ethiopia

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ethiopia yaanza kuuza umeme kwa Kenya

    Ethiopia imeeleza kuwa inatarajiwa kuingiza Dola Milioni 100 (Tsh. Bilioni 232) kwa mwaka kutokana na biashara hiyo, tamko lililotolewa wiki moja baada ya kusaini mkataba huo wa kuuza umeme kwa muda wa miaka 25 ijayo. Mkataba huo utaifanya Ethiopia kuuza Megawatts 600 kwa Kenya kutoka katika...
  2. Replica

    JamiiForums Tanzania Kumbe bwawa la Nyerere yalikuwa maono, Kenya yafunga mkataba wa miaka 25 kununua umeme wa bwawani kutoka Ethiopia

    Ethiopia imeanza kuzalisha umeme kutoka kwenye bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme barani Afrika maarufu kama 'Grand Ethiopian Renaissance Dam (Gerd)' likitarajiwa kuzalisha megawatts 5000 ambayo ni mara mbili ya umeme uliokuwa unazalishwa Ethiopia kabla ya bwawa hilo. Kenya wamewahi kwa...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wakati hadi Ethiopia wanafanikiwa kupanda miti bilion 20 kwa miaka 4 sie huku tunaendekeza tu wafugaji kukata miti

    Maisha ni mipango. Na kila aliyefanikiwa leo ujue alipanga na kutekeleza mipango yake vizuri siku nyingi nyuma Leo Ethiopia wametangaza kutimiza malengo yao waliyojiwekea mwaka 2019 kupanda miti billion 20 ifikapo mwaka 2022 Kati ya nchi ambazo sasa zimekuwa na hali nzuri ya hewa iliyoanza...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete, Mjumbe wa Shirika la Kimataifa linalojihusisha na Masuala ya Lishe, yupo Ethiopia

    Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Mjumbe wa Bodi ya Nutrition International (Shirika la Kimataifa linalojihusisha na Masuala ya Lishe) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Bw. Joel Spicer pamoja na Wajumbe wengine wa Bodi kutoka Afrika; Mheshimiwa Joyce Banda Rais Mstaafu...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Malawi yabaini kaburi walipozikwa watu 25 ya raia wa Ethiopia

    Mamlaka za Malawi zimeeleza miili hiyo inakisiwa kuwa ni wahamiaji haramu kutoka Ethiopia ambao wamezikwa katika Kijiji cha Mzimba kilichopo kilometa 250 kutoka Mji Mkuu wa Lilongwe. Polisi wamesema inaaminika walikuwa wakisafirishwa kuelekea Afrika Kusini kupitia Malawi, waliofariki...
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto in Ethiopia for Safaricom launch as he begins regional tour

    Ethiopia Thursday morning on his first tour of the region since taking office. President Ruto is also set to travel to Uganda and Tanzania. The agenda for the regional tour includes talks on business and political ties, according to a dispatch from State House. On his arrival in Addis Ababa...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Mwakilishi pekee kutoka Afrika aliyekataa kupanda basi ni Rais Sahile Work Zewde wa Ethiopia

    The only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia 🇪🇹. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the...
  8. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania TPLF:Eritrea yaanza mashambulizi makubwa katika eneo la Tigray nchini Ethiopia

    Wanajeshi wa Eritrea wamefanya mashambulizi makubwa katika eneo la Tigray nchini Ethiopia, msemaji wa kundi la waasi la Tigrayan, TPLF, amesema. Mjumbe wa Marekani alisema kuwa Marekani inafahamu kuhusu wanajeshi wa Eritrea kuvuka kuingia Tigray, na akalaani kitendo hicho. Serikali ya Eritrea...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ripoti mpya ya UN yaishutumu Serikali ya Ethiopia kwa Ukatili dhidi ya Watu wa Tigray

    Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wanasema wanaamini kuwa Serikali ya #Ethiopia inahusika na uhalifu dhidi ya binadamu unaoendelea katika eneo la #Tigray, Kaskazini Mwa Nchi hiyo Katika Ripoti hiyo, Tume ya Wataalamu wa Haki za Kibinadamu iliangazia kile ilichokiita taarifa za kuaminika za mauaji...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hili la Aloyce Nyanda kuanzisha mazungumzo ya mgogoro wa Ethiopia na Misri akiwa na balozi wa Ethiopia tu limekaaje kidiplomasia wadau?

