EWURA inatia aibu kufungia vituo vya mafuta visivyouza

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Habari Wananchi

Ifahamike kwamba Siyo jukumu la serikali kulazimisha kuuza!

Ewura kama mdhibiti mkuu anatakiwa afanye kazi kisomi siyo kikoloni!

Ifahamike Ewura hana shea yoyote kwenye mitaji ya wafanyabiashara ya mafuta:

  • Wakati mfanyabiashara anatafta mtaji huwa peke yake,
  • Anapotafta eneo la kujenga huwa peke yake
  • Anapodaiwa mikopo huwa peke yake,
  • Anapojenga kituo gharama huwa juu yake
  • Anapoomba kibari Ewura hutozwa fedha ili kupatiwa kibali
  • Mafuta yakishuka huwa ni hasara kwa mfanyabiashara mwenyewe

Kwa maana hiyo mfanyabiashara huyu mamlaka zinamtaka kuzingatia hali ya usalama na kuuza mafuta katika hali ya usalama lakini hawapaswi kabisa kumpangia wa kuwauzia!

Mfanyabiashara anayo haki ya kuamua Baadhi ya magari asiyauzie mafuta hiyo ni haki yake na hapaswi kushurutishwa

Mfanyabiashara anaweza kuamua kuuzia magari mfano aina Benz na BMW tu na akagoma kuuzia gari za toyota ni haki yake hapaswi kuuadhibiwa

Anaweza kataa kuuza kwa kuomboleza kifo cha ndugu yake ni haki yake hapaswi kushurutishwa

Anaweza kuamua kujipa likizo na wafanyakazi na hutakiwi kumshurutisha

Mtu ambaye hajawahi kuuza hata mihogo kisa kapewa mamlaka ya kudhibiti anaamua kufungia watu waliowekeza akili, pesa na nguvu! hii siyo sawa kabisa!

Ewura ni mdhibiti lakini ni katika hali ya ubora na usalama na siyo kupangia watu wakati na muda wa kuuza!

Ewura walipaswa kujiuliza wanakosea wapi kwanini wafanya biashara wafiche mafuta,

Kama wanaona ni raha kuuza basi wauze wao kila wilaya wajenge kituo cha mafuta wauze kwa bei rahisi kubalance soko,

Hebu tuwaze kidogo tu kama kweli Ewura wanawapenda sana wananchi kwanini bei inapanda kiholeka?

Kama Ewura wanajali wananchi kwanini hawaruhusu vibali vya vituo vya gesi barabara za mikoani? kwanini huwa wanagoma kutoa leseni za kujenga vituo vingi vya gesi CNG ukiachilia hivi viwili/vitatu dar nzima?

Kwanini vituo vya CNG vipo limited nani anayetoa hayo maelekezo kuzuia visijengwe kwa faida gani?

Badala ya kufungia hivi vituo vinavyojitafta kimaisha soko huria, Yangekuwa maoni yangu ningelifukuza team nzima ya Ewura ije akili mpya ambayo itadhibiti kwa Akili na siyo kizamani namna hii ambako kunaleta mwanya wa rushwa!

Nani atakuwa salama kama kituo kinaweza fungwa kwasababu kimejipa off? VIPI Kama watendaji wa Ewura wakiamua kuitumia hiyo kama fimbo kuomba rushwa na wasipopewa wanakifunga kwa KAULI ZA NAMNA HIYO?

Ni akili ya hovyo sana kufungia Wachuuzi wakati wenye matatizo ni EWURA WENYEWE
 
Ewura kamatia hapohapo hatuwezi kurudi zama za wafanyabiashara kuiweka serikali mfukoni.......hutaki kuuza mafuta rudisha leseni ukauze mihogo wapewe wengine hiyo fursa.
Ivi unajielewa kweli yani mtaji nitafte mwenyewe , vibali nilipie mwenyewe , bado mapato , alafu uje unipangie wa ku muzia mafuta , hivi unajua garama za kuendesha kituo cha mafuta? Kama kweli Ewura wana akili kwanini wasithibiti mgumuko wa bei? ...... wew huna hoja kajambe mbele
 
habari Wananchi

Ifahamike kwamba Siyo jukumu la serikali kulazimisha kuuza!

ewura kama mdhibiti mkuu anatakiwa afanye kazi kisomi siyo kikoloni!

Ifahamike ewura hana shea yoyote kwenye mitaji ya wafanyabiashara ya mafuta:

wakati mfanyabiashara anatafta mtaji huwa peke yake!
anapotafta eneo la kujenga huwa peke yake
anapodaiwa mikopo huwa peke yake
anapojenga kituo gharama huwa juu yake
anapoomba kibari ewura hutozwa fedha tena wakati mwingine na bahasha ili kupatiwa kibali
mafuta yakishuka huwa ni hasara kwa mfanyabiashara mwenyewe
kwa maana hiyo mfanyabiashara huyu mamlaka zinamtaka kuzingatia hali ya usalama na kuuza mafuta katika hali ya usalama lakini hawapaswi kabia kumpangia wa kuwauzia!

