ethiopia

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Saudi Arabia washutumiwa kuua mamia ya wahamiaji wa Ethiopia

    Shirika la kutetea haki za binadamu – Human Rights Watch, limewashutumu walinzi wa mpakani wa Saudi Arabia kwa kuua mamia ya wahamiaji wa kiuchumi wa Ethiopia. Wahamiaji hao walikuwa wakijaribu kuvuka mapakani kutoka kwenye taifa lililokumbwa na vita la Yemen. HRW imesema takriban watu 655...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mkataba hauifungi DP World isiwekeze Congo na Rwanda. Waliizunguka Djibouti mizigo ya Ethiopia na Somalia ikawa kesi

    Associated Press Djibouti walicheza ngoma bandarini siku ya kwanza. Leo Djibouti wanalia machozi, DP World wamefukuzwa, Djibouti wanasema wameibiwa, wamelipa madola ya mafaini na magharama ya kesi za kimataifa. Hukumu ya siku za karibuni ilitoka mwezi May 2023 Washington DC. Kesi mahakamani...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Raia 80 wa Uganda ambao walishawishiwa kwenda Ethiopia kufunga hadi kifo warejeshwa nyumbani

    Inadaiwa kuwa mchungaji wao aliwaambia kwamba wangekutana na Yesu Kristo baada ya kufunga kwa siku 40. Operesheni ya pamoja ya polisi sasa inaongoza msako wa kiongozi wa kikundi hicho, Simon Opolot. Inasemekana kuwa wanachama 80 wa Kanisa la Wanafunzi wa Kristo waliacha mali zao zote mapema...
  4. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Kenya, Pakistan, Peru, Djibouti, Ethiopia, USA, Somaliland waliwafukuza DP World kama mbwa

    Hizo nchi ziliwakataa hawa waarabu wa Dubai katakata na moja ya sababu kuu ni ulinzi wa nchi Yao kuwa hatarini na kuzuia ugaidi Mikataba ya DP World niyaukandamizaji ila sisi tumewachukua, ivi hii mikataba ingekuwa ni mizuri Why hizi nchi walikataa kuingia nao mikataba wengine walivunja kabisa...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia topples Uganda, Tanzania for Kenya investments abroad

    Ethiopia has toppled Tanzania and Uganda as the leading destination of Kenya’s investment abroad, buoyed by the expansion of local firms in the giant neighbouring market. Fresh data shows that Kenya’s direct investment in Ethiopia hit Ksh60.2 billion ($440.7 million) in 2021—surpassing Tanzania...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ethiopia ni mfano wa kuigwa kwa nchi zenye migogoro katika Afrika Mashariki

    Serikali ya Ethiopia hivi karibuni imefanya hafla ya kushukuru watu, makundi na serikali zilizochangia mchakato wa amani nchini humo. Tangu serikali ya Ethiopia na Jeshi la Ukombozi wa Watu wa Tigray (TPLF) kufikia makubaliano ya amani mwishoni mwa mwaka jana, mchakato wa maafikiano nchini humo...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea ujumbe maalum toka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mhe. Demeke Mekonnen Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar, ambaye amewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Mamlaka zaweka zuio la kutoka nje usiku kudhibiti maandamano

    Mamlaka za Miji ya #Dessie na #Debrebirhan katika eneo la #Amhara imeanzisha amri ya kutoka nje usiku huku maandamano dhidi ya Serikali yakiendelea kuenea. Maandamano yalizuka na kuenea kwa haraka wiki iliyopita baada ya agizo la Serikali ya shirikisho la kuvunja Kitengo cha Wanajeshi, Kikosi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Legal Aid Campaign

    Katika kuunga Mkono jitihada za Rais Samia Suluhu kujenga Tanzania bora yenye ustawi, Wizara ya Katiba na Sheria imezindua kampeni ya Mama Samia ya msaada wa kisheria kwa lengo la kutoa msaada wa kisheria nchi nzima kwa miaka mitatu. Kampeni hiyo itaelimisha haki ya kulinda mila na desturi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) tarehe 16 Februari, 2023. Rais wa Jamhuri ya...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Wahitimu 3% pekee ndio wamefaulu kwenda Chuo Kikuu

