After nearly 22 months in office, the US Secretary of State Mike Pompeo will make his first trip to sub-Saharan Africa on Saturday, in a bid to reassert the U.S. as the leading partner to the world's youngest and likely to be most populous continent amid strong Chinese influence and a growing...
Ukame mkali wa mara kwa mara unaoikumba nchi ya Ethiopia umepelekea watu takribani milioni 7 kuhitaji msaada wa chakula.
Baraza la uratibu wa majanga nchini Ethiopia limearifu kwamba watu milioni 7 katika nchi hiyo wanahitaji msaada utakaogharimu dola bilioni 1.
Katika taarifa hiyo iliarifiwa...
Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO limeonya kwamba nzige walioivamia Ethiopia, Kenya na Somalia sasa ni wimbi kubwa kuwahi kushuhudiwa hivi karibuni na lisipodhibitiwa kuna uwezekano wa kusambaa katika nchi nyingine za Afrika Mashariki.
Wimbi kubwa la nzige walionekana...
Misri, Ethiopia na Sudan wamefikia makubaliano ya awali ya kujaza maji na shughuli nyingine kwenye bwawa kubwa linalojengwa Mto Nile.
Taarifa ya pamoja iliyotolewa na nchi tatu, pamoja na Marekani na Benki ya Dunia, imesema kwamba washiriki wanaojadiliana wamekubaliana kujaza bwawa la Grand...
Chekole Menberu, mwenye umri wa miaka 27,alikuwa na matumaini makubwa ya kupata ajira mara baada ya kumaliza shahada yake ya uhandisi wa kemikali(chemical engineering) miaka miwili iliyopita nchini Ethiopia.
Ulikuwa ni wakati wa ukombozi, akiangalia miaka aliyoteseka kufikia kiwango hicho cha...
Ethiopia has Just Launched its First Satellite into Space
Ethiopia has just launched its first observatory satellite into space.
The rocket launched was aired live on Ethiopian Broadcasting Corporation Though it was launched from China its command and control center is based at the Entoto...
Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ametunukiwa tuzo ya amani ya Nobel mjini Oslo akitoa wito wa kuwepo umoja huku machafuko ya kikabila yakiitikisa nchi yake na juhudi za suluhu pamoja na Eritrea zikionyesha kukwama.
Abiy Ahmed mwenye umri wa miaka 43 ameshinda tuzo ya amani ya Nobel...
Ni jambo jema na kubwa sana Mwafrika mwingine anaongezwa kwenye tuzo yenye heshima sana duniani ya Alfred Nobel.
Mpaka aasa Waafrika ninaowakumbuka ambao wamepata hii tuzo ni:
- Nelson Mandela
- Desmond Tutu
- Mathai Wangari
Waziri Mkuu huyu wa Ethiopia sasa anaingia katika orodha ya watu...
Summary:
The project will involve the following components:[2]
A port at Manda Bay, Lamu
Standard gauge (1,435 mm (4 ft 8 1⁄2 in)) railway line to Juba and Addis Ababa, the South Sudanese and Ethiopian capitals respectively.
Road network
Oil pipelines (South Sudan and Ethiopia)
Oil refinery at...
Ethiopia inajenga bwawa kubwa linalojulikana kama Renaissance, ujenzi huo unatarajiwa kumalizika mwakani
Bwawa kubwa la 'Renaissance' ni kivutio kikubwa nchini Ethiopia
Bwawa hilo linalojengwa Ethiopia linatarajiwa kuwa kituo kikubwa zaidi cha kuzalisha umeme barani Afrika.
Ujenzi huo...
Historia ya Kweli ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda
KILIO CHA MIFEREJI YA DAMU IENDAYO ETHIOPIA
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.