Mfanyabiashara anayo haki ya kuamua Baadhi ya magari asiyauzie mafuta hiyo ni haki yake na hapaswi kushurutishwa
mfanyabiashara anaweza kuamua kuuzia magari aina benzi na BMW tu na akagoma kuuzia gari ya toyota ni haki yake hapaswi kuuadhibiwa
anaweza kataa kuuza kwa kuomboleza kifo cha ndugu yake ni haki yake hapaswi kushurutishwa n.k
anaweza kuamua kujipa likizo na wafanyakazi na hutakiwi kumshurutisha
Mtu ambaye hajawahi kuuza hata mihogo kisa kapewa mamlaka ya kudhibiti anaamua kufungia watu waliowekeza akili, pesa na nguvu! hii siyo sawa kabisa!

Ewura ni mdhibiti lakini ni katika hali ya ubora na usalama na siyo kupangia watu wakati na muda wa kuuza!

Ewura walipaswa kujiuliza wanakosea wapi kwanini wafanya biashara wafiche mafuta,

Kama wanaona ni raha kuuza basi wauze wao kila wilaya wajenge kituo cha mafuta wauze kwa bei rahisi kubalance soko,

ebu tuwaze kidogo tu kama kweli Ewura wanawapenda sana wananchi kwanini bei inapanda kiholeka?

kama ewura wanajali wananchi kwanini hawaruhusu vibali vya vituo vya gesi barabara za mikoani? kwanini huwa wanagoma kutoa leseni za kujenga vituo vingi vya gesi CNG ukiachilia hivi viwili/vitatu dar nzima?

kwanini vituo vya CNG vipo limited nani anayetoa hayo maelekezo kuzuia visijengwe kwa faida gani?

Badala ya kufungia hivi vituo vinavyojitafta kimaisha soko huria, Yangekuwa maoni yangu ningelifukuza team nzima ya Ewura ije akili mpya ambayo itadhibiti kwa Akili na siyo kizamani namna hii ambako kunaleta mwanya wa rushwa!

Nani atakuwa salama kama kituo kinaweza fungwa kwasababu kimejipa off? VIPI Kama watendaji wa Ewura wakiamua kuitumia hiyo kama fimbo kuomba rushwa na wasipopewa wanakifunga kwa KAULI ZA NAMNA HIYO?

Ni akili ya hovyo sana kufungia Wachuuzi wakati wenye matatizo ni EWURA WENYEWE
Wacha ngonjera wewe..! Mama anawachekea sana Wafanyabiashara na watamliza tu. Kiasili sisi Watanzania hatuendi bila mkono wa chuma.
Acha EWURA wafanye kazi yao. Unapopewa leseni lazima kuwe na masharti ya kuyafuata na sio kujiamulia tu.
 
Ivi unajielewa kweli yani mtaji nitafte mwenyewe , vibali nilipie mwenyewe , bado mapato , alafu uje unipangie wa ku muzia mafuta , hivi unajua garama za kuendesha kituo cha mafuta? Kama kweli Ewura wana akili kwanini wasithibiti mgumuko wa bei? ...... wew huna hoja kajambe mbele
Hivyo vibali si ulitafuta ili uuze mafuta, kama hutaki kuuza kwa nini usinyanganywe ukauze hata chang'aa.....we jamaa boya sana, Ewura kamatia humohumo.
 
Mleta mada, kuna jambo unashindwa kulitambua. Pamoja na kufanya biashara lakini pia wanatoa huduma za kijamii. Hivyo ili kutia hiyo huduma unatakiwa upewe leseni ya buashara ambayo kwake ni biashara kwetu sisi ni huduma.
Kama kapewa leseni na hataki kuyoa huduma basi maanake ni kwamba kashindwa kutoa huduma arudishe leseni wapewe watu wengine.

Hivi bei mpya za mwezi huu wa 9 zimetoka? Kuanzia keso huduma zitaendelea kama kawaida mpaka tarehe 30 september.
 
Wacha ngonjera wewe..! Mama anawachekea sana Wafanyabiashara na watamliza tu. Kiasili sisi Watanzania hatuendi bila mkono wa chuma.
Acha EWURA wafanye kazi yao. Unapopewa leseni lazima kuwe na masharti ya kuyafuata na sio kujiamulia tu.
hata ndoa ina masharti lakini mkeo kama hajisikii huwezi mpanda kwa nguvu! Iko haki ya mfanya biashara! mahakama za biashara akiishitaki ewura anashinda!

