familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni kitu gani muhimu zaidi katika maisha?

    Kuna wakati mmoja katika kijiji kimoja, kulikuwa na bwana mmoja tajiri sana. Aliishi katika nyumba kubwa, alikuwa na magari mengi na alikuwa na kila kitu alichotaka. Lakini, hakuwa na furaha. Alikuwa na watoto wawili na mke, lakini hakuwa na muda wa kuwasiliana nao na kushirikiana nao kwa sababu...
  2. Moshi: Watoto wawili wa familia moja wateketea kwa moto

    Watoto wawili ambao ni wa kike na kiume, wenye umri wa miaka miwili na nusu na mwingine miaka miwili na miezi minne katika Kijiji cha Shinga, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wameteketea kwa moto baada ya nyumba waliyokuwa wamelala kuungua. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo leo, Februari...
  3. Unajiita Baba/Kichwa cha Familia halafu mtoto wako anakuletea swali la Hesabu ya Darasa la tano, hujui!!

    Et Baba wa nyumba... Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home. Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa kwenye Sofa, na Miwani yako na Upara, kifua wazi ,na Pensi lako , Baba Bonge na likitambi hilooo alafu...
  4. Naomba msaada juu ya jambo hili la ajabu ambalo limetuchanganya kama familia

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, ni jambo lililotushtua kama familia kutokana na uajabu wake. Ipo hivi, siku ya juzi tar 19 majira ya saa sita kasoro usiku nikiwa nimelala fofofo, simu yangu ambayo ilikuwa kwenye 'vibration mode' ilikuwa ikiita. Wife kwakuwa alikuwa bado hajalala akawa...
  5. B

    Siku nikifanikiwa kuwa Rais wa Tanzania; Mafisadi na familia zao zinazoneemeka kwa ufisadi, wataula wa chuya

    Habari wana Jamvi wa Jamii Forums, salamu nyingi kwenu. Napenda kuwahakikishia kwamba nawapenda sana. Ama baada ya salamu hizo za upendo, naomba moja kwa moja nidondoke kwenye mada. Kama vile tunavyofahamu kwamba Mungu anaweza kumfanya mtu yeyote, wa hali yoyote, wakati wowote, kuwa yeyote...
  6. Familia yaridhia Sony Music Africa waachie album mpya ya AKA

    Timu ya Rapa #AKA kwa kushirikiana na Kampuni za Kusimamia Kazi za Sanaa Sony Music Entertainment na The T Effect zimepata baraka za familia ya #JarrydForbes kuachia albam kama alivyopanga mwenyewe. Mkurugenzi Mtendaji wa #SonyMusicAfrica, Sean Watson amesema “Mioyo yetu imevunjika, tumepoteza...
  7. Muhimbili: Familia yaomba Serikali iisamehe deni la Tsh 10m ili wapate mwili wa ndugu yao mochwari. Profesa Janabi atoa utaratibu wa kuchukua mwili

    Familia ya Marehemu Swalehe Mshale (74) wa Mbagala Majimatitu A Wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam, imeiomba Serikali kuwafutia deni la milioni 10 wanalodaiwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambalo limefanya wasiruhusiwe kuchukua mwili wa mpendwa wao mochwari. Mzee Swalehe alifariki katika...
  8. Ili Mungu aibariki familia (ndoa) ni lazima baraka zipitie kwa baba

    Ndoa iheshimiwe na watu wote. Salaam. Ama baada ya salaam leo napenda nishiriki nanyi kitu kipya kiitwacho baraka. Baraka sio utajiri ila hutajitisha. Baraka ni ulinzi wa ki-Mungu juu yako. Wakati mtaani kwenu kideri kinaua kuku, kuku wako watakuwa salama. Utakuwa huna pesa lakini...
  9. Wanaopinga ndoa wana matatizo au wamekulia kwenye familia zenye mgogoro

    Kumekuwa na mijadala mingi sana inayowazuia vijana kuoa au kuolewa, kubwa sana ni kukataa kuoa. Hiyo ni kutokana na mfumo wa maisha ya sasa yalivyo. Ndoa nyingi hazidumu na uaminifu ndani ya ndoa umepungua sana kiasi kwamba wanandoa kusalitiana limekuwa jambo la kawaida na ndio sababu ya ndoa...
  10. Unayeshiriki kupinga ndoa, wewe ni wakala wa shetani

