Ulishawahi kupigwa faini kwa kumzalisha au kumpa mimba binti kabla ya ndoa? Kama ndio hebu tupe ushuhuda

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Ilikuwa mwaka 2015 life after Chuo hapo sina ajira wala mishe ya kueleweka ya kuniingiziamtoto mmoja WA kichaga nilipigwa faini ya milioni moja kwa kumzalisha binti ilikuwa hatari.
  • 500,000 faini ya kumzalisha Mtoto wao.
  • 500,000 kumgomboa Mtoto dah.
Kilichotokea after niliaga ntarudi hadi leo hii kimya nikajaga kusikia kuna jamaa alimuoga binti akiwa singo mazaa na mtoto jina anatumia ubini wa Mshikaji.
 
Kwahyo vip kuhusu mwanao
Kuhusu mtoto familia imegoma kunipa mpka siku nitakapo kamilisha taratibu hela ya faini na kugomboa Mtoto na sasa hivi kiwango nimeongezewa kugomboa Mtoto inahitajika milioni 3 since sikufanya matunzo yoyote yalee

Najipanga mwakani nikamilishe hatua zote nipate million 3 yao na milioni moja iko palepale
 
Mtoto kageuka mtaji
 
Iliwahi nitokea nilipigwa faini ya mbuzi watatu kila mbuzi 50,000 nikalipa 150,000 maisha yakaendelea mtoto wangu na mamake tunafamilia sasa
Dah kumbe viwañgo almost sawa nimeshangaa hao wa laki5 ni jamaa tu Mie niliambiwa mbuzi mmoja tu nikalipa 50,000 basi mambo yakaisha
 
Kuhusu mtoto familia imegoma kunipa mpka siku nitakapo kamilisha taratibu hela ya faini na kugomboa Mtoto na sasa hivi kiwango nimeongezewa kugomboa Mtoto inahitajika milioni 3 since sikufanya matunzo yoyote yalee

Najipanga mwakani nikamilishe hatua zote nipate million 3 yao na milioni moja iko palepale
Unajisumbua bure! Niliwahi lipishwa kitu kama hicho; baada ya kulipa wazazi wakasema hiyo ilikuwa zawadi kwa wazee tu. Mtoto sikupewa alibaki nao na bado matunzo juu.

Kama huna hiyo hela (ambavyo inaonesha), usihangaike kikubwa tuma matunzo ya mtoto na hakikisha mtoto anakutambua. Akikua atakutafuta tu.
 
Dah kumbe viwañgo almost sawa nimeshangaa hao wa laki5 ni jamaa tu Mie niliambiwa mbuzi mmoja tu nikalipa 50,000 basi mambo yakaisha
Hapo nadhani ni Tanga na si Uchagani maana uchagani kinakuwa mojawapo ya chanzo cha mapato - FURSA kwa Wazazi wa binti
 
Back
Top Bottom