Leo nilipata wasaa wa kusikiliza kipindi cha 360 Mawingu ambapo alialikwa mwanasharia nguli na mwanasharia msomi mama Gloria Kahaya kutoka kituo kimoja cha kutoa haki za kisheria hapa nchini. Walikuwa wakijadili mambo ya ndoa na taraka lakini baadae bila ya kutegemea wakatumbukia katika hukumu...
Tukisema hii timu ni kihuni inaendeshwa kama timu za ndondo wanakuja juu na kulalamika wanaonewa.
======
SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika (CAF) limeipiga faini ya Sh11 milioni klabu ya Yanga baada ya kushindwa kujibu madai ya kuwafanyia fujo baadhi ya watu waliokuwa kwenye msafara wa Rivers...
Wanabodi kuna hii Taarifa nimeiona Kwenye media zingine ikisema Shirika la Mazingira Nchini NEMC Limeitoza Kampuni ya Lake Oil Fine ya Tsh Bil 3.3 kwa kujenga vituo vingi sehemu tofauti za Nchi bila Kibali.
Hili limekua kama mshituko hasa kwa kuzingatia ukweli kwamba suala la mipango miji...
Mtandao wa WhatsApp umetakiwa kulipa Euro Milioni 225 kwa kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi ya Umoja wa Ulaya (EU) kwa kutowaambia Watumiaji wake jinsi inavyotumia Taarifa zao
Tume ya Ulinzi wa Data ya Ireland imesema imebaini ukiukwaji katika namna ambayo WhatsApp ilielezea jinsi...
Kuna jambo limenishangaza sana!
Jana Mahakama ya Akimu Mkaazi Kisutu ilimuhuku aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kwenda jera miaka minne ama kulipa Faini Milion 8 kwa kuisababishia ATCL hasara ya Tsh Billion 71.
- David Mataka ahukumiwa kulipa faini Tsh milioni 8 kwa...
Kama wewe ni mgeni basi ni vema ukalihifadhi onyo hili lililotolewa na uongozi wa kituo hicho
----
Uongozi wa kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Msamvu mkoani Morogoro umeanza kutoza faini ya Sh50,000 kwa mtu atakayeingia au kutoka kituoni hapo bila kuvaa barakoa na kunawa mikono.
Meneja...
Au tutasikia Tena mamlaka zimemlipia tena faini kwa defamation alizofanya mwendazake akiwa madarakani?
https://www.jamiiforums.com/threads/kikwete-amlipia-mahari-mtangazaji-cyprian-musiba.517859/?amp=1
Kumeanza mtindo wa kila mechi simba na yanga wanapigwa faini
Hii ni aibu kwa soka letu haiwezekani kila siku faini. Watu wanajiuliza kumbe hizi mechi ni dili sana mwisho hamtutuona uwanjani.
Yaani mnafanya sasa hizi timu zikikutana zinaweka hela kadhaa kwa ajili ya faini na Mwisho haya matendo...
- Asema watekelezaji hawana weledi na kusababisha kero na taharuki.
- Aitisha kikao Cha dharuracha Wakurugenzi na TARURA kujadili.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ameonyesha kukasirishwa na utaratibu usiofaa wa ukamataji wa magari kwenye maegesho yasiyo rasmi "wrong parking"...
Baadaaa ya yanga kupigwa faini
Naomba tuwajulishe TFF na Simba SC yao mwendo ni uleule
Mjiandae Kigoma na faini zingine. Yale mabomu mnayotegaga mi Langoni tunayalipua mwanzo mwisho
Hivyo basi andaeni na faini ya kigoma kipigo kilekilee
Kauli mbiu-kigoma
Fainiiii ijeeeeee
Kipigooooooo...
Wananchi watozwa faini na kijiji kwa kosa la kushindwaazao ya biashara
Na Amiri Kilagalila,Njombe
Wananchi wa kijiji cha Usililo kata ya Luwumbu wilayani Makete mkoani Njombe,wameilalamikia serikali ya kijiji hicho kwa kuwatoza shilingi elfu 3 mpaka elfu 5 kutokana na kushindwa kulima mazao ya...
Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
Zijenge ofisi makao makuu?
Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
Zinunue vitendea kazi vya chama...
Mahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa kama faini, kiasi cha Sh.350 milioni. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta.
====...
Leo 16/06/2021 12:45
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth kulipa fidia ya Sh26.9 bilioni baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia Sh309 bilioni kwa njia ya udanganyifu.
Pia, mahakama hiyo imemhukumu kifungo cha...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Simbachawene akiongea mbele ya Rais Samia amesema pamoja na uamuzi mzuri wa kushusha kiwango cha faini kwa Bodaboda haina maana kwa vijana kwa vijana watumie nafasi hiyo kuvunja sheria ya usalama barabarani.
Simbachawene amesema pamoja na jitihada zinazofanywa na Jeshi...
Niseme tu kwamba hawa bodaboda na Bajaji nimewaona wakiwa na furaha kedekede bila ya kujua kuwa pamoja na kupunguza faini lazima watii sheria za barabarani na kuhakikisha vyombo vyao vya moto viko sawa na havina itilafu ambayo huenda vikasababisha trafiki wakawakamata.
Sikatai wafurahie ila...
Ndugu zangu,
Nimekuwa nikipita barabarani ukweli ni kwamba ni ngumu sana trafiki kukamata bodaboda. Mara nyingi nimeona wanaokamatwa na trafiki ni waendesha magari sio waendesha bodaboda.
Hata kwa hii faini ya elfu kumi sioni trafiki wakikusanya wala bodaboda wakilipa. Hesabu ya bodaboda kwa...
Kati ya mambo ya maana katika budget hii ni kupunguzwa kwa faini za barabarani.
Hii Tsh. 10,000 ndio tulikuwa tunawahonga askari wa barabarani, sasa naandaa Tsh. 2,000 wakigoma kupokea nawaambia tena kwa kiburi kikubwa kinachoambata na madoido nipatieni hicho kirisiti nitalipa mbele ya safari...
Kampuni ya Google imepigwa faini ya Euro milioni 220, sawa na zaidi ya Tsh. bilioni 621 na kutakiwa kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wake wa matangazo ya mtandaoni nchini Ufaransa.
Mamlaka za Ushindani wa Kibiashara nchini Ufaransa zimesema faini ya Google inatokana na kutumia nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.