fahamu

  1. Mla Bata

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Private Jets

    Wasalaam, Ulikuwa unafahamu hili? Duniani kote inakadiriwa ni ndege 23,241 pekee zimesajiliwa kama ndege binafsi (private jets) ambazo zinatumiwa na kumilikiwa na watu maarufu pamoja na wafanya biashara wakubwa duniani kote, huku taifa kubwa la Marekani likiwa na asilimia 63 ya sajili ya...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu El Nino na athari zake kwa Binadamu na Mazingira

    El Nino ni mfumo wa Hali ya Hewa unaosababishwa ongezeko kubwa la Joto la Bahari katika eneo la kati la Kitropiki kwenye Bahari ya Pasifiki. Hali hii huambatana na Vipindi vya Mvua kubwa vinavyoweza kusababisha mafuriko. El Niño inaweza kusababisha mabadiliko ya Hali Mbaya ya Hewa, ikiwemo...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania UHAINI: Tafsiri sahihi ya kosa na adhabu yake kwa mujibu wa Sheria za Tanzania

    Uhaini ni kosa la jinai, kwa tafsiri nyepesi ina maana kwamba ni kosa kubwa ambalo mtu analifanya dhidi ya nchi yake na mtu anyefanya kosa hili anajulikana kama msaliti, mfano wa watu wasaliti wanaojulikana duniani ni Yuda ambaye kidini alimsaliti Yesu, mwingine ni Benedict Anold huyu jamaa...
  4. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Biashara ya Product Sourcing and Supply

    Utangulizi Biashara ya Product Sourcing and Supply ni mchakato unaohusisha kupata na kusambaza bidhaa kutoka vyanzo mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya wateja. Katika ulimwengu wa leo ambapo masoko yamekuwa ya kimataifa, biashara hii imekuwa muhimu sana katika kuhakikisha upatikanaji wa bidhaa...
  5. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Fahamu maana ya Defence mechanism na aina zake

    Hellow Africa Nataka tueleweshane kidogo vitu vichache. Defence mechanism means unconciouses starteges to avoid or reduce pain. Hii ni njia moja wapo ambayo watu wengi hutumia kupunguza wasiwasi na uwoga hii defence mechanism inakusaidia wewe kupunguza hasira. Types of defence mechanism...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ijue biashara ya vitenge kutoka Kigoma. Fahamu namna ya kutambua Java na Wax feki utajirike

    Watu wengi hawajui kwanini biashara ya vitenge hutokea Kigoma, pia wengi hawafahamu wapi watapata Vitenge halisi na original, post hii yenye urefu itakufungua zaidi ili uweze kufahamu kwanini sisi watu wa Kigoma tunahusishwa na biashara ya vazi la Vitenge. Nifuate kwa umakini mimi mkali wako...
  7. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Hebu fahamu mazao yanayotokana na Mdudu Nyuki

    °Nta °Asali °Maziwa ya nyuki yaani "Royal jelly" °Gundi ya nyuki °Chavusha ya nyuki "Bee pollens" °Hewa ya nyuki Sumu ya nyuki yaani bee Venom Najua wengi wanafahamu kuhusu Asali tu 🙏🏾
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu 'Submarine' ya Titan iliyotoweka kwa siku 4 na kuua watu 5

    Siku 4 za utafutaji wa 'Submarine' ya Titan zimetamatika Juni 22, 2023 kwa kutolewa taarifa mbaya ya kufariki kwa Watu 5 waliokuwa ndani yake wakielekea kutalii katika eneo yalipo Mabaki ya Meli ya Titanic. Jeshi la Wanamaji la Marekani (US Navy) limeripoti kuwa kilisikia kishindo saa chache...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu "Operesheni Acoustic Kitty" jinsi CIA ilivyotaka kutumia Paka kama chanzo cha taarifa kutoka Soviet

    Miaka ya 1960 Shirikia la Ujasusi la Marekani lilikuww linapambana na Urusi katika vita baridi. Katika kipindi hiko Marekani ilianzisha program na miradi mbalimbali dhidi ya kupambana na Ujamaa ulioanza kuenea sehemu mbalimbali za Dunia. Kule Langley, Virginia yalipo makao makuu ya CIA walikuwa...
  10. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Outsourcing and Managed Ventures

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba unaendelea salama na Shughuli za Ujenzi wa Taifa. Leo nimeona nilete mjadala mdogo kwa ajili ya wale ambao wanatamani kuazisha biashara ila hawajui ni aina gani ya biashara waanzishe na watumie mfumo gani wa kuianzisha na kuiendesha.Mada ya leo...
  11. Apollo

