Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 6,409
- 8,911
Nchi ya Ethiopia hawana bahari wanaomba Somalia wawape hata tu 20 km ya ufukwe na kila kitu kitabadilika vs Tanzania tuna zaidi ya 1500 km coast line kutoka tangagiza mpaka Mtwara ni bahari tupu lkn ni uchuuzi tu wa kuleta imports ktk China na kujenga fremu za GSM & co. uchumi wote bazaar tu hakuna cha maana, tatizo ni nini?