fedha

  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Maneno haya yanamhusu Mbowe na genge lake. Hawatafanikiwa kuibomoa Chadema kwa fedha za CCM

    Mbowe anapoteza muda👇
  2. H

    JamiiForums Tanzania Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za -Waziri Mkuu Nchemba

    Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za kimawasiliano-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bumbuli...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini -Waziri Mkuu Dkt Nchemba

    Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za kimawasiliano-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bumbuli...
  4. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania NI NJIA GANI BORA YA KUTOA FEDHA KUTOKA META (Facebook).

    Wakuu mimi ni mgeni katika sekta ya pesa mtandaoni, ila Meta kwa sasa wananitaka kuweka payout details, kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua kuna mbinu 3 hivi 1-Kupitia Payoneer 2- PayPal 3-Direct kuja bank zetu hizi Lengo langu pia ni kutunza hivyo vijisenti vikiwa katika Dollar make...
  5. U

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu kutolipwa fedha za Wakulima na Watumishi walioshiriki Nanenane Halmashauri ya Mbulu

    Resolved
  6. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Arusha: Raia wa Romania akamwatwa kwa kuiba fedha bank.

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha inamshikilia raia wa Romania, Constantin Catalin Podoleanu, mwenye umri wa miaka 39, kwa tuhuma za kutumia taarifa za kadi za benki zilizoibwa na kujipatia fedha kwa njia haramu. Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Arusha, Zawadi Ngailo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania WI-FI ya Airtel ni matatizo matupu. Ni wizi wa fedha za watu maana mtandao unapatikana kwa shida kubwa! Very very very slow!

    Hiyo ndiyo hali halisi. Tafadhali rekebisha kasoro hiyo! i very recent tatizo hilo limeanza. Ni mtandao gani mtu anaweza kuhamia?
  8. Red black

    JamiiForums Tanzania Hii fedha ina miaka 70 lakini iko kwenye Quality ile ile.

    Sijui ilipita kwenye mikono ya watu wangapi na ilifanya biashara gani lakini iko kwenye Quality ile ile.
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Wapya Halmashauri ya Wilaya ya CHATO - GEITA bado hatujalipwa kabisa Fedha za kujikimu

    Idara ya Maendeleo ya Jamii, bado hatujalipwa kabisa Fedha za kujikimu hadi sasa katika kipindi cha miaka mingi sana. Tangu tumeajiriwa mwaka 2023, mwaka 2024, mwaka 2025, na mwaka huu 2026. KERO, yetu ni hiyo yaani kila muda tunaulizia, wanasema andikeni barua... Ukweli ni kwamba Barua...
  10. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania FAIDA FUND (WHI) YATOA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA MOI KUHUSU UWEKEZAJI WA FEDHA

    Mfuko wa Faida Fund, unaosimamiwa na Watumishi Housing Investment (WHI), umetoa mafunzo elekezi ya siku tatu kwa watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), yenye lengo la kuwaelimisha kuhusu umuhimu wa kuweka akiba na kuwekeza fedha kwa ajili ya maisha yao ya baadaye...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Je ni Kweli Fedha Hazitakua na Umuhimu Ifikapo Mwaka 2036

    "Money Won't Matter in 2036" Utabiri wa Elon Musk kwamba fedha zinaweza kuwa “hazina umuhimu” (irrelevant) karibu na mwaka 2036. Musk ameeleza kuhusu mustakabali wa miaka 10–20 ijayo ambapo AI na roboti zinaweza kufanya kazi nyingi za binadamu kuwa za hiari, na hivyo kupunguza sana umuhimu wa...
  12. Think2

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashindwa mtihani wa uwazi wa fedha

    Tanzania imeshindwa kufaulu mtihani wa uwazi wa matumizi ya fedha wa marekani huku kenya ikifaulu mtihani huo Swali :Wewe unafikiria ni kwanini Tanzania imeshindwa mtihani huo ? Mwisho tunamsubiri mzee wa makanusho aka Msigwa ila Msigwa
  13. Pakome

    JamiiForums Tanzania Silaha ya Ushindi iliyobakia kwa CHADEMA ni moja tu, nayo ni silaha ya fedha

