• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

faizafoxy

 1. sychellis

  Mchumba kakataa kuongea na mimi kwenye simu aliyopelekewa na mama yangu.NIFANYEJE

  Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nasoma chuo degree mwaka wa pili. kuna binti mmoja mama yangu alinambia ni mzuri ana tabia nzuri. sema mimi nikawa napotezea sikuwa na haja iyo. siku moja nilienda kumsalimia mama nikamuona uyo binti jamani ni mzuri balaa yeye baba ni mzanzibar mama ni...
 2. N

  Kumekuwa na hadithi na simulizi nyingi nzuri. Lakini hii inaweza ikawa nzuri zaidi. Inaitwa ULIMWENGU WA MATAJIRI

  Email. nipenguvu@gmail.com Instagram. nipenguvu “Ee bwana wangu! Nisahidie mimi mja wako”. Ilisikika sauti ya hofu kutoka kwa mama mmoja akiwa kanisani huku akiwa anatetemeka.Siku hiyo ilikuwa siku ya jumapili katika kanisa moja lililopo kijijini, pembezoni kabisa mwa mji uliozungukwa na...
 3. M

  Inawezekana Uislamu ulianzia Petra Jordan na sio Mecca Saudi Arabia

  Interesting documentary worth seeing.
 4. Amafita

  Najua huenda ikawa ndio mara yako ya kwanza kujua/kusikia neno hili

  Kwema wana JamiiForums?!!! Nadhani karibia kila mmoja atakayesoma uzi huu tangu umezaliwa umekuta watu wakitumia neno CHIPS na umekuwa ukilitumia kwa kipindi chote cha maisha yako. Labda kama ulikuwa hufahamu basi tambua kuwa neno mbadala la Kiswahili ni VIBANZI. Hivyo basi kuanzia leo ukienda...
 5. JESUIT MASTER

  Vatican inamiliki dunia

  Fanya Research yeyote ya underground utagundua All Roads lead to Rome Vatican. Diplomatic roads .Nk Kati ya vitu vilivyo wahi nishangaza kuhusa kanisa Katoliki ni uwepo wa hawa Masister wenye DOWNS SYNDROME sijawahi ona dini au dhehebu litakao wapa Utawa au uongozi watu kama hawa gusa hapa...
Top