fanya

Agafangel (Russian: Агафа́нгел) is an old and rare Russian Christian male first name. The name is derived from the Greek name Agathangelos, which in turn derives from the words agathos—meaning kind, good—and angelos—meaning bearer of news, messenger.The diminutives of "Agafangel" are Aga (А́га), Fanya (Фа́ня), and Agafangelka (Агафа́нгелка).The patronymics derived from "Agafangel" are "Агафа́нгелович" (Agafangelovich; masculine) and "Агафа́нгеловна" (Agafangelovna; feminine).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii sheri kandamizi ya kikoloni ya kuweka watu wasio na hatia ndani masaa 24 ndiyo inayofanya wakuu wa mikoa na wilaya wajione miungu, iondolewe

    Hii sheria ni ya kipuuzi kabisa ndiyo inayo fanya hawa wakuu wa mikoa wajione wanaweza kufanya lolote kwa mtu yeyote wakati wowote, naamini endapo bunge letu lingekuwa ni bunge kweli la wananchi huo ujinga ungefutuliwa mbali Hii inamfanya mkuu wa mkoa ajione yeye ni mungu maana anaweza fanya...
  2. JamiiForums Tanzania Fanya kwa kusudi na ongozwa na malengo ili kujenga utajiri mkubwa

    Rafiki yangu mpendwa, Hadithi za kulala masikini na kuamka tajiri zimekuwa zinapendwa sana na watu wengi. Wengi hudhani kuna njia ya mkato ya kupata utajiri, ambayo wakiweza kuipata tu basi wanakuwa wameagana na umasikini kabisa. Lakini ukweli ni kwamba hakuna utajiri mkubwa wa kudumu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kama una App ya Tigopesa au huna Fanya hivi

    habari wadau , kama unayo app ya Tigopesa cha kufanya update na pia kwa wewe ambae hauna nenda play store download jisajiri kula maisha wanatoa GB 1 masaa 24 nadhani zitakusaidia kukusukuma,
  4. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi bila kuzeeka fanya hivi

    Ukiwa Kama kijana Una umri kianzia 18 yrs ili usizeeke Mapema na uzeeke ukiwa katika ubora wako tumia hii njia . Waangalie wazee wenye umri mkubwa kuanzia 70 yrs then utazame wanaishije then na wewe Apply hiyo lifestyle. Maana yake ni nini Kuwa na tahadhari Kama Wazee Punguza nights out...
  5. JamiiForums Tanzania Fanya haya ili udumu na mkeo

    1.hakikisha una mmudu hakuna kitu kinacho mvutia mwanamke/kinacho mshawishi mwanamke kuamua kuolewa au kuishi na mwanaume zaidi ya tendo la ndoa Yale Mambo ya vyakula sjui out nyingi magari fedha havina maana Kama mwanamke hatosheki kwenye swala la ngono Kwa maana hiyo unapo amua kuishi na...
  6. JamiiForums Tanzania Coffee table ya Milioni 3, sasa ipate kwa milioni 1 tu. Fanya haraka

    Wakuu, Wale watu Classic karibuni. Coffee table ya Milioni 3, ipate kwa milioni 1 tu. Piga simu haraka. Sasa hivi.. Hii ni offer. Mbezi beach Africana Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669. Mungu akupe nini?
  7. JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha Mvua Fanya Haya Kujilinda na Ajali za Vyombo vya Moto Barabarani

    Habari wana jukuwaa. Ni matumaini yangu unaendelea salama wewe kama mdau! Leo niwape Tips kadhaa zitakazokusaidia Kujiupusha na Ajali unapoendesha chombo cha Moto Barabarani. Ajali nyingi zinaweza kutokea kipindi cha mvua nyingi kwasababu ya uoni hafifu wa madereva na vyombo vingine hivyo...
  8. JamiiForums Tanzania Umemaliza chuo au umeajiriwa fanya biashara zinazohusiana na baadhi ya courses zako ulizosemea chuo

    Kosa moja tunalifanya waajiriwa ni kukurupa kujenga nyumba Kwa mikopo huku nyumba zenyewe hazimaliziki wakati pango la nyumba tu inaweza ikawa million Kwa mwaka na ukaimudu vizuri tu. Sisemi kwamba watu wasijenge ila kuna ushauri mbalimbali humu ndani tumeona bin heri kujipata kwanza kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii inaweza fanya mtu ukawa na msongo wa mawazo.

