viwango vizuri vya kuendelea kukopesheshwa kati ya nchi chache

    Madeni ya nchi nyingi za Afrika yanakua kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa viwango vya riba na kubadilisha fedha duniani na kusababisha kushuka kwa thamani ya fedha za ndani. Hayo yamebainishwa Mjini Victoria Falls, Zimbabwe, na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, kwa...
  4. Replica

    Kampuni ya Magnis ya Australia yaitumia Graphite ya Ruangwa kupata bilioni 816

    Kampuni ya mitaji ya Singapore, PAY imetoa dola za kimarekani milioni 320 kwa mradi wa Graphite mkoani Ruangwa unaotekelezwa na Magnis. Kampuni ya Magnis Energy kupitia kampuni yake tanzu nchini, Uranex Tanzania Limited inamiliki mradi wa Nachu Graphite uliopo Ruangwa mkoani Lindi. Kampuni ya...
  5. Roving Journalist

    Viwango vya kubadilisha fedha vyakuza deni nchi za Afrika

    Na. Eva Valerian na Peter Haule, WF, Victoria Falls, Zimbabwe Madeni ya nchi nyingi za Afrika yanakua kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa viwango vya riba na kubadilisha fedha duniani na kusababisha kushuka kwa thamani ya fedha za ndani. Hayo yamebainishwa Mjini Victoria Falls, Zimbabwe, na...
  6. Ngongo

    Maduka ya kubadilisha fedha Jijini Arusha yachunguzwe

    Baada ya mwendazake kwenda zake na mambo yake ya ovyo ovyo, maduka ya kubadilisha fedha za kigeni (Forex Bureau) yalirejea lakini katika namna ambayo si ya kibiashara. Ukienda kununua USD kila siku utaambiwa hakuna na siku wakiamua kukuuzia wanakuuzia USD 100 only. Haya maduka yapo kwaajili ya...
  7. U

    Hizi ndizo fedha zitazolipwa kwa kila timu kulingana na hatua walizofika mashindano ya CAF

    MUHIMU - Kila timu inapewa pesa ya nafasi iliyofikia na sio kila hatua, ikiwa timu itaomba pesa za usafiri, malazi, vyakula, n.k. Mashindano yakiisha watalipwa kiasi kilichobakia baada ya kutoa fedha walizopewa. US$ 1 = shilingi 2,545 Tshs BINGWA: US$ 4 million Shilingi bilioni 10 na milioni...
  8. kavulata

    Mayelle alichagua fedha badala ya furaha.

    Kule pyramids Kuna fedha lakini hakuna furaha kwa Mayelle. Money over happiness¡
  9. Pfizer

    Waratibu wa huduma ndogo za fedha nchini wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kushirikiana na BoT

    Na Eva Valerian na Asia Singano Waratibu wa huduma ndogo za fedha nchini wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ili kuboresha huduma za fedha na kuleta maendeleo ya kiuchumi hapa nchini. Hayo yalisemwa na Afisa Mkuu Mwandamizi Idara ya Uendelezaji wa...
  10. S

    Rais Samia, ichunguze Benki Kuu(BoT) kama kweli wako serious katika kusimamia Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha kwa wanaokepesha bila leseni

    Hii taasisi kila wakati inatoa taarifa kwa umma kupitia tovuti yao ya www.bot.go.tz kuonya watu waache kufanya biashara ya kukopesha bila leseni yaani kinyume na Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 na kanuni zake. Kinachinishangaza ni kuona matamko mengi ya kuonya watu wanaojihusisha...
  11. S

    Upungufu wa dola nchini: Je, haiwezekani sababu ni kupungua kwa fedha za wafadhili kama sio matumizi ya dola katika kulipa madeni ya nje ya nchi?

