Ethiopia: Watu 176 wafa kwa njaa kali

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Watu 176 wamekufa katika Jimbo la Tigray kutokana na njaa iliyosababishwa na ukame, kati yao Wanaume ni 101 na Wanawake 75.

Takriban watu 45,000 katika Wilaya ya Emba Sieneti wanakabiliwa na njaa kali, iliyozidishwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka miwili.

Aidha, kuna ongezeko la idadi ya watu wanaokimbia makazi yao kutokana na ukame unaoendelea na ukosefu wa Misaada ya Kibinadamu.

Marekani na Umoja wa Mataifa (UN) zilisitisha kutoa msaada mwanzoni mwa 2023 baada ya madai ya wizi hali ambayo imezidisha maumivu kwa Wananchi.

===============

Dozens more die of hunger in Ethiopia as drought worsens

At least 176 people have died in Ethiopia’s northern Tigray state due to drought-induced hunger, authorities said.

Hadush Asemelash, a regional administrator, told Tigray TV that those who have died so far comprise 101 men and 75 women.

About 45,000 people in Emba Sieneti district are facing severe hunger, worsened by the two-year civil war and drought, governor Kidanmariam Surafel said.

The authorities also said there was an increased number of people fleeing their homes as a result of the ongoing drought and insufficient humanitarian aid.

Last week, the Tigray interim administration declared a state of emergency after more than 200 people died from drought-related hunger in recent weeks.

The Horn of Africa has had five failed rainy seasons since 2019, according to the UN.

The US and UN suspended aid earlier this year after allegations of theft - a move that has worsened the humanitarian crisis.

Tigray is recovering from a two-year civil war which ended a year ago, while a conflict has erupted in the neighbouring Amhara region.

Source: BBC
 
Dunia haiko fair kabisa mavyakula yalivyojazana kwenye nchi mbalimbali na bado kuna nchi watu wanakufa kwa njaa. Kuna nchi zinabaguliwa sana aisee!!!
 
Back
Top Bottom