Kate Victoria Teiba Abbam, born Ewura Ekua Badoe (1934-2016) was a Ghanaian journalist, editor and consultant on women and development. Abbam founded Ghana's first women's magazine, Obaa Sima (The Ideal Woman), in 1971.
The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) is an independent, world class regulatory authority responsible for licensing, tariff regulation and quality of service regulation of the electricity, water, petroleum and Natural gas sectors. EWURA has the following vacancies for which...
Hivi ni sababu zipi zinazofanya Serikali ishindwe kuwaendesha EWURA?
Kwasababu naona kila kitu wanajipangia wao tu.
1. Bei za mafuta wanajipangia wao tu watakavyo
2. Kuajiri wanajiajiria wenyewe tu wao wala hawataki utumishi iajiri badala ya wao
Kuna nini hapo.
Jamani Mh. Rais Samia...
Habari wadau!
Wiki iliyopita kuna taarifa kuwa bei za gesi za majumbani (LPG) zimepanda watu wakalalamika sana mpaka Ewura wakatoa tamko.
Lakini cha ajabu bei haijashuka bado imepanda mtungi wa 6Kg tuliokuwa tunanunua 18,000/= kwa sasa 20,000/= maisha yamekuwa magumu sana maaana hata mafuta...
Habari ndugu.
Mara ya mwisho naingia filling station bei ya wese ilikua 2,405 karibu sheli zote. Leo nimeingia kujaza wese nakuta bei inasoma 2427 kuna ongezeko la Tshs 22. Nakumbuka jamaa pale sheli alinambia na bado bei itaendelea panda.
Tunakoelekea sahivi uchumi utadidimia na sio kukua...
Leo Ewura, pamoja na mambo mengine wamezungumzia kupanda kwa bei za gesi ya kwenye mitungi zinazotumika zaidi majumbani pia wamezungumzia mradi wao wa gesi asilia zinazosambazwa majumbani(CNG) kwenye kipindi cha 'Morning Trumphet' kinachorushwa na kituo cha Azam TV.
Mtangazaji: Baada ya...
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (EWURA), imetoa msaada wa mashuka 431 kwa Vituo vinne vya Afya katika Jiji la Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma. EWURA imeona itoe msaada huo kama kurudisha mchango wake kwa jamii kwenye sekta ya afya.
“Mashuka...
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, jana Aprili 28,2021 amefanya kikao kazi na watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Katika Kikao hicho Waziri ameitaka EWURA wahakikishe mamlaka zote za maji nchini, zinatoa ankara sahihi kwa wateja wa maji na zinafuata sheria...
The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) is an independent, world class regulatory authority responsible for licensing, tariff regulation and quality of service regulation of the electricity, water, petroleum and Natural gas sectors. EWURA has the following vacancies for which...
Mbunge wa Gairo, Shabiby amesema kuna kampuni inalipwa kati ya sh bilioni 5 hadi 7 kila mwezi kwa kazi ya kuweka rangi kwenye mafuta yanayotumika nchini.
Shabiby amesema 'fee' hizo ni nyingi mno kulinganisha na kazi ndogo sana inayofanywa na kwamba kazi hiyo ingeweza kufanywa bure na TBS...
Ewura mafyta yakishuka leo kwenye soko la Dunia Tanzania inaweza kuchumua wiki 2 kushusha ama kutoshusha kabisa, utaambiwa bado kuna shehena ya zamani lakini mafuta yakipanda leo jioni tu unawaona wanapandisha bei, unajiuliza kwani shehena ya zamani yenyewe imeisha ghafla?
TCRA wakiambiwa...
Habari wadau,
Kuna nafasi EWURA walitangaza mnamo tarehe 22 NOV mwaka jana, sasa imekuwa ni kitambo kidogo kimepita, kama kuna mdau anataarifa ya zile nafasi kama washaajiri au mchakato unaendelea. Nafasi hizo ni kama zinavyoonekana hapo chini
Post Title: Technical Manager Electricity One...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.