    Wewe ni wakala wa shetani,mlitajwa hata kwenye maandiko matakatifu. Vijakazi wa yule mwovu katika kumrasishia kuvuna watu zaidi kupitia zinaa na uzinzi + uasherati. Zama hizi za mwisho. Wakati Mwenyezi Mungu akituamuru tusizini,nyie mko busy kuwahamasisha watu wazini,na kujiepusha na ndoa...
  11. B

    DOKEZO Chondechonde, Wakulima wa Namawala wamechoshwa na Askari Polisi Ifakara na familia ya kambenga

    Huu mgogoro unaoendelea ni miaka 17 hadi sasa Kambenga hana hati yoyote ya kumiliki ekari 1000 badala yake anatishia wanakijiji kwa hukumu za michongo. Jana askari wawili pamoja na familia ya hiyo walienda mashambani na kunyang'anya mbegu wananchi wakitaka kupanda mashamba yao. Tafrani...
  12. Lissu familia ameiacha Ulaya halafu anahamasisha maandamano ya Wanyonge?

    Hili lazima tuliangalie kwa jicho la tatu!jana akiwa pale Temeke alitoa tamko. Kwamba, atawaomba Watanzania na wanachama wa Chadema kuingia mtaani kuhakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya Mwaka 2025. Lakini wakati akisema hayo. Lissu ametelemka uwanja wa Ndege wa "JNIA" Dar es Salaam...
  13. Bila upendo na umoja ni ngumu sana kuuondoa umaskini kwenye familia

    "Bora mtu baki kuliko ndugu" Hii ni kauli maarufu sana nyakati hizi kwasbabu ya upendo wa wanafamilia wengi kupungua baina yao. Wanafamilia wamekuwa hawapendani na kupelekea umaskini kuzidi kushamiri. Kwanza tujue kuwa bila familia imara hakuwezi kuwa na taifa imara. Mafanikio ya taifa yanaanza...
  14. Nilichojifunza kuhusu wanaume

    Natumaini mko poa, Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivyo awali. Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha...
  15. Familia ya Hayati Magufuli inajisikiaje Baba yao kutukanwa miaka miwili baada ya kufariki?

    Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni. Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake...
  16. Fatma Karume: Serikali imlinde Tundu Lissu na familia yake, tusikubali mtu apigwe risasi kwa sababu ya siasa

    Fatma Karume amezungumza na Wakili TV na kufafanua mambo kadhaa ikiwemo kuhusu hali ya demokrasia nchini, siasa ya Tanzania na kurejea kwa Tundu Lissu. Huyu hapa anafafanua: Nikiwa kama Rais mstaafu wa TLS nimefurahi sana kusikia Tundu Lissu anarudi Nchini Tanzania kwa sababu mazingira...
  17. Ma-MC mnatusababishia shida sana kwenye familia zetu, Tabia hii ni mbaya mno

    Habari za Asubuhi wana-Jukwaa. Kabla ya yote nawapongeza ma-Mc kwa juhudi zao wakipambania chakula kiende kinywani... Nimesikitishwa sana baada ya kuonekana kwenye video fupi iliyopostiwa na MC fulani bila idhini yangu, tulikuwa tunacheza na watu wengine tuliokutana ukumbini... SIJAPENDEZWA...
  18. Mke wa mtu akiwa Danga Ina maana anaitia nuksi familia yake na watoto

    Nisogee Moja Kwa moja kwa. Mada ya mke wa mtu anajua ana mume na watoto baba hatoi mahitaji mke anapata ks Danga inamaana pesa wanatokula Ina kisilani.
  19. Pale ambapo familia haikatai Ulevi bali inakataa sala ya mlevi!

    Ni hivi kwenye familia moja ya wagalatia huko mkoa X, kama unavyojua katika madhehebu fulani Fulani hivi usipo hudhuria ibada wakati wa Uhai wako basi wakati wa kifo chako nao hawahudhurii pia. Basi Kaka mtu na mdogo wake wote ni walevi wa haja Tu,kama unavyojua kifo hakina taarifa mwisho wa...
  20. Kipato cha mume na Mke ni cha familia

    Hii dhana ya kufikiri eti Kipato cha Mwanamke ni chake peke yake ila cha Mume ni cha Familia ni dhana iliyopitwa na wakati AU niseme ni dhana potofu (ya Karne ya 15) Ikumbukwe kuwa hiyo dhana ilikuwa na maana enzi za Yesu ambapo wanawake walikuwa kazi yao ni kuzaa na kuleo familia. Namaanisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…