faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. Bowie

    JamiiForums Tanzania Kampuni Shell yatangaza faida ya Dola Bilioni 9 kwa miezi 3 Iliyopita

    Ni wazi kabisa kupanda kwa bei ya mafuta ni makampuni yanayoagiza mafuta yameamua kupandisha bei wala suala hili halihusiani na vita vya Ukraine ni muhimu kwa serikali kuangalia huu mfumo wa uagizaji kwa Bulk. Ikumbukwe wakati wa serikali ya awamu ya 3 mfumo huu wa kuagiza mafuta kwa (Bulk)...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Faida za kuwa ÇÇM

    FAIDA ZA KUWA ÇÇM Anaandika, Robert Heriel. Kwenu Vijana, Mabibi na mabwana, sitaki kuwachosha, zifuatazo ni faida za kuamua kuwa ÇÇM; 1. Ukipima UKIMWI hauonekani kwenye vipimo hivyo technically kutokuwa na UKIMWI lakini literally utahamia kwenye kivuli chako ukitembea. Yaani kivuli chako...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kocha Pablo Kagombana na Clatous Chama wapatanishwe haraka kwa Faida ya Simba SC

    Waligombana katika Mechi ya Derby Timu ilipokuwa Vyumbani kwa Chama kuzikataa Mbinu za Kocha Pablo ambazo aliziona zisingesaidia mbele ya Yanga SC na Kocha kuona anadharaulika. Tafadhali Simba SC hasa Msemaji Ahmed Ally usilificbe hili kwani nina uhakika nalo 100% kwakuwa ndani ya Simba SC yako...
  4. DOKEZO

    JamiiForums Tanzania Biashara - faida pande zote kwako na kwangu ndani ya miezi mitatu

    Habari, Iko hivi: Nina gari yangu Toyota Wish ambayo nimekuwa nikiitumia katika biashara ya Taxi mtandao( Uber,Bolt,Ping,Tantaxi,Little ride). Nilipata changamoto ya ghafla ya kifamilia na sikuwa na akiba ya pesa ikabidi niweke bondi hiyo gari.Gari inadaiwa Tsh 1,600,000/=.Nimepambana...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni zipi faida na hasara za progressive web app(PWA)?

    Habari wakuu. Nimeshauriwa na developer kutengeneza PWA. App yetu ni ya kusomea vitabu. Kabla ya wiki hii sijawahi sikia hii kitu. Nimefanya research nimeona ni kitu kizuri sana. PWA ni websites ambazo zinafanya kazi kama app za kawaida. Unaweza weka icon kwenye home screen ka ya app zingine...
  6. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu faida za kujenga nyumba kando mwa barabara?

    Naomba kufahamu faida za kujenga nyumba kando mwa barabara???
  7. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Anaweza kuelezea faida za muungano aje atuambie. Je Tanganyika ingekosa fursa zipi Kama Zanzibar wangeungana na Kenya?

    Tumelishwa imani nisiyojua nini maana yake. Licha ya Tanzania kuungana na Zanzibar bado Mombasa wana maingiliano makubwa ya kitamaduni na Unguja na Pemba nadhani kuzidi hata Dar es Salaam. Je, Nani anaweza kufafanua manufaa ambayo Tanganyika imeyapata kutokea muungano ya kiuchumi, kisiasa na...
  8. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Ni zipi faida za kutoa mahari?

    Habari za jioni wapendwa katika bwana. Jamii nyingi za Kiafrika wanao utaratibu wa mwanaume kutoa mahari ili aweze kumuoa binti. Baadhi ya watu husema mahari ni kama shukurani kwa wazazi wa mke, je hawa wazazi wamume ambao wamezaa kichwa cha familia mbona hawapewi shukurani? Naomba...
  9. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania The Royal Tour, nini Faida zake?

  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hivi Kujiunga NATO kuna faida gani

    Nchi ya Ukraine imeingia kwenye vita kwa nia ya kujiunga na kuongoza ushirikiano na umoja wa NATO jambo ambalo Urusi hawalitaki. Katikati ya vita hivi na madhara makubwa kwa nchi ya Ukraine yakishuhudiwa kote duniani,bado kuna mataifa jirani na Urusi kama vile Sweden na Finland zimekuwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Save for save huwa ina faida gani?

