faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa biashara ya kuingiza faida ya 150,000/= kwa siku/ 4,400,000 kwa mwezi

    Nawasalimu kwa jina la muungano wa Jamhuri ya Tanzania, Nimekua nikifatilia threads mbalimbali za biashara humu, Wengi naona wanasema ili kuingiza faida kubwa Kwa siku basi ni lazima Uwe na Mtaji Mkubwa, wengine walitoa mifano ya Anaemiliki duka la hardware ana mtaji nkubwa lakini hafikishi...
  2. JamiiForums Tanzania Anayejua faida ya ulinzi shirikishi (sungusungu)

    Kwanza natangulia kusema nitashukuru kwa watakaonielimisha. Faida hasa ya sungu sungu ni nini? Kazi ya polisi ni nini ili itofautiane na hii ya sungu sungu? Kuna umuhimu wa kuwa na sungu sungu katika mtaa wako? Najua kuna watakaosema wanapunguza wizi japo si kwa asilimia 100,je kama ipo na...
  3. JamiiForums Tanzania CRDB bank yapata faida ya billion 236 mwaka 2020

    Licha ya changamoto za corona zilizojitokeza, Benki ya CRDB imetangaza faida kabla ya kodi kiasi cha Sh236 bilioni mwaka 2020. Faida hiyo, ni sawa na ongezeko la asilimia 35 ikilinganisha na Sh172 bilioni iliyopata mwaka 2019, kabla janga la corona halijafika Afrika na kuathiri biashara kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Sioni faida ya Bunge hili kwa Wananchi, sio kwa uwakilishi wa kero zao wala kuisimamia Serikali, livunjwe tusipoteze muda

    Ni dhahiri hili bunge linaweza kuwa Bunge lisilo na tija kwa wananchi tangu nchi yetu imepata uhuru. Hata bunge la Chama kimoja enzi hizo wala halikuwa kama hili la sasa Kitendo cha kufanyia 'figisu' wapinzani na kuwabeba wagombe wa Chama kimeleta madhara makubwa sana kwa Taifa letu ...
  5. JamiiForums Tanzania ATCL shusheni bei ili mtengeneze soko kubwa la ndani, kwa namna hii mtapata faida. Kumbukeni the higher the price...

    Ni suala la kitalaamu kiuchumi ambalo lipo katika maisha ya kila siku. Kwamba bei ikiwa ndogo uwezo wa kulipia huduma huwa mkubwa na kuongeza soko. Kwa hiyo ili kuruhusu soko kubwa lipanuke na kuweza kupata wateja wengi ni vyema Atcl wakashusha bei kama ilivyokuwa kwa Fastjet. Mfano kama...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CAG mstaafu Uttoh: Hakuna Shirika lolote la ndege duniani lililopata faida baada tu ya kuanzishwa, ATCL haijawahi kulipa Gawio Serikalini

    CAG mstaafu mh Uttoh amesema hakuna shirika la ndege lolote duniani lililowahi kupata faida katika miaka ya mwanzo ya operations zake. Kuhusu gawio mh Uttoh amesema dividend hutolewa baada ya biashara kupata faida na huamuliwa na bodi kiasi gani cha faida kigawiwe kama dividends. Uttoh amesema...
  7. JamiiForums Tanzania TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums. Kwanini TANESCO haikopeshi units za umeme wa LUKU kwa wateja wake? Mimi ninaona kama mchakato huu utawawezesha kupata faida kubwa sana kama riba kwa maana ni ngumu sana kwa mteja kukwepa marejesho. Tofauti ya mteja wa TANESCO na...
  8. JamiiForums Tanzania Fanya biashara ndani ya biashara yako, uokoe pesa unazopoteza na ujiongezee faida

    Kwenye biashara kuna mambo mengi sana ambayo kabla hujafikiria kuanzisha biashara unatakiwa kuyafikiria ili isije tokea sababu yyte (ya kibinadamu) ikakuangusha chini ukafunga biashara yako. Watu wengi sana kabla ya kuanzisha biashara zetu tunajiuliza "tutapata wapi bidhaa tunazotaka kuziuza"...
  9. JamiiForums Tanzania Musukuma: Profesa Sospeter Muhongo usomi wake hauna faida kwa Tanzania

    Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshukia mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo kwamba usomi wake hauna faida kwa Tanzania. Musukuma amesema ni wakati kwa Serikali kuwaamini wasomi aliowaita wa darasa la saba akidai kuwa wanakulia kwenye kazi. Mbunge huyo...
  10. JamiiForums Tanzania Zijue faida za kutumia Email za kampuni na siyo Gmail / Yahoo

    Matumizi ya email za kampuni (Corporate Business Email Address) ni moja ya njia rahisi kabisa ya kutangaza biashara yako kwa wateja. Kitu ambacho nilikuwa ninajiuliza sana, inawezekana vipi mtu akatuma taarifa za kampuni kwa kutumia email za gmail? Utamuhakikishia vipi mteja kama anadili na...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ndege za mkopo na ndege za kununua taslimu, ni zipi zenye kuongoza faida kibiashara? Serikali chukueni ushauri wa wasomi hapa!

    Mimi sio mtalaamu wa mambo ya biashara, Ila nachotaka niombe Kwa wachambuzi na wataalamu wa hizi biashara mtuambie na muisaidie Serikali katika hii aviation business. Kwa mjibu wa bwana Assad, yeye analaumu Sana manunuzi ya kununua ndege kwa cash. Tunaomba wataalamu wa mambo ya biashara hasa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

    Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi. Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA. Freeman Mbowe kuwa jela...
  13. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

    UFAFANUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria. Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 2 nifanye biashara gani ili nipate faida?

    Milioni 2 naweza fanya biashara gani ambayo utanisaidia kupata pesa ya kula kila siku na akiba angalua 10000 kuweka? Mimi ni single mama ninaehitaji kujishughulisha ili niishi vizuri na mwanangu. ====== Michango wa mdau
  15. JamiiForums Tanzania Tujuzane kuhusu biashara ya Stationary, Mbinu, faida na hasara

    Wakuu, Naomba kujuzwa kuhusu mbinu za kufanya biashara ya Stationary...faida zake na hasara. Nahitaji kujua mambo gani yanahitajika kwa beginner wa hii biashara. Asante ni.
  16. JamiiForums Tanzania Bodaboda ya mkataba faida inapatikanaje?

    Wadau naomba kuuliza anayechukua bodaboda ya mkataba ili kumpelekea kilasiku hesabu Boss 10,000 anaweza kuingiza Tzs ngapi kwasiku akifosi kwelikweli, sehemu ya kazi mtoni kijichi.
  17. JamiiForums Tanzania Hatua za kufuata ili kuanzisha mradi wa kuku kwa faida zaidi

    HATUA ZA KUFUATA ILI KUANZISHA MRADI WA KUKU: 👆Kutokana na wengi sana kunitafuta kuomba ushauri, hasa wafugaji wageni au wapya wanao anza kwamba waanzaje mradi wa kuku 👇Zifuatazo ni hatua sahihi za kufuata ili kuwa na mradi endelevu wa kuku 1.Moja Jenga banda la kufugia kuku wako, Kabla ya...
  18. JamiiForums Tanzania Faida na hasara za mwanafunzi kutumia simu shuleni (mdahalo)

    Ni kama mdaalo kuhusu faida na hasara za kutumia simu kwa wanafunzi mashuleni na hata nyumbani lugha ni kiswahili na kingereza KARIBU MTU KANYE TUJITETEE.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla pay back period haijafika

    Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kuwa kufanya Mapenzi katika kipindi cha ujauzito ina faida kwa Afya ya Mama, Baba na mtoto?

    Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuhusu kufanya mapenzi au tendo la ndoa kama ni salama ama si salama katika kipindi cha ujauzito. Makala hii fupi imelenga kukufahamisha faida za kufanya mapenzi katika kipindi cha ujauzito Faida zake Kufanya mapenzi kipindi cha ujauzito kuna faida nyingi. Hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…