eneo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa Mbweni

    Wakuu Kuna boma linauzwa Mbweni Millioni 40 . Mtu ataendeleza tu hilo boma Mita 15.3 kwa mita 23 N.B chenye thamani ni kiwanja sio boma .Call 0759600684
  2. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania Ni lini serikali itaweka Rami barabara ya Mlowo kwenda Kamsamba eneo lenye uchumi mzuri

    Ninaamini viongozi wengi mnapita humu Jamii Forums, naamini hata mbunge wa eneo hili la Mbozi anasoma humu. Nimepita barabara hii wiki iliyopita na kufanya utafiti na nikagundua kwamba barabara hii iko busy muda wote, ila haijatendewa haki, na sijasikia mbunge wa eneo hili akiizungumzia...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Historia ya Dkt. Slaa haimpi uhalali wa kujifanya anajali maslahi ya Mtanzania. Kampuni zangu hazihusiki na uwekezaji wa DP World

    Mfanyabiashara mkubwa nchini Rostam Aziz amezungumza na waandishi wa habari Juni 26, 2023 ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo sakata la bandari ya Dar na kuhusika kwake kwenye uwekezaji huo mkubwa. --- Juzi katika mdahalo pale hoteli ya Serena nilisema kuwa sihusiki na hili jambo (mkataba...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wafaulu kukomboa eneo lililokaliwa na Urusi tangu 2014 - counteroffensive update

    Huku Putin akijambishwa na kakundi kake ka Wagner ambako kalimzingua hadi ikabidi kabembelezwe, Ukraine wanaendeleza kicha cha kurejesha ardhi yao, hili eneo lilikaliwa tangu 2014, liko mikononi mwa Ukraine sasa. Ukraine has liberated an area that had been occupied since 2014 as the country...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wafaulu kukomboa eneo la Piatykhatky - mapambano balaa

    Supapawa aendela kushindwa kuzuia mawimbi na mapigo ya wanajeshi wa Ukraine, aachia eneo la Piatykhatky..... Ukraine has captured the village of Piatykhatky on the western edge of the Zaporizhzhia front, according to a Russia-appointed official and sources, the first village recaptured by...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wakomboa eneo la nne sasa, twende kazi counter-offensive updates

    Ni mambo mpwito mpwito kwa kwenda mbele.... Ukraine claims to have retaken another southeastern village from Russian forces as its counteroffensive gains momentum. Soldiers held up the Ukrainian flag in Storozheve in the Donetsk region in unverified video footage posted online and the defence...
  7. Elly official

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu

    Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara. Jambo hili limenisikitisha sana...
  8. Ng'wanamangilingili

    JamiiForums Tanzania Yanga tupeane majibu ya eneo la Kigamboni kabla ya Jangwani

    Sisi wakereketwa Mwananchi anauliza kabla ya maombi yenu kumuomba Rais upanuzi wa eneo la Jangwani kwa ajili ya kujenga Kiwanja cha kisasa hajayafikiria mtupe mrejesho wa lile eneo alilowapa RC enzi zile Bwana Paul Christian Makonda kule Kigamboni iliishia wapi? Kwa maendeleo ya mpira.
  9. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania Eneo Ekari 1 linauzwa Visiga

    Habari ndugu zangu JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Eneo la Ekari moja linauzwa. Mmiliki ni dada yangu kaomba nimtangazie Mahali: Kibaha Visiga, 500m kutoka barabara kuu ya Morogoro Bei: Tsh 18,000,000 (Mazungumzo yanakaribishwa) Mawasiliano: 0784 41 41 43 (Mwenye eneo, hakuna dalali)...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Serikali yakabidhi eneo la ujenzi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

    Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekabidhi eneo la ujezi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kwa Mkandarasi ambaye ni CRJE (East Africa) Ltd na Mshauri Elekezi Aru Built Environment Consulting Company Ltd (ABECC) katika eneo la Lakilaki...
  11. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kwa mpima viwanja atakayeweza kupata eneo ambalo halina 'taasisi zinazopiga kelele' atapiga pesa!

