eneo

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nani alitoa Kibali cha Ujenzi kwa anayejenga Eneo la Mkondo wa Maji katika Mtaa wa Kibugumo, Kigamboni?

    Baadhi ya sisi Wakazi wa Mtaa wa Kibugumo Wilaya ya Kigamboni pembezoni na ilipo Sheli ya Puma hapa Dar es Salaam kuna mwekezaji ameziba njia ya maji hali ambayo imetufanya tunaoishi maeneo ya karibu na eneo hilo kuingiwa na hofu endapo mvua kubwa zikinyesha basi mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi...
  2. econonist

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Al Shifa ndio eneo la mwisho la mapigano

    Kwa Sasa mapigano ya IDF na Hamas yanakaribia mwisho. Eneo la Hospitali ya Al Shifa na Hospitali ya Rantisi ndio yalikuwa maeneo magumu kwenye mapambano ya Hamas na IDF. Kwenye Hospitali ya Rantisi jijini Gaza iligundulika kwamba Hamas waliwaficha raia karibia 1000 humo ndani. Baada ya mapigano...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwamba auza sehemu ya pori la akiba Rungwa

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Juma Homera, ameliagiza Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama mkoani humo kumsaka na kumtia nguvuni, Andrea Ngomeni, mkazi wa Kijiji cha Kambikatoto wilayani Chunya kwa tuhuma za kuuza eneo la pori la akiba la hifadhi ya msitu wa asili...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani na Israel wana mpango wa kujenga Ben Gurion canal eneo la Gaza kuipiku Suez Canal

    Mpango wa kujengwa kwa Ben Gurion canal eneo ilipo Gaza ni mpango wa muda mrefu ulioshindwa kuanza mpaka sasa. Kufanikiwa kwa mpango huo kutaipa Israel na Marekani udhibiti wa njia muhimu ya meli za kibiashara.Mbali ya kuwa mtaji mkubwa wa kiuchumi itakuwa ni kujihakikishia usalama wao kutokana...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mpanda: Wakulima waomba kuongezewa eneo la kulima

    Wakazi wa Kijiji cha Kiloleni, Kata ya Sitalike Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wameiomba Serikali kuongezewa eneo la kufanyiwa shughuli za kilimo na makazi. Hayo yamejiri wakati wa mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Kiloleni ambapo Wananchi wa maeneo hayo walitii wito wa kutoka katika...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Zaidi ya Watu 10,000 wameuawa katika eneo la Gaza

    Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres, mashambulizi yanayoendelea #Gaza pia, yamesababisha athari kubwa kwa Watoto ambapo kila baada ya dakika 10 Mtoto mmoja anauawa. Guterres amesema hadi sasa takriban Watoa Huduma 89 wa UN wamepoteza maisha wakati...
  7. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Nani mmiliki wa kiwanda kipya cha Tumbaku ndani ya eneo la wazi Morogoro?

    Tulianza na shopping mall Dodoma, sasa tena ni kiwanda cha Tumbaku. Yasemekama wahusika ni wale wale! Ukiingia mjini Morogoro, umbali kidogo kutoka mzunguko wa Msamvu kuelekea Iringa, unakutana na daraja la reli na pembeni yake unakuta shughuli za ujenzi wa kiwanda kipya cha Tumbaku. Eneo hili...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mbezi Beach eneo la wadosi na wakubwa lakini kipindi cha mvua ni kama kambale kwenye dimbwi la matope!

    Wakuu, Mbezi Beach inasifika kuwa kuwa na wadosi watu wazito na viongozi mbalimbali hasa upande wa chini. Lakini kipindi hiki cha mvua Mbezi haitamaniki, barabara za ndani ni mbovu kupita maelezo, yaani utafikiri uko pale urafiki wanapouza kwenye soko la ndizi. Kwa kwa jinsi Mbezi Beach...
  10. M

    JamiiForums Tanzania UN: Ghaza imegeuka eneo la makaburi ya watoto kufuatia hujuma ya Israel

    Nov 01, 2023 12:18 UTC Eneo la Wapalestina la Ghaza limegeuka kuwa makaburi kwa watoto kwani maelfu wameuawa kufuatia mashambulizi yanayofanywa na utawala haramu wa Israel, huku zaidi ya watoto milioni moja wakikabilwa na uhaba wa mahitaij muhimu na maisha yao ya baadaye yakiwa mashakani...
  11. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Hii Mizani ya Magari makubwa(weight bridge) hapa Makambako imekaa eneo baya sana