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu mgomo uliopo katika mtandao wa 'Reddit'

    Habari wapenzi wasomaji! Leo nataka kuongea nanyi kuhusu mgomo unaoendelea kwenye Reddit na API yake. Kama mnajua, Reddit ni moja ya mitandao maarufu zaidi ya kijamii ambapo watu wanaweza kushiriki maoni, habari, picha na video za kuvutia. Lakini hivi karibuni imeingia katika ugomvi mkubwa na...
  12. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Zabanga alivyo wahadaa Maafisa wa CIA

    Ni mwaka 1974 kulitarajiwa kuwa na pambano kubwa sana kati ya Muhammad Ali na George Foreman. Wakati huo, promota aliyekuwa akija kwa kasi, Don King alikuwa amekwishaandaa kila kitu kuhusu pambano hilo. Kwa ajili ya msalahi yake, Don King alitaka mtu yeyote atakayejitolea kulidhamini pambano...
  13. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Fahamu uwazi katikati ya Mapaja unaakisi nini Kuhusu Ustadi wako wa kufanya Mapenzi

    Hii ndio tafsiri yake... Kila mtu ana njia tofauti linapokuja suala la ngono lakini je, unajua kwamba uwazi kwenye mapaja yako unaweza pia kusema mengi kuhusu ujuzi wako wa kufanya mapenzi? Jua zaidi uwazi kwenye mapaja yako unaashiria nini kuhusu mtindo wako, na uchague kutoka kwa aina 4...
  14. Jeska Isaga

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kazi ya Katibu Msaidizi wa Bunge Sosholojia

    Habari samahani naomba mnisaidie kujua zaidi kuhusu kazi ya katibu msaidizi wa Bunge sosholojia.
  15. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Fahamu historia ya neno "Bluetooth"

    HISTORI YA NENO BLUETOOTH. Teknolojia tunayoijua kama Bluetooth imepata jina lake kutoka kwa Harald Bluetooth, mfalme wa Viking aliyeaga dunia zaidi ya milenia moja iliyopita. Kama vile alivyounganisha vikundi vya Denmark na Norway, teknolojia ya Bluetooth inaunganisha vifaa mbalimbali vya...
  16. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuweka andiko lako ndani ya jukwaa la Stories of Change

    Jinsi ya kushiriki Shindano la STORIES OF CHANGE Kama tayari una Akaunti ndani ya JamiiForums.com, fungua Kivinjari chako (Browser) kisha ingia jukwaa la Stories of Change 2024 Bonyeza 'Start Discussion' halafu chagua 'Stories of Change 2024' itafunguka sehemu ya kuweka Tittle au Kichwa cha...
  17. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu mafuta ya ndege

    NDEGE HUTUMIA MAFUTA GANI? Aviation Fuel ni mafuta yanayotumiwa kwa kuendeshea injini za ndege. Kimsingi zipo kama aina nne za mafuta zinazotumika katika usafiri wa anga. 1> Jet A-1 ambayo ambayo kwa uhalisia ni mafuta ya taa 2> Jet B, Mchanganyiko wa mafuta ya taa na petroli 3> Avgas ambayo...
  18. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Jinsi ya Kumpatia Mtu Mtaji na Kumasaidia kukuza Biashara yake

    Habari za wakati huu wadau Ufuatao ni muendelezo wa mada niliyoandika siku kadhaa zilizopita yenye kichwa - Jinsi ya kushiriki katika Uwekezaji Huria (Venture and Angel Investment) Mada hii ni mtiririko wa mada kadhaa ambazo huwa naziandika mara kwa mara kwa lengo la kuchangia katika...
  19. jastertz

    JamiiForums Tanzania Dawa bandia ni tishio barani Afrika. Fahamu namna 3 za kuzibaini

    Mwishoni mwa siku ndefu, unagundua kuwa unaanza kuhisi maumivu ya kichwa. Unachokifanya ni kunununua dawa za kutuliza maumivu kutoka kwa muuzaji wa mtaani, na unakunywa mbili. Lakini unajuaje tembe hizo ni sahihi ama sio feki? Muuzaji sio duka halisi la dawa lililothibitishwa. Hakuna kifungashio...
  20. tovuti website

    JamiiForums Tanzania Pata Websites pamoja na Email 5 kwa gharama 199,000/= kwa miaka 2

    Je, biashara yako IPO Mtandaoni? Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo. Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
Back
Top Bottom