ewura

Kate Victoria Teiba Abbam, born Ewura Ekua Badoe (1934-2016) was a Ghanaian journalist, editor and consultant on women and development. Abbam founded Ghana's first women's magazine, Obaa Sima (The Ideal Woman), in 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta leo Septemba 6, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano September 06, 2023 saa 6:01 usiku ambapo kwa mwezi September 2023, bei za rejareja za mafuta katika Mkoa wa Dar es Salaam petrol...
  2. Mparee2

    JamiiForums Tanzania EWURA waangalie upya kutangaza bei ya mafuta

    nafikiri EWURA waangalie upya huu utaratibu wa kutangaza bei ya mafuta Kila mwezi
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania EWURA kuwa mpangaji wa bei ya mafuta katika soko huria itazamwe upya

    Kwa nini serikali inapanga bei za mafuta katika uchumi wa soko huria kupitia taasisi yake ya EWURA? Hili wazo la kuipa taasisi ya kiserikali jukumu la kibiashara kuwapangia bei wafanyabiashara binafsi lilitokana na sababu zipi za msingi na limekuwa na manufaa gani mpaka sasa kwa walaji wa...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la bei ya mafuta: Je, Bunge lina meno ya kuiwajibisha EWURA?

    Ni vyema kwanza niwapongeze watakaoelewa mantiki ya huu uzi. Katika mawanda ya sheria, kuna kitu kinaitwa mgongano wa maslahi. Ni kwamba Hakimu au Jaji au mtu yeyote anayesimama kwenye altare ya kutoa haki anapaswa kujiepusha na hiki kipengele. Huwezi ukasimama kusikiliza na kuhukumu kesi...
  5. D

    JamiiForums Tanzania EWURA inatia aibu kufungia vituo vya mafuta visivyouza

    Habari Wananchi Ifahamike kwamba Siyo jukumu la serikali kulazimisha kuuza! Ewura kama mdhibiti mkuu anatakiwa afanye kazi kisomi siyo kikoloni! Ifahamike Ewura hana shea yoyote kwenye mitaji ya wafanyabiashara ya mafuta: Wakati mfanyabiashara anatafta mtaji huwa peke yake, Anapotafta eneo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania EWURA: Nchi ina hifadhi ya Mafuta inayojitosheleza, Petrol inatosha kwa siku 19 na Diesel siku 18

    Mkurugenzi mkuu wa EWURA Dr James Andilile amewataka hofu Wananchi kwa kusema Nchi ina hifadhi ya kutosha ya Nishati ya Mafuta Dr Andilile amesema kuna Hifadhi ya Petrol ya kutosha siku 19 na Diesel ya kutosha siku 18. --- Mkurugenzi wa EWURA Dkt. James Andilile Mamlaka ya udhibiti wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkurugenzi mkuu mpya WA EWURA tangia ateuliwe kwanini mafuta yamekuwa yanafichwa hapa nchini?

    Tangia mme WA TULIA Acksobi kuteuliwa kuwa mkurugenzi WA EWURA sakata la mafuta limekuwa Shida.Je kwanini Bunge lismuazimie nlmkurugenzi husika kuondolewa Kwenye nafasi huska
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi wapate shida ya mafuta lakini viongozi husika wanazidi kuneemeka

    Wananchi wanapata tabu kubwa kwenye suala la mafuta lakini familia za kina Makamba, Tulia na mumewe Bosi wa Ewura ziendelee kuneemeka huku Watanzania wakiteseka kwenye nchi yao. Nimeona huko Kiteto mafuta lita Tsh. 5,000 wao wanaona sawa tu. Ili mradi waendelee kubaki kwenye nafasi zao. Nchi...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia muondoe ofisini haraka huyu jamaa wa EWURA

    Leo naandika kwa hasira. Hivi kweli kama Taifa tunachezea ishu nyeti ya uagizaji wa petrol? Mtu na Mme wake, wanatufikisha kwenye gharama za kijinga kabisa leo hii..! Taarifa hii hapa chini kwa uchache:- Mume wa spika wa Bunge, ndiye Mkurugenzi wa EWURA, mamlaka ya usimamizi wa Nishati...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Petroli na Diesel bei Juu. Dola yaelezwa kuwa sababu ya bei kupaa

    Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana ====== MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA...
  11. dubu

    JamiiForums Tanzania Mume wa Spika Tulia kuwa Mkurugenzi EWURA, ni Mateso kwa taifa, Mafuta hayapatikani

