TFF na Simba SC andaeni faini za Kigoma na mjiandae na kipigoo kingine, hatuwaachi

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Baadaaa ya yanga kupigwa faini

Naomba tuwajulishe TFF na Simba SC yao mwendo ni uleule

Mjiandae Kigoma na faini zingine. Yale mabomu mnayotegaga mi Langoni tunayalipua mwanzo mwisho

Hivyo basi andaeni na faini ya kigoma kipigo kilekilee

Kauli mbiu-kigoma

Fainiiii ijeeeeee

Kipigooooooo kiendeleeeeeee
 
Utopolo timu la ajabu sana!

Yaani viongozi wanawatuma wachezezaji wakavunje mageti kabisa!
Hiyo faina iliyopigwa utopolo ni ndogo sana!
Huko kigoma labda mgomee mechi!
 
Utopolo timu la ajabu sana!

Yaani viongozi wanawatuma wachezezaji wakavunje mageti kabisa!
Hiyo faina iliyopigwa utopolo ni ndogo sana!
Huko kigoma labda mgomee mechi!
Sisi siyo Kama nyie wazee wa kuchungulia na Kigoma kijanja.
 
Back
Top Bottom