    Wakuu hapa Makambako Kuna mzani wa Magari makubwa, kwa kweli hii mezani imewekwa eneo la ovyo sana,, eneo ni finyu halina mzunguko mzuri wa magari, Mabasi, magari madogo na Malory yanaishia kuviziana tu ili yapishane,, hii inaweza kupelekea ajali kabisa,, Wahusika sijui(TANROAD) fanyeni...
  12. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Watu 20 wahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega, leo Oktoba 21, 2023

    Ajali Uchama Nzega: Basi la Alpha limegongana na lori la GBP. === Watu 20 wanahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega. Akitoa taarifa ya ajali hiyo leo Jumamosi Oktoba 21, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema ajali hiyo...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kijijini, Mbezi Beach eneo hatari Jijini Dar es Salaam

    Na Waandishi Wetu, TimesMajira Online, Dar es Salaam UKISTAAJABU ya Mussa Utayaona ya Firauni. Msemo huu unakamilisha picha halisi ya maisha ya wakazi wa eneo la Kijijini, lililopo katika Kata ya Kawe, Mtaa wa Mbezi Beach B, Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Ukifika katika eneo hilo...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ishmael alizaa Maseyidi (watoto) 12 ambao ndio Waarabu wa leo. Eneo lao la umiliki ni kuanzia Saudi Arabia kuelekea Ashuru na mashariki ya Misri

    ISHMAEL ALIZAA MASEYIDI(WATOTO) 12 AMBAO NDIO WAARABU WA LEO. ENEO LAO LA UMILIKI NI KUANZIA SAUDI ARABIA KUELEKEA Ashuru NA MASHARIKI YA MISRI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna Watu wengi wanachanganya Madesa, kuchanganya waarabu na jamii zisizo na uhusiano na waarabu. Jamii za waarabu...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri Jerry Silaa kuzuia ujenzi kituo cha mafuta, eneo lilikokuwa open space Moshi sasa lina Hati mmiliki

    Waziri Jerry Silaa, chambua kwa kina taarifa Za eneo hilo. Nikukumbushe tu kuwa eneo hilo lilikuwa open space na sasa lina hati kamili. Mwisho panajengwa kituo cha mafuta.
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani Kushirikiana Katika Eneo la Ufadhili wa Michezo

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amafanya mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Michael Battle yaliyojikita katika kuendeleza Sekta za wizara hiyo. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika leo Oktoba 3, 2023 jijini Dar es Salaam, Mhe. Dkt. Ndumbaro...
  17. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Kurasimisha makazi eneo la machimbo ya mchanga, Kunduchi(mashimoni) ulikuwa uamuzi sahihi?

    Ni kweli muda mwingine mambo huwa yanabana hadi mamlaka za Serikali kuamua kufanya maamuzi pengine yanaweza kuwa ya ajabu na kusikitisha kwa upande mmoja lakini pia kwa muda huo huo kwa upande mwingine yakawa ni maamuzi ya kutia moyo na kufurahishwa wananchi. Swali langu ni; Je, Mamlaka za...
  18. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nauza Eneo Langu Morogoro Mjini

    Habari wakuu Nauza eneo langu lenye ukubwa wa kari 3 liloko Mkoa wa Morogoro, eneo la Wami Luhindo (km 20 toka msamvu stend, Dodoma road) , Kisha unaingia bara bara ya vumbi na gari km 8 hadi eneo la kiwanja. Eneo liko jirani na kiwanda cha nyama. Bei ya kuanzia kwa ekari ni laki 8 Kwa maswali...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kuelekea AFCON 2027, JWTZ mna eneo zuri pale Nyegezi kona mnaweza kujenga uwanja mzuri wa mpira

    Pongezi kwenu JWTZ kuwa na maeneo mengi makubwa hapa Tanzania. Maeneo mengi yapo strategically kama mtayatumia kama fursa ya kukuza uchumi wa Jeshi letu la wananchi. Pale Nyegezi kona katikati ya jiji la Mwanza mna kiwanja local ambacho huwa mashindano mbalimbali ya michezo huwa yanafanyika...
  20. sammosses

    JamiiForums Tanzania Eneo serikali ya ccm imeupiga mwingine ni kwenye teuzi na tenguzi

    Katika eneo ambalo CCM na serikali yake ina upiga mwingi kwa msemo wa machawa na wafuasi wake ni kwenye uteuzi na utenguzi. Hii ni moja ya sera yao ambayo hakunadiwa katika ilani yao lakini wasimamizi wake wa ilani wanaishadadia sana. Huu ni mfumo ambao unazoeleka lakini hatuoni impact ya...
Back
Top Bottom