eneo

  1. JamiiForums Tanzania Azam Media wekeza pia kwenye eneo la waamuzi wa ligi

    Itakuwa kazi bure kuwekeza sana kwenye timu za ligi luu bila kuangalia pia eneo la waamuzi ubora wa ligi. Maamuzi mabaya viwanjani yanatia karaha watizamaji wa mpira. Kuna watu wasiopenda karaha wanaoamua wasiangalie kabisa mechi za ligi kuu zenye makosa makubwa ya wazi na makusudi ya waamuzi...
  2. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu

    Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi. Silaa ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliowashirikisha wananchi wa Mzinga Ukonga jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia...
  3. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Dodoma: Aghushi nyaraka na kuwakodishia Vodacom eneo la Halmashauri

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoani Dodoma imesitisha malipo batili ya mnara wa simu huku tayari mtuhumiwa mmoja akiwa amekamatwa. Awali Taasisi hiyo ilitoa taarifa juu ya kuendelea na uchunguzi dhidi ya mtuhumiwa Lyato Bihemo wa jijini Dar es Salaam kwa kosa la...
  4. JamiiForums Tanzania Eneo lenye hatua za miguu 250 kwa120 linaweza kutoa heka ngapi?

    Habari Jf. Naomba msaada wa kimahesabu ili nipate data kamili. Endapo kipimo cha heka kikiwa 70*70 (hatua za miguu) Je eneo lenye hatua 250 kwa 120 litatoa ekari ngapi. Karibuni
  5. JamiiForums Tanzania Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
  6. JamiiForums Tanzania INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba

    Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata Mashamba kilomita Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10 Mpaka acre 500...
  7. JamiiForums Tanzania Kamati ya Uchaguzi ya TFF yapitisha Jina la Wallace Karia kuwa Mgombea pekee wa nafasi ya Urais

    Wallace Karia amekuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya Kamati ya Uchaguzi ya TFF kuwaengua Evans Mgeusa na Hawa Mninga kwa kukosa sifa. Karia anagombea nafasi hiyo kwa muhula wa pili. ====== Wallace Karia amepita kuwa Mgombea pekee...
  8. JamiiForums Tanzania Uwajibikaji kwenye eneo la kazi

    Kwa mtazamo wangu binafsi naona jamaa amefikiria vizuri sana. Serikali yetu ya CCM hii tusilaze damu tuchukue fasta. Na wapinzani nawaonya, Serikali ya CCM ikichukua huu ushauri hahahahahaha mtapoteana miaka 50 mbele huko. Nimemwelewa sana. Document hii nimepata kwenye group moja la WhatsApp...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Ujenzi tazama kasi ya ujenzi wa barabara ya bandari Dar, ikiwezekana wajenge usiku na mchana

    Barabara inayopitia bandarini dar iko katika ujenzi! Lakini kasi ya ujenzi iko taratibu sana! Hili linawagusa pia mamlaka za usimamizi kwa kushindwa kumuelekeza mkandarasi umhimu na uharaka wa barabara hiyo kiuchumi! Haiwezekani barabara kama ile ambayo ni lango la kuu la mizigo kimataifa...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  11. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa eneo la Mbezi Luois

    Nyumba inauzwa ikiwa haijapauliwa ramani ya kisasa Eneo ukubwa ni 30*25 Mahali Mbezi luois Bei milioni 35,000,000/= Mazungumzo yapo na karibu sana Mawasiliano piga sim 0713660178
  12. JamiiForums Tanzania House4Rent Eneo linapangishwa Bagamoyo kwa Mtoro

    Frem,mabanda na eneo lipo ndan ya uzio Linapangishwa Frem mbili Eneo ndani ya uzio Mabanda yapo ndan ya uzio Unaweza fanya biashara Unayotaka wewe Lipo bagamoyo zinga kwa mtoro Lipo jirani na barabara. BEI 150,000/= KWA MWEZI CALL 0766776815
  13. JamiiForums Tanzania Pugu Kajiungeni eneo la mpakani hatuna umeme tangu jana

    Pugu Kajiungeni maeneo ya Mpakani jirani na Shule ya Sekondari hatuna umeme tangu jana tarehe 5/6/2021 hatuna umeme. Kila nikipiga simu ya emergence ya Kisarawe kutoa taarifa wanakata wanakata! Tufanye nini?
  14. JamiiForums Tanzania Kinachomgharimu Mugalu ni kuwa eneo sahihi muda wote

    Kama shabiki wa Simba kindakindaki nimekaa nikiiangalia timu yangu hasa eneo la ushambuliaji. Ambako kuna Bocco, Kagere na Mugalu. Katika huyu Mugalu sasa anaweza kupata nafasi 5 za kufunga ila akafunga goli moja tu. Tukirudi kwa Kagere yeye akipata nafasi ya kufunga katika mbili atatupia at...
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Shinyanga lavamia eneo ambalo Mbowe alipanga kuweka jiwe la msingi wa ofisi ya CHADEMA

    Mapema leo, jeshi la polisi mkoani Shinyanga limevamia katika eneo ambalo Mwenyekiti wa Chama hiko alikuwa aweke jiwe la msingi ili kuzindua ujenzi wa ofisi za CHADEMA. My take: Nyani wapya msitu wa zamani
  16. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda uwasiliane na utoe msaada wa haraka kwa Watanzania waliopo Rubavu eneo linaloathiliwa na volcano ya mlima Nyiragongo

    Wapo madereva na wafanyabiashara wanaohitaji msaada wakati huu pale mpakani mwa Rwanda na Kongo,Gisenyi almaarufu GRAND BARRIER. Watumishi wengi Watanzania wahudumuo kwenye mission maalum ya Usalama upande wa Kivu kaskazini wanaweza kutumiwa kuwaokoa ndugu zao endapo team leader atawasiliana na...
  17. JamiiForums Tanzania Sioni tatizo RCs na DCs kujiita cheo cha wanayemwakilisha eneo husika, kama wanatekeleza majukumu ipasavyo

    Katika hafla ya kuwaapisha wakuu wa mikoa, Mhe. Spika amewaasa wakuu wa mikoa kuacha kujiita marais wa maeneo wanayoyaongoza akidai kufanya hivyo kunawafanya kujiona kama Rais. Binafsi sioni tatizo kujiita jina la unayemwakilisha eneo husika. Lililo la msingi kwao ni kumwakilisha Rais kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi naweza kununua eneo la 30 msq?

    Yaani eneo liwe na upana wa mita tano na urefu wa mita sita. Inawezekana? Kuna limit ya ukubwa wa eneo analoweza miliki mtu?
  19. JamiiForums Tanzania Hili ndio eneo la soko la ndizi, soko la machinjioni jijini Mwanza. Hali inatisha

    Wana bodi, natumai mko poa Katika hali ya kusikitisha, wakazi wengi wa jiji la Mwanza wanapata huduma katika hili soko la machinjioni (kitengo cha ndizi na matunda mengine) ingali hali ya mazingira ikiwa hovyo namna hii Maradhi ya mlipuko yanawanyemelea wateja na wauzaji
  20. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya

    Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya Na Kelvin Isenye Ogome Kutokana na ongezeko la matumizi ya simu tamba na za kisasa pamoja na kuimarishwa kwa mtandao, imekuwa rahisi kwa idadi kubwa ya Waafrika kutumia mtandao katika maisha yao ya kila siku, kama vile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…