    Habari zenu Siku hizi kwenye magroup ya WhatsApp kumekuwa na watu wanachukua namba yako na kukufata inbox na kuomba usevu namba zao. Swali: Kuna faida gani au Biashara gani wanafanya?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani ya furaha au huzuni yako kumfikia mtu mwingine asiyehusika?

    Natamani sana somo la ustaarabu lianze kufundishwa Shule za msingi huenda inaweza kusaidia! Natamani sana watu wajifunze kufurahi au kuhuzunika pasipo kuathiri wengine! Hapa ninamaanisha watu watambue umhimu wa kufanya mambo yao, ikabaki ya kwao pasipo kuathiri watu wengine bila sababu...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Viti Maalum na wale wa kuteuliwa na Rais wana faida gani katika Taifa?

    Mimi naomba kushangaa, nchi inapokua uchumi wa chini ni heri kujitahidi kuzuia mianya ya ufujaji na upotevu mkubwa wa pesa za serikali. Licha ya kwamba bunge la Tanzania lina wabunge wengi kutokana na majimbo kuwa mengi, bado pia wanaongeza wabunge wa viti maalumu na wabunge wa kuteuliwa tu na...
  14. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni

    Haijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni. Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mwezi wa Ramadhan: Zifahamu faida za kisayansi za kufunga kula chakula wasizozifahamu wafungaji

    Kuna Kwaresima na Ramadhan miezi ambayo waumini wa Kikristo na Kiislam wanafunga kama sehemu ya imani zao kwa lengo la kumpendeza Mungu wao ili awasamehe dhambi au awape kibali cha kuingia peponi. Kwenye upande huu wa dini sintakuongelea zaidi kwakuwa imani ya mtu ni package ambayo haiko wazi...
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mfungo wa Ramadhani ufanywe kuwa utaratibu wa kila Siku wa ulaji. Soma Faida hizi za pendekezo hili.

    Mimi ni mkristo. Nimewahi kushiriki kama wiki nzima kushiriki Mfungo huu. Asubuhi SAA 9-11 tulifuturu Msosi mzito. Wali, nyama,samaki,tambi,uji,juice,matunda mbalimbali, maji ya kunywa, mboga za majani na Kachumbari mzigo. Jioni SAA 12 tulifuturu vitu simple simple tu futari. SABABU KWA NINI...
  17. babu M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya ExxonMobil imesema faida ya robo mwaka itaongezeka kutoka na kuongezeka kwa bei ya oil na gas

    ExxonMobil kampuni ya kuzalisha oil and gas imesema leo kwamba faida yao ya robo mwaka itaongezeka kwa zaidi ya dola bilioni 2 kutoka na kupanda kwa bei za oil and gas. ExxonMobil ni kampuni ya Marekani na ya pili kwa ukubwa duniani. Inatazamia kupata faida ya jumla ya dola bilioni 11 kwa...
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nyakati za sasa zinahitaji uwe na rafiki wa faida na sio rafiki wa kupiga porojo

    Nyakati zimebadilika; nyakati za sasa zinahitaji uwe na rafiki wa faida na sio rafiki wa kupiga tararila (maneno maneno). Pia tukumbuke, maisha yanahitaji pesa na sio maneno. Kwa mazingira hayo, ni vizuri kutafuta rafiki wa faida; ambaye uwepo wake unakuwa una tija. Unaweza kutumia majukwaa...
  19. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Faida Na Changamoto Za Kuuza Viwanja Au Nyumba Bila Kuwa Na Dalali

    Kuuza bila Dalali ni mauzo ya mashamba, viwanja na nyumba ambayo yanafanyika bila kuhusisha dalali kati ya mwenye nyumba na mnunuzi. Hivyo huwezi kulipia ada ya dalali wa nyumba na ardhi. Kwa kawaida, mauzo ya aina hii hufanyika kwa wawekezaji ambao wanaanza kuwekeza katika nyumba, viwanja na...
  20. Big Phil

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Kilimo cha nyuki kinaweza kukutoa kimaisha?

    Habari! Kwa kipindi kirefu nasikia kwamba Kilimo chenye tija cha nyuki kinaweza kumtoa mkulima kimaisha! Na nikilimo kichokuwa na gharama kubwa, eneo wala muda mwingi wa kukifuatilia kwani kinahitaji eneo zuri kwa ajili ya kutega mizinga na unaendelea na shughuli zako. Sina utaalamu sana wa...
Back
Top Bottom