faini

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Uganda: Bunge lapitisha faini ya Tsh. Milioni 9 kwa matumizi mabaya ya mitandao

    Bunge limepitisha adhabu hiyo au kifungo cha miaka 10 au vyote kwa pamoja kufuatia marekebisho ya Sheria ya Matumizi Mabaya ya Kompyuta ya mwaka 2011. Marekebisho hayo yayonasubiri kutiwa saini na Rais yanalenga kudhibiti matumizi yasiyofaa ya taarifa au data, kukataza ushiriki wa taarifa...
  2. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi adhabu za faini kwa kila kosa kutoka katika makosa mawili kwenda sambamba?

    Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya Maadili ya TFF, Richard Mbaruku akisoma uamuzi wa Kamati yake katika Rufaa aliyokata aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara, amesema mtuhumiwa alikuwa na makosa mawili na uamuzi wa rufaa kwa kila kosa umebaki hivyo hivyo kama ifuatavyo: 1) Offensive behavior -...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Korea Kusini: Google na Meta zapigwa faini kwa kuuza taarifa binafsi za watu kwa matangazo

    Serikali ya Korea Kusini imetoza faini ya jumla ya dola milioni 72 dhidi ya Google na Meta kwa kukusanya na kutumia taarifa binafsi kinyume cha sheria. Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu iliamua kutoza faini ya bilioni 69.2 na bilioni 30.8 dhidi ya Google na...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TCRA yaipiga faini ya Tsh. Milioni 2 ZamaMpya TV (DarMpya), Maudhui ya Afande Sele kuhusu Tozo yatajwa

    Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA)imeiamuru ZamaMpya TV Online kulipa faini Shilingi Milioni Mbili (2,000,000) ndani ya siku 21 kufuatia kuchapisha hisiyo na midhania ya habari. Taarifa hiyo ilihusu maudhui ya Selemani Msindi (Afande Sele) ambayo yanatuhumiwa kuwa ya...
  5. tax_expert

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kuepuka faini na adhabu zinazohusiana kodi?

    Je una changamoto ya kuandaa mahesabu? Je unapata shida ya kuwasilisha kodi kwa wakati? Fatilia huu Mkasa John alikua mfanyabiashara maeneo ya kariakoo alikua na tatizo la jinsi ya kuandaa mahesabu na kuwasilisha kodi kwawakati. Alitafuta msaada bila mafanikio. Hilo tatizo lilipelekea...
  6. Shark

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Simbachawene alimwa faini ya tsh. 250,000/=

    Mfanyabiashara, James Simbachawene (24) ambaye ni mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene, amehukumiwa kulipa faini ya sh. 250,000 na kufungiwa leseni yake ya udereva kwa miezi sita baada ya kukiri makosa matatu. Mtoto huyo amefikishwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia anaiendesha TFF kihuni, adhabu za vifungo na faini za kibabe zinawaumiza wanamichezo. Karia hafai kwa ustawi wa soka letu

    Hivi karibuni sakata la kufungiwa kwa Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Sande Manara "Bugati" limeshika kasi katika tasnia ya michezo nchini, lakini mtiriko wa matukio ya kuichafua tasnia ya soka kutoka kwa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) na Rais wake, Wallace Karia umeongezeka kwa kasi. Hebu...
  8. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Loliondo sasa faini ni milioni 10 hadi milioni 50

    Wananchi waliambiwa ni beacons tu zinawekwa hakutakuwa na kuondolewa wala kusumbuliwa wasichunge na wengine tukaamini huenda ni mipaka tu inawekwa , ila kwa sasa mifugo kwa mamia inakamatwa na watu kulipa pesa nyingi sana kuzikomboa.
  9. Gama

    JamiiForums Tanzania New Zealand: Mfugaji azuiwa kufuga ndama, atozwa faini

    Mfugaji mmoja huko New Zealannd amaetozwa fine ya $50,000 kwa kpsa la kutunza ng'ombe katika mazingira yaasiyofaa na kusababisha vifa. Ilionekana kuwa ng'ombe walitunzwa katika mazingira yasiyo n hewa ya kutosha, joto kali kitu kilichosababisha vifo. Ndma walioonekana kuwa na hali mbaya waliuawa...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Manara atapewa adhabu na Karia kwa lengo la kisasi lakini kuhusu kufungiwa hilo jambo ni sawa na kusubiri kuvuna mpunga kwenye upupu

    Watu naona wanakimbilia kusema Manara aliruhiana maneno na karia lakini wanasau hilo neno "kurushiana" ni kitenzi cha kutendana maana nae karia alikuwa akirusha maneno. Wengi tunafahamu Karia ni Simba dam dam na mafanikio ya Yanga kwake yamekuwa ni sawa na kisu kilichomgonga mfupa. siku ya jana...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani: Twitter yapigwa faini ya tsh. 349,050,000,000 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za watumiaji

    Kampuni ya Twitter nchini Marekani mapema wiki hii, imepigwa faini ya Tsh. bilioni 349,050,000,000 sawa na dola Milioni 150 za Marekani, baada ya kudaiwa kutumia kinyume cha sheria taarifa za wateja wa mtandao huo wa kijamii Tume ya Biashara ya Shirikisho (FTC) na Idara ya Haki wanasema kwamba...
  12. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Faini ya kujifungulia nyumbani, hii imekaaje?