    Wakati nawaza mshahara upaongezeka kidogo japo ufike laki 9 au milini 1, nakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, 🙌🙌 Wakati naitafita miaka 35, sojawahi miliki gari chombo cha moto, kuna jamaa anasema kaagiza gari yake ya kwanza akiwa na miaka 22. Kuna jamaa...
  10. JamiiForums Tanzania Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

    Fedha inatakiwa uwe na nidhamu nayo katika kuitumia. Kanuni ifuatayo imetumika kwenye vyanzo vyako vyote vya fedha ili uwe na mafanikio yenye amani. Kanuni •Fungu la kumi 10% •Akiba 30% •Matumizi 40% •Dharura 10% •Msaada 5% •Sadaka 5 Jumla 100% Hii kanuni inafanya kazi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais fanya haya kuleta heshima hapo Serikalini

    Kwanza nakupa pongezi kwa kuendelea kudumisha amani katika nchi yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Kifupi kutokana na upole wako katika kuongoza nchi, wahuni wana take advantage ya kukutukana kama alivyoripoti Rc wa Arusha ndugu Paul Makonda. Ukita kuangalia mawaziri wanaotuhumiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana: Kijana fanya juu chini hakikisha una check number

    Hello! Hii nchi bado wasomi wachache si kama tunavyodanganyana vijiweni. Yes, haiwezekani vijana wote wakaajiriwa na serikali lakini vijana wachache watakaosoma huu Uzi na wengine wengi wanaweza kuajiriwa na serikali. Unaweza kuwa na kampuni huku ni mwajiriwa. Unaweza kufungua duka, ukalima...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanaume kabla ya kuoa fanya hivi itakusaidia sana.

    Moja kwa moja kwenye mada Nenda kwenye mahakama zinazo Dili na mambo ya ndoa jipe muda wa miezi kadhaa kusikiliza kesi zilizopo katika hizo mahakama. Pia sikiliza vizuri maamuzi ya majaji juu ya hizo kesi. Zingatia vizuri mwanaume anachukuliwaje kwenye hizo na anaonekanaje. Ukibahatika...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa hard disk speed ni ndogo sana, tusiwe na haraka tuchukue muda kuzikagua kuepuka huu upigaji

    UPDATE / MREJESHO: Tatizo lipo kwenye case ni usb 2.0, nimetesti kuiunganisha moja kwa moja kwenye desktop speed ni nzuri MB 50 kwa sekunde, chief mkwawa kanishauri ninunue case ya usb 3.0 model ni HTS545032A7E380 Nilienda kununua hard disk ya GB 320 kwa elf 25 maalum kwajili ya kuifanya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais Samia fanya haya makubwa nchi itabadilika na uchumi kukua

    Leo nimerudi kwa upande wa ushauri na hivi vitu navyoshauri kila moja ni kitabu chake lakini nitaweka hapa mambo makubwa ambayo Raisi Samia akivifanya vitabadilisha nchi yetu kwa miaka mingi sana ijayo 1. Boresha sheria mbovu ya uchaguzi iliyopitishwa Bungeni kwa kuongeaza chaguzi za serikali...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi drone haiwezi Fanya hii kazi ili lote Lina umuhimu gani?

    https://www.instagram.com/reel/C1nDREBvrDI/?igsh=MzY1NDJmNzMyNQ==
  17. D

    JamiiForums Tanzania Mwana Daresalaam, Fanya hivi unapokabwa na panyarodi.

  18. JamiiForums Tanzania Kwako mkurugenzi wa TANOIL: Fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida

    Kwako mkurugenzi wa TANOIL fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida. Kwanza kabisa naomba kumshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa kuruhusu uhuru wa kujieleza hivyo sasa tunaweza walau hata kushauri kwa uwazi hata kukosoa pia. Pili napenda kuweka...
  19. JamiiForums Tanzania Madeni Yanakutia Stress? Fanya Hivi...

    Baada ya maradhi sugu, hakuna kitu kinachokosesha amani kama kuwa na madeni. Hili jambo linatia stress ya hali ya juu mno. Na mbaya zaidi ni kuwa stress hii inakufanya ushindwe ku focus kufanya vitu vyenye tija katika maisha yako kama kuendesha biashara yenye kukuingizia faida. Muda wote huna...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kabla hujakubali kuolewa ama kumuoa mtu, fanya naye maongezi marefu mjadiliane mambo ya msingi Kuhusu Maisha

    Kabla ya kukubali kuoa ama kuolewa na mtu inapaswa muwe na maongezi marefu kuhusu engo zote za maisha 1. Jadilini kuhusu bilis za maisha atakuwa anazilipa nani na kama mtalipa wote ni kwa mgawanyo gani, usiingie kwenye ndoa kimya kimya ukiwa na silent expectations 2.Mitindo ya malezi, maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…