Tafakuri ya FaizaFoxy 8; Ni nini maana ya "Mahaba" (Love)?

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,883
109,212
Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba.

Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona halijakaa sawa, nimejaribu maneno penzi, mapenzi, pendo, upendo nakupenda, sikupendi na kadhalika, nikaishia na neno "mahaba" lakini nia na dhumuni halikuwa kutafuta neno sahihi, nia na ndhumi ni kutaka kujifunza ni nini maana halisi ya mahaba (love), ili nami niweze kuelewesha kwa ninavyofahamu. Njia yangu ya kuelezea itakuwa kwa njia ya maswali na majibu na kufahamisha /kufahamishwa kwa uwazi.

Ni nini maana ya mahaba kivyako wewe?
 
Mahaba ni kumpenda mtu au taasisi unconditionally kama vile unavyoipenda CCM hata kama ni mafisadi wa kutupwa. CCM hata wakiuza nchi nzima kwa waarabu kwa vipande 30 vya fedha, wewe bado utabakia kuwa na mahaba nao milele.
 
IMG_0144.jpg
 
Back
Top Bottom