    Ukizalia nyumbani faini elfu 30. Huku vijijini tunanyanyasika sana. Watu wa Dar mtusaidie kupaza sauti!!!!!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Simba kupigwa faini na CAF limekwisha na maisha lazima yaendelee

    Tuna tatizo la kujadili mambo mabaya na kuacha mazuri. Ni kweli lile ni kosa na limeshafanyika na Simba imeshapigwa faini limekwisha na kama kujifunza tumejifunza. Kuna mambo mengi sana kwenye soka la Afrika. Ila hatupaswi kuiga mambo mabaya. Kosa limeshatokea na tumeadhibiwa kwa kosa hilo...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Subiri ujionee sasa: faini hii ya simba itashikiwa bango na"wachambuzi" kinoomanooma

    Yaani shuzi limepata mjambaji ndugu zangu, kesho vipindi vya asubuhi haswa kile cha Efm lisaa lizima topic itakuwa ni faini ya milion 23 kwa simba kuna mtangazaji mwenye kidoti atakuwa anazunguruka kwenye kiti na kutikisa mabega kwa masham sham huku akipiga simu kwa Mangungu, ahmed Ally na...
  15. Kanye2016

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria kuhusu faini za Barabarani na Mahakama zake

    Habarini Wadau!! Mimi nikiwa Kama mtumiaji wa chombo cha usafiri ninapata shida sana na hawa Askari wa Usalama barabarani. Kuna hili suala, unakamatwa na Traffic barabarani anakueleza sababu ya kukusimamisha then anakuandikia faini bila ridhaa yako. Sometimes ukigoma anakutisha aukwa baadhi...
  16. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa Barrick wapigwa faini Tsh Bilioni 1 kwa uchafuzi wa mazingira

    Mgodi wa Barrick North Mara uliopo mkoani Mara umepigwa faini ya shilingi Bilioni moja na Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kosa la uchafuzi wa mazingira baada ya bomba linalopitisha maji taka kutoka kwenye mgodi huo kupasuka na kutiririsha maji katika Mto Tigite...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Faini, Polisi au adhabu kali barabarani hazipunguzi ajali

    Kuna hali ngumu ya maisha itokanayo na mfumuko mkubwa wa bei ambao serikali imechagua kujiweka pembeni kiaina: Kama vile haitoshi kuna usumbufu mkubwa barabarani. Zinatakiwa pesa, mengine kama kawaida yetu ni usumbufu tu. Bahati mbaya ni kuwa ajali zinazotokea wala hazisababishwi na...
  18. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Nchi ilipo sasa: Mwanajeshi anakuwa Traffic Police, Taasisi zinajipangia faini zao bila utaratibu

    Mama tunaomba litizame hili si kil chombo kinaweza ingilia mhimili mwingine na mtu anaapataje mamlaka ya kumkamata raia na kumtesa kisa tu yeye ni Mwanajeshi? Na taasisi kama hii ya Maegesho how come service fee 500 halafu faini 10,000 ? Sasa mambo yanavyokwenda ndio kulee enzi zile "Unajua...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TMDA: Ukivuta sigara hadharani faini Tsh. 200,000 au jela miezi 6

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema ni kosa kisheria kuvuta sigara hadharani au kwenye maeneo ya mikusanyiko na atakayebainika kufanya hivyo atatozwa faini ya Tsh. 200,000 au kutumikia adhabu ya kifungo cha miezi sita jela. Meneja wa Kanda ya Mashariki wa TMDA, Gloria Matemu aliyasema...
  20. N

    JamiiForums Tanzania RS Berkane yapigwa faini kwa vurugu Uwanja wa Mkapa dhidi ya Simba SC

    Ama kwa hakika huu ni msiba mkubwa wa tatu kwa watoa bahasha za khaki na wapokeaji wa bahasha hizo , mana msiba wa kwanza ulikuwa goal la SAkho kuwa goala bora la week wakati makanjanja yakiwa yanajaribu kuwaridhisha maboss wao watoa bahasha za khaki walidai ni offside Pigo la pili ni yule...
Back
Top Bottom