    CHADEMA ilishatumia silaha nyingi sana lakini zimekuwa zikiyumba au kutokuleta matokeo mazuri Silaha iliyobakia ni moja tu ambayo ni silaha ya pesa CHADEMA itakapochangiwa na Wananchi fedha nyingi matokeo yake itakuwa CHAMA hatari sana sana ambacho hakijawahi kutokea Kitakuwa ni CHAMA tajiri...
  14. bless on

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Mary J. Blige: Usaliti na Mtego wa Fedha

    Katika umri wa miaka 47, akiwa anatakiwa kupumzika na kufurahia matunda ya jasho lake la zaidi ya miaka 20 kwenye muziki, Malkia wa Hip-Hop Soul, Mary J. Blige, alipanda jukwaani usiku na mchana kufanya ziara (tours) za kimataifa bila kupumzika. Lakini safari hii, hakuwa anafanya shoo hizo kwa...
  15. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa mwendokasi unakata fedha mara mbili kwenye kituo kimoja kimakosa

    Kuna changamoto kwenye kituo cha mwendokasi ambapo wakati wa ku scan inatoa notification haijafanikiwa ukirudia ku scan ikikubali wanakata fedha mara mbili. Leo nilikuwa naelekea kivukoni sasa nikaweka tsh 2000 ambapo cashier amedhibitisha hela iliwekwa kwenye card ,, sasa wakati nimeenda ku...
  16. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Mwalimu anatufanya tutafakari zaidi vyanzo vya fedha vya Tajiri G ,Timu Y na mwenendo mzima wa ligi N ya Nchi ya T

    Kuna wakati huwa nahisi Tajiri M ,Timu S na viongozi wake wanapitia kipindi kigumu sana ambacho wanashindwa kuweka wazi kila kitu . Kulingana na forbes Tajiri M ni tajiri namba 1 Nchi T kwa kipindi kirefu, na ashawahi kuwa tajiri mdogo zaidi kwenye top 50 Bara A . Kulingana na Kiongozi M ...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya bajeti na usimamizi wa fedha za umma kwa kuzinga

    Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya bajeti na usimamizi wa fedha za umma kwa kuzingatia usawa wa kijinsia, hatua inayolenga kuhakikisha rasilimali za Serikali zinatumika kwa ufanisi katika kuchochea maendeleo jumuishi. Mhe...
  18. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA inadaiwa na Mwaipopo mali, fedha au chochote mrudishieni kwasababu kila kukicha anawalaumu hadi koo linamkauka

    Sijajua kama kuna madai kati ya Mwaipopo na CHADEMA kwasababu kila kukicha analaumu akidai CHADEMA ni Chama kiovu Amekuwa akilaumu kucha kutwa hadi koo kumkauka, imefikia hatua ya kuwaita CHADEMA, Wananchi wanaoiunga kuwa ni wajinga Huku akidai kuwa yeyote atakayepanga kumdhuru atateketea yeye...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Zawadi kwa Diamond na Zuchu ni utakatishaji fedha. Serikali ipo kimya

    Tungekuwa na Taasisi imara za kupambana na Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha, basi Diamond na Mke wake wangekuwa washahojiwa. Japo waelezee waloleta hela wana uhusiano gani. Wasanii wa bongo wanashiriki kutakatisha fedha.. Kwenye Kitchen party, Harusi(zinazovunjika baada miezi kadhaa)...
  20. TADPOLE

    JamiiForums Tanzania P-SQUARE SAGA: PETER OKOYE AFUNGUKA KILA KITU — FEDHA, JUDE, PAUL, EFCC, NYUMBA, NA MIGOGORO YA FAMILIA

    Sakata la P-Square limechukua sura mpya baada ya Peter Okoye, maarufu kama Mr P, kuamua kufunguka hadharani kuhusu kile anachodai kuwa ndicho kilichosababisha kuvunjika kwa moja ya duo kubwa zaidi za muziki Afrika. Peter ametoa simulizi yake kupitia mfululizo wa video unaofikia Part 8/8b...
Back
Top Bottom