    Habarini! Tusameheane kwa michango yetu inayotofautiana katika mada zingine, lakini sina jinsi lazima niendelee kuwepo jf....nalipenda mno hili jukwaa! Kwenye hoja; Ni huyu mngazaji wa star TV, aloyce nyanda, namuona leo akiwa na balozi (kama sikosei) wa Ethiopia katika kipindi chake...
  11. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom goes live in Ethiopia second largest city

    Safaricom Ethiopia has begun a large-scale customer pilot of its network in Dire Dawa, four months after it missed operational launch in the Horn of Africa nation. The pilot in Ethiopia’s second biggest city after the capital Addis Ababa, with an estimated population of half a million, is part...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Serikali na Waasi walaumiana juu ya kukwama kwa mazungumzo ya amani

    Msemaji wa Waasi wa Tigray, Getachew Reda ameishutumu Serikali kwa kudhoofisha juhudi za kutafuta suluhu ya amani kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo, baada ya Jeshi la kudaiwa kushambulia vikosi hivyo Wakati huo huo Msemaji wa Waziri Mkuu Nchini humo, Billene Seyoum, amekanusha...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Serikali na Waasi walaumiana juu ya kukwama kwa mazungumzo ya amani

    Msemaji wa Waasi wa Tigray, Getachew Reda ameishutumu Serikali kwa kudhoofisha juhudi za kutafuta suluhu ya amani kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo, baada ya Jeshi la kudaiwa kushambulia vikosi hivyo Wakati huo huo Msemaji wa Waziri Mkuu Nchini humo, Billene Seyoum, amekanusha...
  14. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuanza kununua umeme kutoka Ethiopia baada ya kusaini makubaliano

    Kenya itaanza kununua umeme kutoka Ethiopia. Hii inafuatia makubaliano ya power purchase agreement (PPA) kutiwa saini na nchi zote mbili. https://www.the-star.co.ke/news/2022-07-29-ethiopian-electric-power-to-become-second-largest-supplier-to-kenya-power/
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Sudan yafungua Mpaka wake na Ethiopia

    Sudan imefungua tena mpaka wake muhimu na Ethiopia wa Gallabat ambao ulifungwa Juni 27, baada ya kuishutumu Ethiopia kwa kuwanyonga wanajeshi wake saba. Taarifa ya kamati ya kiufundi ya Baraza la Ulinzi na Usalama la Sudan imesema uamuzi huo umechukuliwa baada ya viongozi wa Sudan na Ethiopia...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom to start commercial operations in Ethiopia next month

    Safaricom on Thursday announced that it will start commercial services in Ethiopia in August. The company, part of the Vodafone group, has been under mounting pressure over its failure to meet previous launch target in April 2022. At a press conference on Thursday in the Ethiopian capital...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Watoto 13 wafariki kwa njaa Ethiopia

    Afisa wa Wilaya ya Konso, Kusini mwa Nchi hiyo amethibitisha vifo vya takriban Watoto 13 kutokana na njaa huku ukame na migogoro ikiendelea kuathiri eneo hilo Afisa huyo amesema kuwa idadi ya Watoto wenye utapiamlo katika Wilaya hiyo inaongezeka, ambapo zaidi ya 240 kati yao wamelazwa...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ethiopia na Sudan zafikia makubaliano ya amani

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed amesema amefikia makubaliano na kiongozi wa nchi jirani ya Sudan ili kusuluhisha kwa amani mzozo wa mpaka ambao umesababisha mapigano hivi karibuni Mazungumzo kati ya viongozi hao wawili yanafuatia mapigano katika eneo la mpakani mwezi Juni, ambapo Sudan...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Yadaiwa watu zaidi ya 100 wameuawa katika mapigano Ethiopia

    Inadaiwa kuwa zaidi ya watu 100 wengi wakiwa ni kutoka jamii ya watu wa Amhara wameuawa katika eneo la Oromia Nchini Ethiopia, Takwimu hizo ni kwa kujibu wa shuhuda wakati ambapo shuhuda mwingine amesema kuwa ameshuhudia zaidi ya miili 200 katika mauaji hayo. Serikali ya Oromia imekiri kutokea...
  20. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Akamatwa kwa kufoji namba za gari (SU) na kusafirisha wahamiaji haramu

    Polisi Dodoma wanamshikilia Joachim Joseph wa Arusha kwa kusafirisha Wahamiaji 16 Waethiopia wasio na vibali kutoka Kilimanjaro akiwapeleka Mbeya kisha Afrika Kusini huku akitumia namba feki za SU kwenye Land Cruiser hii ili asisimamishwe, namba zake ni T752 BVL. ===== Polisi Dodoma...
Back
Top Bottom