Kwa tunaofatilia haya mashindano utaona team ndogo zimekuja na mkakati wa kuzikamia team kubwa
Hii ilianzia kwenye AFCON pale Ivory coast na naona inaendelea hivyo hivyo ambapo team Giants Afrika ikiwemo Taifa Stars chini ya manguli Mgunda na Moroco zimekutana na ukamiaji huo.
Ila naamini...
Watanzania wengi wamekariri
Wanauchukulia team ya Taifa Ethiopia kizamani
Ethiopia walianzia kwenye project za vijana na Sasa inaanza kuwalipa kwenye senior team.
Ethiopia ni hivi majuzi kampiga Egypt The Pharaoh goli 2 bila
Taifa stars haijaifunga Ethiopia mechi 7 mfululizo, Sasa maajabu Gani...
Timu zinazoshiriki kutafuta nafasi kushiriki ya Michuano ya Mabingwa Ya Afrika Kwa Wanawake Kuwakilisha nchi wanachama wa CECAFA ni :
Commercial Bank of Ethiopia (Ethiopia)
Kenya Police Bullets (Kenya)
Yei Joint FC (South Sudan)
Simba Queens (Tanzania)
PVP Buyenzi (Burundi)
Kawempe...
Ethiopia
Serikali ya Ethiopia bado haijapona.
Wakati imetoka kumaliza vita kutokana na mgogoro wa Tigray uliodumu miaka miwili 2020-2022🪙
Imejikuta ikiingia kwene migogoro mingine ikiwemo huu wa jeshi la FANO la jimbo la Amhara.
Ikikumbukwe hili jeshi liliwasaidia jeshi la muungano la Ethiopia...
Mchambuzi wa kihabesha anadai Eritrea ina jeshi lenye nguvu Africa mashariki nzima ukiiondoa Ethiopia
Nini maoni yako👇🏾
https://x.com/shaebiaeritrea2/status/1820370630744719614
Coast ya Somalia kwasasa inamilikiwa na uturuki!!
Lakini huwezi wakutaka wakiongea. Ila nguvu zote wameelekeza kwa somaliland ambayo imempa kipisi tu Ethiopia ijenge Bandari!!
Ni chuki au Akili ya kufirikir ndo tatizo
Hii ni ETHIOPIA, wanaongoza kwa kupata treni ya kisasa mapema, ndege nyingi, barabara za juu kwa juu, nk ktk Africa Mashariki.
Lakini najiuliza kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi Ukimbizini Ilhali Ethiopia hakuna VITA? naomba majibu?
Muda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili.
Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria kula kupandishwa ndege kusafirishwa kuelekea kwenda Joburg (Johannesburg) Afrika Kusini.
Nendeni...
A Tanzania national arrested at Bole Airport with 1.34 KG of cocaine on 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a suspicious Passenger SADICK ABRAHAMAN ALLY , Tanzanian, 60 yearS Old, Born and Grew up in Tanga ,Passport...
Baada ya Dereva Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma kukamatwa akiwa amebeba Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia katika gari aina ya Land Cruiser V8 likiwa na bendera ya Chama cha Mapinduzi CCM katika eneo la Minjingu mkononi Manyara, Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji Mkoani Manyara Philon...
Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) imewapa wateja waliotoa pesa nyingi zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao hadi mwisho wa wiki kuzirejesha la sivyo watakamatwa na kufunguliwa mashtaka.
Vyombo vya habari viliripoti kuwa zaidi ya Dola Milioni 40 (Tsh. Bilioni 102) zilitolewa au...
Napenda kufahamu ethiopia wanategemea kitu gani kwenye kukuza uchumi wao pia ni sector gani kwao inayoongoza kuwaingizia pesa nyingi.
Swali kwa wachumi ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP) hadi wanaenda speed sana yaani miaka kama 3 au minne nyuma tulikuwa...
Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) inajitahidi kurejesha kiasi kikubwa cha pesa kilichochotwa na wateja baada ya "shida ya mifumo".
Baadhi ya Wateja waligundua mapema Jumamosi kwamba wangeweza kuchukua pesa taslimu zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao za CBE.
Zaidi ya Dola Milioni 40...
Mheshimiwa Rais karibu sana nchini kwetu. Nchi yako imepitia migogoro mingi sana ya ndani na mingine na nchi jirani. Naomba tafakari na fuata utaratibu unaofaa juu ya kupata eneo la bandari kule somaliland.
Ufahamu kuwa somaliland sio nchi bali ni sehemu ya Somalia 🇸🇴.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mheshimiwa Dkt. Abiy Ahmed Ali anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 29 Februari hadi 02 Machi, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.