Ethiopia na Somalia haziivi, wanataka kukinukisha

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Somalia hawa hawa na maugaidi yao wanataka kuanzisha vita na Ethiopia kisa hao Ethiopia wamedhamiria kutumia bandari ya Somaliland..............

Somalia vowed on Tuesday to defend its territory by "any legal means" and recalled its ambassador to Ethiopia after Addis Ababa struck a controversial deal with the breakaway region of Somaliland.

Mogadishu branded Monday's surprise pact that gives Ethiopia long-sought access to the Red Sea a "clear violation" of its sovereignty and appealed to the international community to stand by its side.

The Addis Ababa deal was announced only days after Somalia's central government had agreed to resume dialogue with the separatist northern region after years of stalemate.

Somaliland has been seeking full statehood since claiming independence from Somalia in 1991, a move fiercely opposed by Mogadishu and not recognised internationally.

The "historic" memorandum of understanding (MOU) signed by Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed and Somaliland leader Muse Bihi Abdi gives Ethiopia access to the Red Sea port of Berbera and a military base.

"Somaliland is part of Somalia under the Somali constitution so Somalia finds this step to be a clear violation against its sovereignty and unity," the Somali cabinet said in a statement.
 
Hao wote akili sawa, hao Ethiopia walivyo na njaa hivyo na hali ngumu, kutwa watu wanakimbilia SA, then wanafungua kambi ya Kijeshi nje ya nchi....si wanunue hata chakula watu wao wale..
 
Somalia si ndo Kwenye kundi la KIgaidi la kiislamu la alshabab lenye mfungamano na alqaida wote wazee wa bikira 72 za kutunukiwa na Mudy. Wacha yapigane yafe ili magaidi yapungue huko pembe ya Afica yaende peponi kwa kina Osama bin laden wakafanye ngono na mabikra 72.
 
Siwalaumu Ethiopia. Ethiopia kupata mlango wa kuingia baharini kutawasaidia sana kiuchumi kwani wao hawana bandari.

Ila hatua hii ni wazi itawachukiza Somalia, kwani ni sawa sawa na serikali ya Ethiopia kuitambua Somaliland. Somalia ana haki ya kumrudisha nyumbani balozi wake.
 
Sijui itakuwaje!
Ethiopia ni wazoefu kwa vita! Mogadishu bado haiajamalizana vita na al shababu.
Hapo Mogadishu akileta fujo,Ethiopia anakuwa upande wa Somaliland! Mogadishu itajikuta iko katikati ya Somaliland na al shababu.
Nadhani hapa Jumuia ya Kimataifa inabidi iingilie kati.
 
Hao wote akili sawa, hao Ethiopia walivyo na njaa hivyo na hali ngumu, kutwa watu wanakimbilia SA, then wanafungua kambi ya Kijeshi nje ya nchi....si wanunue hata chakula watu wao wale..
Kabisa
 
Somalia si ndo Kwenye kundi la KIgaidi la kiislamu la alshabab lenye mfungamano na alqaida wote wazee wa bikira 72 za kutunukiwa na Mudy. Wacha yapigane yafe ili magaidi yapungue huko pembe ya Afica yaende peponi kwa kina Osama bin laden wakafanye ngono na mabikra 72.
Kuwa na adabu na ngono, au hujui hata wewe umetoka kwenye njia ya ngono
 
Somalia yuko sahihi , kama ambavyo Ukraine anaonekana yuko sahihi kudai eneo lake
 
Somalia hawa hawa na maugaidi yao wanataka kuanzisha vita na Ethiopia kisa hao Ethiopia wamedhamiria kutumia bandari ya Somaliland..............

Somalia vowed on Tuesday to defend its territory by "any legal means" and recalled its ambassador to Ethiopia after Addis Ababa struck a controversial deal with the breakaway region of Somaliland.

Mogadishu branded Monday's surprise pact that gives Ethiopia long-sought access to the Red Sea a "clear violation" of its sovereignty and appealed to the international community to stand by its side.

The Addis Ababa deal was announced only days after Somalia's central government had agreed to resume dialogue with the separatist northern region after years of stalemate.

Somaliland has been seeking full statehood since claiming independence from Somalia in 1991, a move fiercely opposed by Mogadishu and not recognised internationally.

The "historic" memorandum of understanding (MOU) signed by Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed and Somaliland leader Muse Bihi Abdi gives Ethiopia access to the Red Sea port of Berbera and a military base.

"Somaliland is part of Somalia under the Somali constitution so Somalia finds this step to be a clear violation against its sovereignty and unity," the Somali cabinet said in a statement.
Sema Ethiopia inajionaga Israel ya Africa 😂😂
 
Back
Top Bottom