    Je, Rostam Aziz kashamuweka Kiganjani? Tangu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dk James Mwainyekule ambaye pia ni mume wa Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akamate kiti hiki, Mafuta yamekuwa ya Tabu sana kupatikana. Napendekeza aondolewe ili kuokoa...
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Tabora: EWURA yakamata Malori ya mafuta yaliyofichwa kwenye Kituo cha mafuta cha GBP

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi imefanikiwa kukamata malori matatu ya mafuta ya Dizeli na Petrol yaliyokuwa yamefichwa kwenye Kituo kimoja cha mafuta cha GBP Mjini Tabora. Inadaiwa kuwa yalikuwa kwenye mkakati wa kucheleweshwa wa lengo la kutengeneza...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania EWURA yawakamata walanguzi wa mafuta ya Petroli Loliondo

    Timu ya Wakaguzi EWURA ikishirikiana na vyombo vingine vya Usalama imewakamata walanguzi wa mafuta ya petroli wakihifadhi na kuuza mafuta hayo kwenye madumu ya lita 20 na 200. Aidha waliokomatwa kwa kukutwa wakiuza mafuta Loliondo ni: 1. Wilson Bussein Balagiswa Lita:411 2. John Emanuel...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania EWURA: Tuna mafuta ya kutosha Nchini, wenye vituo lazima wawe na mikataba na waagizaji

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeendelea kuwahakikishia wananchi upatikanaji wa uhakika wa mafuta nchini baada ya kutembelea maghala ya kuhifadhia mafuta jijini Dar es Salaam, 23 Julai 2023. Ziara hiyo iliyoongozwa na Waziri wa Nishati, January Makamba, na kujumuisha...
  15. Mparee2

    JamiiForums Tanzania EWURA Kuondoa ushindani kwenye Petrol ni sawa?

    Binafsi sioni kama ni sawa kuondoa ushindani kwenye bidhaa (kibiashara) Nilitamani EWURA watoe bei Elekezi ya juu, ila bei ya chini waache kila mtu ajipangie Tumeona hii ikifanyika kwenye ada za Shule za private nk Kuna vituo vya mafuta vyenye uwekezaji mkubwa na wanamitaji mikubwa hivyo...
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania EWURA wakanusha uhaba wa mafuta nchini

    Baada ya wananchi kulalamika uhaba wa mafuta Kwa baadhi ya maeneo nchini, hatimae EWURA wametoa tamko na "mkwara" kuwa mafuta yapo na kwamba makampuni yanayoficha mafuta yakae "chonjo"! Imeenda hio. --- Pia Soma: - Manyara: Upatikanaji wa Petroli Mbulu ni changamoto, Wananchi wanahaha kupata...
  17. Ileje

    JamiiForums Tanzania EWURA wanatekeleza miradi gani ya maendeleo hapa nchini

    EWURA- Energy and Water Utilities Regulatory Authority na kwa kiswahili ni Mamlaka ya uthibiti ya Nishati na Maji kila malipo ya huduma hizo kutoka kwa watumiaji wote inakusanya 1% kama tozo. Hizi ni fedha nyingi sana na hasa ukizingatia uwingi wa watumiaji wa umeme, gesi na maji. Aidha EWURA...
  18. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania EWURA tuambieni ukweli ni upi kuhusu upungufu wa mafuta ya petrol wiki ijayo

    Mod usifute huu uzi na upaste kama ulivyo andikwa kigogo media Kiburi cha rushwa ,uhuni na ujeuri wa EWURA na waziri wa nishati wafikisha mgogoro wa upungufu wa mafuta ngazi za juu serikalini, chanzo chetu ndani ya EWURA kinatujulisha asubuhi na mapema leo hii. Baada ya kuona nchi inaingia...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson ana "conflict of interest" katika Wizara ya Nishati, mume wake ni bosi wa EWURA

    Leo asubuhi tumeshuhudia jinsi spika wa bunge Dokta Tulia akihaha kuhalalisha kuwa kikanuni akidi (idadi) ya wabunge imetimia na mjadala wa bajeti ya wizara ya nishati itaendelea tu japo kuna wabunge zaidi ya 200 wamesusia mjadala wa wizara ya nishati leo asubuhi. Dr. James Andilile ni mume wa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mume wa Spika kuwa Bosi wa EWURA haiwazuii wabunge kuisimamia Wizara ya Nishati

    Kitendo cha MUME wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA haiwazuii wabunge kujadili matatizo yaliyoko kwenye Wizara ya Nishati hasa yatokanayo na mambo ya mafuta eti kwa sababu Spika anamgongano wa kimaslahi na Wizara ya Nishati. Wabunge mko bungeni kwa ajili ya...
Back
Top Bottom