    Kuna daktari mmoja alikuwa anakaribia kununua nyumba Msasani. Wakati anaendelea na zoezi hilo, ghafla 'taasisi mojawapo ya taasisi zinazopiga kelele', wakaanza makelele yao. Yule dk akaghairi kuinunua ile nyumba. Changamoto kubwa iliyopo kwenye majiji makubwa yanayokua kwa kasi ni ugumu wa...
  12. 4

    JamiiForums Tanzania Napendekeza eneo la Tanganyika walilopewa Zanzimbar wapewe sasa JWTZ

    Sina maneno mengi wakuu , Nawasalimu katika yeye atupae pumzi ya kila siku, na naenda kwenye mada Ndugu zangu ,kwa mjibu wa clip inayozunguka mitandaon toka Ikulu ya Zanzibar ni kwamba watanganyika tumepigwa na kitu kizito sana, na kwa kua inasemekana hii ardhi walipewa, lakini sasa wamejisahau...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande, TANESCO wanakata sana umeme wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya

    Kwa Hali ya maisha ilivyo ngumu bado TANESCO mkoa wa Mbeya, wanazima umeme kila siku wilaya ya Chunya bila kujali kuna watanzania wala bila kujali ni Jimbo lilliloko mikononi mwa CCM. Katika hali ya kushangaza wananchi wameamua kumjulisha Maharage Chande, kuwa ana mbinu Za kuing’oa CCM...
  14. kitonsa

    JamiiForums Tanzania Taliban wavamia Iran na kuteka eneo

    Iran ipo kwenye wakati mgumu baada ya jeshi la Taliban kuvamia na kuteka eneo Nia ya Taliban Ni kufika Tehran , kwa siku moja
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Bado Afisa Elimu msingi Moshi manispaa yupo ofisini baada ya kuuzia saccos eneo la shule?

    Tunakoelekea tume fila mahali sasa watumishi wa Umma Wanafanya watakalo na hafanyiwi chochote, Je TAMISEMI mama ANJELA KAIRUKI Unafahamu maeneo ya Taasisi Za Umma Mfano maeneo ya shule Za msingi Za serikali yanauzwa? Kama Bado Afisaelimu mtajwa hapo juu yupo ofisini hadi leo kuna kila sababu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Utata Mradi wa Mwendokasi (Dart- Phase 4) unaohusisha kuchukuliwa eneo la Kunduchi- Mecco Mtongani

    Wananchi wa Kunduchi Mbuyuni wanatakiwa kuondoka kupisha mradi wa Serikali wa mwendokasi (DART -PHASE 4). Mradi huu umezua sitofahamu kati ya wananchi na waliteuliwa ku simamia mradi husika. Mradi ulitakiwa kuanza 2020 na eneo husika lilishatengwa (kiambatanisho namba 1). Tatizo linakuja ni...
  17. Shujaa Nduna

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kama mtu amepanda mahindi kwenye eneo langu akidhani ni pake. Nimemwambia ang'oe

    Pale ambapo mtu kavamia na kupanda mti katika eneo la nyumba (uwanja wangu) kwakuwa nasafiri sana. Hata baada ya kumwambia ang'owe akakubali atatoa au kuruhusu hata mimi nitowe lakini baada ya miezi5 hajatowa. Je, mimi niking'oa nitakuwa na kesi?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Shujaa Magufuli alivyotumika taifa letu ujengwe mnara mkubwa Chato eneo la mataa Muungano ili iwe kumbukumbu shadidi

    Akiwa waziri alipambana kulinda rasilimali za umma. Akazuia wizi wa pesa za umma na barabara zikajengwa. Alipokuwa rais ni kwa miaka mitano tu aliweza kufanya makubwa . Ili kuenzi makubwa aliyofanya hasa kudhibiti wizi wa mali za umma. Basi ijengwe sanamu mjini chato kulinda heshima na...
  19. Richard

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa Serikali: Itenge eneo maalum ujengwe mji mpya wa Diaspora kuwakaribisha nyumbani wachangie maendeleo

    Mimi ni mmoja wa diaspora, nimeishi na kufanya kazi maeneo mengi tu nje ya nchi katika mataifa mbalimbali. Nilianza kutembea nje ya nchi kupitia safari za maskauti ambazo zilitupeleka huko nje kuona maajabu ya ulimwengu. Baadae nikaingia vyuoni na kisha kuanza kufanya kazi hukohuko nikizunguka...
  20. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Kwako Mbunge Gwajima, nani anahusika na uuzaji wa eneo la Mecco Kunduchi?

    Mchungaji Joseph at Gwajima wewe ni mbunge wa jimbo la Kawe. Upo bize kweli na siasa za Sukuma Gang ukisahau zile za jimbo lako. Taarifa iliyopo ni kwamba eneo la mecco kunduchi "mashimoni" linataka kuvamiwa. Watoto wa mjini wanalitolea macho wakidai kupisha mwendo kasi. Wananchi hawa...
Back
Top Bottom