SIYO LAZIMA KILA SIKU KUFUNGUA, kituo cha mafuta siyo zahanati
 
Mleta mada, kuna jambo unashindwa kulitambua. Pamoja na kufanya biashara lakini pia wanatoa huduma za kijamii. Hivyo ili kutia hiyo huduma unatakiwa upewe leseni ya buashara ambayo kwake ni biashara kwetu sisi ni huduma.
Kama kapewa leseni na hataki kuyoa huduma basi maanake ni kwamba kashindwa kutoa huduma arudishe leseni wapewe watu wengine.

Hivi bei mpya za mwezi huu wa 9 zimetoka? Kuanzia keso huduma zitaendelea kama kawaida mpaka tarehe 30 september.
kwenye mashart ya leseni kuna sehemu inayoonesha likizo au off kwa mwenye kituo? Kuna kanuni ya kufungua kila siku?
 
Yaani wafiche mafuta Ili walangue?
Wapewe kesinza uhujumu uchumi kabisa.
ulishawahi kuuza hata vitunguu ndugu yangu? Biashara ni demand and supply! Ewura wanapashwa kudhibiti bei isipande kiholela ili supply iongezeke!
 
habari Wananchi

Ifahamike kwamba Siyo jukumu la serikali kulazimisha kuuza!

ewura kama mdhibiti mkuu anatakiwa afanye kazi kisomi siyo kikoloni!

Ifahamike ewura hana shea yoyote kwenye mitaji ya wafanyabiashara ya mafuta:

wakati mfanyabiashara anatafta mtaji huwa peke yake!
anapotafta eneo la kujenga huwa peke yake
anapodaiwa mikopo huwa peke yake
anapojenga kituo gharama huwa juu yake
anapoomba kibari ewura hutozwa fedha tena wakati mwingine na bahasha ili kupatiwa kibali
mafuta yakishuka huwa ni hasara kwa mfanyabiashara mwenyewe
kwa maana hiyo mfanyabiashara huyu mamlaka zinamtaka kuzingatia hali ya usalama na kuuza mafuta katika hali ya usalama lakini hawapaswi kabisa kumpangia wa kuwauzia!

Mfanyabiashara anayo haki ya kuamua Baadhi ya magari asiyauzie mafuta hiyo ni haki yake na hapaswi kushurutishwa

mfanyabiashara anaweza kuamua kuuzia magari mfano aina benz na BMW tu na akagoma kuuzia gari za toyota ni haki yake hapaswi kuuadhibiwa

anaweza kataa kuuza kwa kuomboleza kifo cha ndugu yake ni haki yake hapaswi kushurutishwa

anaweza kuamua kujipa likizo na wafanyakazi na hutakiwi kumshurutisha

Mtu ambaye hajawahi kuuza hata mihogo kisa kapewa mamlaka ya kudhibiti anaamua kufungia watu waliowekeza akili, pesa na nguvu! hii siyo sawa kabisa!

Ewura ni mdhibiti lakini ni katika hali ya ubora na usalama na siyo kupangia watu wakati na muda wa kuuza!

Ewura walipaswa kujiuliza wanakosea wapi kwanini wafanya biashara wafiche mafuta,

Kama wanaona ni raha kuuza basi wauze wao kila wilaya wajenge kituo cha mafuta wauze kwa bei rahisi kubalance soko,

ebu tuwaze kidogo tu kama kweli Ewura wanawapenda sana wananchi kwanini bei inapanda kiholeka?

kama ewura wanajali wananchi kwanini hawaruhusu vibali vya vituo vya gesi barabara za mikoani? kwanini huwa wanagoma kutoa leseni za kujenga vituo vingi vya gesi CNG ukiachilia hivi viwili/vitatu dar nzima?

kwanini vituo vya CNG vipo limited nani anayetoa hayo maelekezo kuzuia visijengwe kwa faida gani?

Badala ya kufungia hivi vituo vinavyojitafta kimaisha soko huria, Yangekuwa maoni yangu ningelifukuza team nzima ya Ewura ije akili mpya ambayo itadhibiti kwa Akili na siyo kizamani namna hii ambako kunaleta mwanya wa rushwa!

Nani atakuwa salama kama kituo kinaweza fungwa kwasababu kimejipa off? VIPI Kama watendaji wa Ewura wakiamua kuitumia hiyo kama fimbo kuomba rushwa na wasipopewa wanakifunga kwa KAULI ZA NAMNA HIYO?

Ni akili ya hovyo sana kufungia Wachuuzi wakati wenye matatizo ni EWURA WENYEWE
Basi hao wafanyabiashara watafute nchi yao kivyao maana ulivyoandika hapa wanajitegemea kwa kila kitu.

Wahame tu Tanzania yetu. Fuel ni huduma siyo duka la nguo
 
Back
Top Bottom