    Asilimia hiyo ni wastani wa wahitimu ambao wamepata alama nzuri zinazowawezesha kuendelea na masomo ya Chuo Kikuu. Waziri wa Elimu wa Ethiopia, Berhanu Nega amedai matokeo hayo ni ya kushtua, ambapo inaaminika migogoro na vita vya ndani ya Nchi ni moja ya sababu, huku Wanafunzi 12,000 ikidaiwa...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti AU: Vita ya Serikali ya Ethiopia na Tigray inaweza kuwa imeua watu 600,000

    Mpatanishi wa Umoja wa Afrika katika mzozo wa Tigray, #OlusegunObasanjo, ameliambia jarida la Financial Times (FT) kuwa idadi hiyo imetokea ndani ya miaka miwili ya mapigano. Mzozo ulianza Novemba 2020, baada ya Waziri Mkuu #AbiyAhmed kuamuru mashambulizi dhidi ya vikosi vya Tigray kwa maelezo...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Athari zitokanazo na kuzima Mtandao zisipuuzwe. Biashara Nchini Ethiopia zapoteza Dola za Marekani Milioni 145.8

    Ripoti Mpya iliyochapishwa na Shirika la Top10VPN inasema kukosekana Mtandao huko Tigray, Ethiopia Mwaka 2022 kumezigharimu Biashara Nchini humo Dola za Marekani Milioni 145.8 Kuzuia Intaneti pamoja na kuweka vikwazo katika Upatikanaji wake huwaathiri Wananchi Kiuchumi, Kijamii na Kisiasa...
  14. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania 1957 High School Debate about Prejudice: Nigeria, Ethiopia, Ghana & South Africa

    I wasn’t sure where to file this under. So I just filed it under the most popular sub-forum of Politics. The JF powers that be can re-file it where it’s more appropriate, if they see fit. But damn! I’m impressed by these kids. Especially the Nigerian boy. He debated with so much aplomb that...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Mahakama zaonywa kuwatisha Waandishi wa Habari za Uchunguzi

    Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Vyombo vya Habari vya Ethiopia (EMA) ambayo iko chini ya Serikali imetoa onyo kwa mamlaka nyingine ambazo zimekuwa zikiingilia uhuru wa Waandishi wa Habari wakiwemo wanaofanya Habari za Uchunguzi. Onyo hilo limetokana na malalamiko kutoka Kituo cha Televisheni...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya maridhiano duniani kote ni siri. Kuna mtu anafahamu kinachoongelewa kwenye maridhiano ya Eritrea na Ethiopia?

    Wale mnaopiga kelele kulalamikia usiri wa mazungumzo ya maridhiano kati ya Mbowe na Kinana tuambieni. Ni wapi ulishawahi kuona umma ukitaarifiwa kinachozungumzwa kwenye meza ya maridhiano? Taarifa hutolewa mwishoni kile walichoafikiana mezani. Uhuru anaongoza mazungumzo kati ya Eritrea na...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande kuongoza Tume ya Kuchunguza Ukiukaji wa Haki za Binadamu Ethiopia

    Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohamed Chande Othman atakuwa Mwenyekiti wa Tume ya Wataalamu wa Haki za Kibinadamu nchini Ethiopia ambayo itafanya kazi chini ya Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa. Tume hiyo ya Watu 3 imepewa Mamlaka ya kuchunguza madai ya Ukiukaji wa Haki za...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Meta yadaiwa fidia ya Tsh. Trilioni 4.6 kwa kuchochea mapigano

    Kampuni hiyo inayomiliki mtandao wa Facebook wanadaiwa kuwa majukwaa yao yalichangia kuongeza chuki na vurugu wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Abrham Meareg, mtoto wa mwanazuoni aliyeuawa kwa kupigwa risasi baada ya kushambuliwa mtandaoni kutokana na alichokiweka kwenye ukurasa wake wa...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Wafanyakazi wa kiwanda cha Dangote watekwa

    Waasi ambao inadaiwa wana uhusiano na kikundi cha Oromo Liberation Army wamelaumiwa kwa kuhusika katika tukio hilo la utekaji wa wafanyakazi zaidi ya 10 wa kiwanda cha simenti kinachomilikiwa na Bilionea wa Nigeria, Aliko Dangote. Inadaiwa basi lililokuwa limebeba wafanyakazi hao Wilaya ya...
Back
Top Bottom