ethiopia

  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

    Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024. Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi AU, ETHIOPIA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan usiku wa kuamkia leo, Jumapili Februari 18.2024 amewasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU), ikiwa ni saa chache tangu awaongoze waombolezaji kwenye mazishi ya kitaifa ya...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili nchini Ethiopia

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa Nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika, safari ambayo ameifanya baada ya kutoka kijijini Ngarash Wilayani Monduli Mkoani Arusha ambako ameongoza Waombolezaji kwenye maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward...
  4. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Ethiopia wanaomba hata kilomita 20 tu za ufukwe, Tanzania tuna zaidi ya kilomita 1500 lakini hakuna cha maana. Shida ni nini?

    Nchi ya Ethiopia hawana bahari wanaomba Somalia wawape hata tu 20 km ya ufukwe na kila kitu kitabadilika vs Tanzania tuna zaidi ya 1500 km coast line kutoka tangagiza mpaka Mtwara ni bahari tupu lkn ni uchuuzi tu wa kuleta imports ktk China na kujenga fremu za GSM & co. uchumi wote bazaar tu...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Ethiopia na Somalia haziivi, wanataka kukinukisha

    Somalia hawa hawa na maugaidi yao wanataka kuanzisha vita na Ethiopia kisa hao Ethiopia wamedhamiria kutumia bandari ya Somaliland.............. Somalia vowed on Tuesday to defend its territory by "any legal means" and recalled its ambassador to Ethiopia after Addis Ababa struck a controversial...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa paramilitary RSF ya Sudan azuru Uganda na Ethiopia

    27 December 2023 SUDAN WATU 6,000,000 WAFURUSHWA TOKA MAKAZI YAO, 12,000 WAPOTEZA MAISHA Kiongozi wa kikosi cha paramilitary cha Sudan jenerali Mohamed Hamdan Dagalo afanya ziara ya kipekee barani Afrika na kuzuru nchi za Uganda na Ethiopia. Kikosi cha RSF kimekuwa kikipambana na...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Watu 176 wafa kwa njaa kali

    Watu 176 wamekufa katika Jimbo la Tigray kutokana na njaa iliyosababishwa na ukame, kati yao Wanaume ni 101 na Wanawake 75. Takriban watu 45,000 katika Wilaya ya Emba Sieneti wanakabiliwa na njaa kali, iliyozidishwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka miwili. Aidha, kuna...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha SISAY LEMMA wa Ethiopia avunja course record ya Valencia Marathon TRINIDAD ALFONSO mapema hii leo..

    Sisay Lemma mwanariadha kutoka Ethiopia aweka muda mpya wa saa 2 dakika 1 na sekunde 48(2:01:48) Valencia Marathon 2023, baada ya kuipiku kwa sekunde tano record aliyoiweka Kelvin Kiptum mwaka jana 2022(saa 2:01:53), bila kumsahau mtanzania Gabriel Geay alishika nafasi ya 5 katika shindano hili...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu ukipata fursa tembelea Ethiopia hakika hutajutia nauli yako

    Wadau hamjamboni nyote Karibuni tujadili
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wahamiaji haramu 16 kutoka Ethiopia wakamatwa kwa kuingia Nchini bila kibali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia wahamiaji haramu 16 raia wa nchini Ethiopia, wote wanaume, umri kati ya miaka 18 - 53 kwa kosa la kuingia nchini bila kibali. Watuhumiwa walikamatwa Novemba 09, 2023 majira ya 2:00 asubuhi huko kijiji cha Kasumulu, Wilaya ya Kyela, wakati Askari wa...
  11. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Dah ama kweli damu ni nzito kuliko maji , hako ka bint kakuje tu ethiopia. Wana wa kiethiopia wakatie mbegu za ki ethiopia kaendeleze kizazi

    Au vipi wana maneno Maana kamenonaa kwa sasa kana stahili mb*o*0 za ki ethiopia ili kaendeleze kizazi ....maana za kizungu zitaleta half cast(muethipia muzungu) aseeeee! ALL IN ALL DAMU NI NZITO KULIKO MAJIIIIII🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Karibuni wagawaji wa...
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Apokea Ujumbe Maalum Toka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed Tarh 06/11/2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed uliowasilishwa kwake na Waziri na Mshauri – Sera wa Ethiopia Mhe. Taye Atske-Selassie Made mara baada ya kuwasili Ikulu, Dar es Salaam 6.11.2023.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa 14 kutoka Ethiopia ashinda Tuzo: Sabuni ya Kinga Ya Saratani ya Ngozi

    Mwanafunzi wa miaka 14 mwenye asili ya Ethiopia anayeishi USA, ameshinda tuzo na kuwagaragaza wana sayansi wengi wa vyuo vikuu nchini Marekani kwa kuvumbua sabuni yenye gharam ya senti 0.50 inayoweza kuzuia ugonjwa wa saratani ya ngozi...
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania Mbioni Kununua Umeme Kutoka Ethiopia

    Hiyo ndio habari kamili ambapo mazungumzo na Serikali ya Ethiopia yanaendelea. ======= Addis Abeba – Ethiopian Electric Power (EEP) has announced plans to boost electric power export to neighboring countries and earn more revenue in the current fiscal year. Last year, the country exported...
  15. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni giant how? Ethiopia wanaikimbia nchi yao. Tuache utani ..tafiti za kibeberu

    Yaan hii imenishangaza sana. Angalia hapa
  16. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni giant how? Ethiopia wanaikimbia nchi yao. Tuache utani tafiti za kibeberu

    Yaan hii imenishangaza sana. Angalia hapa
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ethiopia na Djibouti zaomba kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    EAC inaenda kuwa Jumuiya kubwa na yenye Nguvu zaidi hapa Afrika. Tukifita pass za kusafiria,tukaruhusu free movements of people and goods nadhani tutaendelea zaidi kuliko kuweka mamipaka yasiyo na msingi. Somalia tayari inasubikiwa kutangazwa tuu.Bila Shaka Sudan nayo itaunga trailer sio mda...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Serikali inunue umeme Ethiopia, tatizo ni kubwa mno. Pole Biteko

    Biteko anawaambia TANESCO kuwa wananchi wanataka umeme, wananchi hawataki kusikia sijui kuna mipango na porojo gani kama alivyokuwa anasema Makamba, lakini hata akiwaambia wananchi wanataka umeme huo umeme utatoka wapi? Kwanini wananchi tusiwapime CCM kwa kutumia umeme? Jinsi na kadiri siku...
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Iran imezipita Ethiopia na Liberia?

    Zote, hasa Ethiopia na Iran, ni nchi kongwe. Zimekuwepo tokea kipindi Biblia inaandikwa. Nchi zote tatu hazikuwahi kutawaliwa na Wazungu. Lakini Iran imezipita zote kwa mambo mengi. Kwa ubabe, imo! Inatunishiana misuli na mataifa makubwa kama Israel na Marekani. Kama ni nguvu ya kiuchumi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia, UAE, Iran, Egypt, Ethiopia na Argentina zakubaliwa kujiunga BRICS

    Sasa BRICS itakuwa na wanachama 11 wenye sifa zifuatazo ● BRICS itakuwa na mataifa 6 kati ya 9 ambayo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi duniani. ● BRICS itakuwa na mataifa ambayo yana 80% ya oil reserve duniani. ● BRICS itakuwa na mataifa yenye jumla ya GDP $30.76 trillion. Asilimia...
Back
Top Bottom