Nahitaji eneo la gereji linalopangishwa Dar es Salaam

Plaintiff

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
308
203
Jamani nahitaji eneo la gereji ambalo linapangishwa Dar es Salaam,

Sifa za eneo.

1. Liwe na fence na gate.

2. Likiwa na Ofisi itapendeza zaidi(Sipendelei sana iwe garage Bubu).

3. Sihitaji eneo kubwa sana, sina magari ya kuweka kwenye hilo eneo.(Ikiwa eneo ni kubwa basi mwenye nalo awe ameamua kulitoa kwa bei ndogo).

4. Ikiwa ni nyumba standalone ina eneo na mwenye nyumba amekubali tufanyie kazi yetu, itaweza kufaa pia. (Kuhusu suala la Oil asihofie kazi zetu nyingi ni za umeme pia tuko smart sana).

5. Eneo siyo lazima liwe barabarani, sitegemei wapita njia, kikubwa tu pawe panafikika.

Kama unalo tuwasiliane 0765 935 449.

Nasubiri simu zenu wakuu.
 
Ukitoa ofa yako itakuwa vizuri ili kukupunguzia watu kukupigia simu
Ukitoa offer watu wanaanza kuyaoverprice maeneo yao ya bei chee.

Kama mtu ana eneo aseme tu. Nikishindwa bei basi.

Ila sitarajii mtu aanze kunipigia simu aniambie eneo ni kubwa na lipo barabani, Hivyo siyo vigezo kwangu zaidi naona tu vitakuwa vinaniongezea gharama.
 
Jamani nahitaji eneo la gereji ambalo linapangishwa Dar es Salaam,

Sifa za eneo.

1. Liwe na fence na gate.

2. Likiwa na Ofisi itapendeza zaidi(Sipendelei sana iwe garage Bubu).

3. Sihitaji eneo kubwa sana, sina magari ya kuweka kwenye hilo eneo.(Ikiwa eneo ni kubwa basi mwenye nalo awe ameamua kulitoa kwa bei ndogo).

4. Ikiwa ni nyumba standalone ina eneo na mwenye nyumba amekubali tufanyie kazi yetu, itaweza kufaa pia. (Kuhusu suala la Oil asihofie kazi zetu nyingi ni za umeme pia tuko smart sana).

5. Eneo siyo lazima liwe barabarani, sitegemei wapita njia, kikubwa tu pawe panafikika.

Kama unalo tuwasiliane 0765 935 449.

Nasubiri simu zenu wakuu.
.
Location? Au hata Mbagala ni sawa?
 
Njia ya kilwa Road na Nyerere Road sipendelei sana sababu ya ubize wa hiyo njia.... Japo kama ana eneo anaweza tu kunicheck. Naweza kumrudia kama nikikosa option mjini.

Maeneo ni mengi, kuanzia mbezi ya kimara, Kimara yenyewe, Ubungo, Kuelekea sam Nujoma Road, Mandela Road, Mabibo, Magomeni, Sinza, n.k.
 
Back
Top Bottom