Tanzania Mbioni Kununua Umeme Kutoka Ethiopia

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,042
49,727
Hiyo ndio habari kamili ambapo mazungumzo na Serikali ya Ethiopia yanaendelea.

=======
1697452041476.jpeg

Addis Abeba – Ethiopian Electric Power (EEP) has announced plans to boost electric power export to neighboring countries and earn more revenue in the current fiscal year.

Last year, the country exported 1701 GW of electricity to three neighboring states namely Sudan, Kenya and Djibouti, and planned to increase the export amount to 2993 GW this year to earn 182 million USD, according to the EEP.

Furthermore, efforts are being made to export power to more foreign countries and talks are ongoing with Tanzania, Moges Mekonnen, Corporate Communication director of EEP told Ethiopian Press Agency (EPA). “If the agreements are completed as per the scheduled date, more electricity will be exported to Tanzania this fiscal year,” he said.

Following a deal that was signed in November last year, Ethiopia has been exporting electricity to Kenya at 6.5 US cents per kilowatt, and in the eight months to August Ethiopia’s export accounted for 70% of Kenya’s nearly 600 GW of electric power import.

An agreement that will enable export of initial 100 MW of electricity after three years has been reached between Ethiopia and South Sudan in May last year. Somaliland, Rwanda and Burundi are other countries who have shown interest to import power from Ethiopia, according to EEP.

The power company has planned to increase its overall revenue including from domestic electricity sales and various services from 22.3 billion birr last year to 30 billion birr this fiscal year. AS
 
Ila Magufuli alikuwa mtu aisee natumai lile bwawa lingekywa limekwisha muda huu hata kama tusingezalisha megawati zote kwa sasa lakini kwa kyanzia kutisheleza nchi tungepata.
Kama alikuwa nyuma ya mda wa kukanilisha angekuwepo ndio kabisaa lisingekuwepo.

Mwakani June mtambo wa kwanza unawashwa Sasa shida Iko wapi?

Hata hivyo Kuna kitu inaitwa East Africa electricity pool kwamba Nchi zote zinaunganisha grid zao Ili mwenye upungufu apate Kwa mwenye ziada.

Saizi kazi ya kuunga grid na Zambia inaendelea Hadi South Africa.
 
1. Tuliambiwa Bwawa la mwalimu Nyerere likikamilika, Bei ya umeme itashuka na tutauza mwingine nje ili kuongeza pato la Taifa.

2. Bwawa lilipokamilika tukaambiwa Bei ya umeme haitashuka kwa sababu nyongeza ya umeme itauzwa nje ya nchi.

3. Ghafla tunamuona Mtoto wa boss na rais Museveni, tukaambiwa wanajadili namna ya kujenga kituo shirikishi Cha umeme ili watu wa Kagera wapate umeme Bei nafuu.

4. Leo tena tunaambiwa tutanunua umeme wa Ethiopia ili kukidhi mahitaji ya ndani.

CCM 🖕🏿
 
Kama alikuwa nyuma ya mda wa kukanilisha angekuwepo ndio kabisaa lisingekuwepo.

Mwakani June mtambo wa kwanza unawashwa Sasa shida Iko wapi?

Hata hivyo Kuna kitu inaitwa East Africa electricity pool kwamba Nchi zote zinaunganisha grid zao Ili mwenye upungufu apate Kwa mwenye ziada.

Saizi kazi ya kuunga grid na Zambia inaendelea Hadi South Africa.
Watu kama nyie ndio kama kina makamba, maneno mengi, yule mzee hakuwa na mipango ya hivyo, nakwambia tungekuwa tunavuna umeme sasa hivi. Hayo mambo ya kununua umeme ndio wanaiba hela huko.
 
Back
Top Bottom