    Japo mimi sio mtaalamu wa mambo ya kifedha, lakini napata wasiwasi kuwa sababu ya upungufu wa dola hapa nchini inaweza kusababishwa na ama kupungua kwa fedha za wahisani kama sio matumizi ya dola katika kuhudumia deni la taifa sababu ambazo zinaweza kuwa ni ngumu kuziweka hadharani iwapo kweli...
  12. B

    Ridhiwan Kikwete: Serikali kutowafumbia macho wanaofuja fedha za TASAF

    Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete amewaonya watumishi na waratibu wa mradi wa kuondoa umaskini (TASAF) kuhusu matumizi mabaya ya pesa za mradi na kutofuata maelekezo yaliyotolewa kusimamia mradi huo. Serikali imeeleza haya Bungeni wakati wakijibu...
  13. F

    Kama wewe ni kijana mwenye umri usiozidi miaka 22, na una ubunifu au uvumbuzi wa hali ya juu tayari na unatafuta fedha za mradi wako fuatilia uzi huu

    Soma vizuri hadi mwisho na ujaze fomu iliyowekwa mwishoni kabla ya mwisho wa mwezi February. Researchlink International (www.researchlinktz.com) itatoa msaada wa kitaalam wa ku-apply kuongeza uwezekano wa kufaulu. Kuna fursa nzuri ya kupata fedha kutoka kwa kampuni ya Thiel Foundation. Kampuni...
  14. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha

    Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mheshimiwa Jenista Mhagama amehimiza ujenzi wa nyumba za waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope, miti na...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Juliana Masaburi Aibana Wizara ya Ardhi Kuhusu Kutumia Fedha za Kigeni Katika Malipo ya Upangishaji Nyumba

    MBUNGE JULIANA MASABURI AIBANA WIZARA YA ARDHI KUHUSU KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KATIKA MALIPO YA UPANGISHAJI NYUMBA Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum, ambaye swali lake namba 15 kwa niaba limeulizwa na Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini, Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo...
  16. M

    Majaliwa: Suala la Picha ya Rais Samia kuwekwa kwenye fedha litajadiliwa

    Akijibu hoja ya Ng'wasi Kamani kuhusu kuwekwa kwa picha ya Rais Samia kwenye fedha zetu Bungeni leo, PM Majaliwa amesema suala hilo litajadiliwa kwa kina. "Maamuzi ya kuweka picha kwenye noti mara nyingi yanafanywa na kiongozi mwenyewe kwa kushauriana na Benki Kuu, kwa kuwa umelileta hili na...
  17. ChoiceVariable

    Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

    Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania ili kutunza kumbukumbu na alama muhimu ya Maendeleo ya Nchi yetu. BoT fanyeni haraka wazo hili. === Mhe. Waziri Mkuu mwaka 2006 Bunge hili lilipitisha sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya kuipa mamlaka benki hii...
  18. Wizara ya Afya Tanzania

    Waratibu wa Afya ngazi zote wametakiwa kuhakikisha wanasimamia fedha za chanjo na lishe zinazotolewa na Wadau pamoja na Serikali

    Na WAF - DAR ES SALAAM Waratibu wa Afya ngazi zote wametakiwa kuhakikisha wanasimamia fedha za chanjo na lishe zinazotolewa na Wadau pamoja na Serikali zinafika zinapokusudiwa kwa wakati ili kupunguza tatizo la Ukosefu wa elimu ya lishe na magonjwa ya mlipuko. Hayo yamesemwa na Naibu katibu...
  19. Adharusi

    Ushauri kwa Wizara ya Fedha kuhusu kuongeza mapato kupitia usajili wa namba za magari

    Waziri wa Fedha pamoja na wasaidizi wako nataka niwashauri kuhusu kodi ya plate number binafsi [Majina kwenye plate Namba] za vyombo vya moto (Magari) kama tunataka kuongeza mapato huduma hiyo iwe na watumiaji wengi Ishuke iwe kwa mwezi, serikali iweke Tsh laki moja kwa mwezi [100,000] itapata...
Back
Top Bottom