Faizafoxy tunaomba mrejesho kutoka Vitendo Saccos

Singidan

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
876
923
Habari wana JF!!
Mwanzon mwa 2017 aliibuka mwanamama aliyeanzisha uzi Hapa kuhusu VITENDO SACCOS. Mambo mengi yaliendelea na updates nyingi kuonesha kuwa mradi wao Ulikuwa Uko vp!! Mmoja wa wadau Maarufu humu ambaye alionekana kuunga mkono na kuanza kushiriki Ni FaizaFoxy.

Sasa Mimi Kama mdau wa JF ambae Sasa natka kujuwa wamefikia wapi, Faiza naomba tupe mrejesho wa Faida au mradi ulishakufa? Maana wengine kipindi hiko walikuwa wanategemea mirejesho ya wadau waliowekeza ili na wao waamini ili wawekeze huko.... Sasa mbona Hakuna update Toka 28 October 2017? Au humu Hakuna mdau aliyeshiriki ile saccos?
 
Back
Top Bottom