Fahamu siri ya (Pesa Na Mwanaume)

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
908
1,064
PESA NA MWANAUME 👈
...
Kuna pesa na Mwanaume |✍
Ukiona mwanamke anakuletea dharau tambua yuko na Mwanaume au yuko na pesa 👈
...
Mwanamke hawezi kuwa na dharau kama hakuna anayemshika masikio! Kama hakuna anayemshika masikio jua anamiliki kiasi fulani cha pesa so wew kama ulikuwa nae anakuona we sio level zake.
....
Mwanaume hiki ni kiumbe chenye akili sana duniani na, kinaweza kuanzisha jambo na kuwa kubwa.
Kiumbe hiki kinasifa zote | ukarimu | unafiki | kujikweza n.k
Kiumbe hiki ndo kinaweza kukupandisha na kukushusha! Kiumbe hiki ndicho kimetunga sheria za nchi na kuleta mambo ya ajabu!
....
Ushoga| kiumbe hiki akikuridhika na Mwanamke kikasema kwani siwezi kutest na huku ! Rahnatuaalha ila kiumbe hichi ndicho kilichogundua pesa | mtonyo| mkwanja| mawe| madini | mavumba.. dah nakuipa pesa majina mengi sana.
...
Mwanaume| kiumbe hiki ndicho kinachotoa majina ya kiumbe chenye moyo wa huruma|Mwanamke.
Majina yasiyo na stara,kiumbe hiki ndicho kinachomtukana mama aliyekizaa na kiumbe hiki kinasahau kuwa mwanamke anapaswa kuwa msikivu.
...
Kiumbe hiki ndicho kinampa mwanamke kipaumbele na ndo kinampa mwanamke nafasi ya kuwa kiongozi katika taasis fulani. Kiumbe hiki ndicho kinachowapa jeuri wanawake na leo kiumbe hiki kimepanda mbengu mbovu na kuzaa mbegu mbovu zaidi leo hii kiumbe hiki kinalalama na kusema kuna kiumbe hatari sana Dunia | Mwanamke.

.... by @Hemedyjrjunior.... asante.
 
Back
Top Bottom