Dodoma ni eneo la bonde la ufa, ujenzi wa majengo uzingatie tahadhari za matetemeko ya ardhi

Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu.

Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo Hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka
Eneo gani sio la bonde la ufa Tanzania hii

USSR
 
Nishauri na mimi maana nimenunua kiwanja CHATO.
 
Huko jikinge na wachawi, wengi mno, Kila nyumba Ina wawili watatu, watakuua au utakufa masikini, kama watoto Wana akili darasani, wanaiba akili au wanaziroga, mtoto anakuwa zezeta.

Kuna Mzee mbabe na Dauda Mpaka, wasalimie
 
Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu.

Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo Hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka
Upo sahihi Chiembe. Eneo la Dodoma lipo kwenye rift valley, maana yake lipo kwenye deep rooted structure. Kunapokuwa na movements za magma kwenye mantle, waves zilizokuwa generated, kwenye hizi deep rooted structures zinapenya na kuja kwenye uso wa Dunia zikisababisha maafa makubwa.

Maeneo ambayo ni earthquake prone hayatakiwi kuwa na majengo marefu wala kuwa na majengo yanayokaribiana sana kiasi kwamba hata ukikimbilia nje, hakuna mahali panapokuwa salama kwako.

Mwongozo wa awali wa CDA, Dodoma haikutakiwi kuwa na majengo marefu yanayozidi ghorofa 3. Kama wataalam mbalimbali wangeshirikishwa katika kuamua wapi kuwe mji mkuu, hiyo ya kuwa kwenye rift valley, ungeiondoa Dodoma.

Cha ajabu, Waziri Mkuu amewekwa katikati ya majabali ya mawe. Kukitokea tetemeko, hayo mawe yanageuka kuwa mabomu.
 
Wewe ni civil engineer?! Chawa hapaswi kutoa ushauri wa kitaalamu. Watch out
 
Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu.

Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo Hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka
Hilo tuliisha zingatia ndo maana haitotokea dodoma kujenga jengo la ghorofa zaidi ya 15
 
Eneo gani sio la bonde la ufa Tanzania hii

USSR
Yapo mengi. Tuna mikondo miwili tu ya bonde la ufa. Moja ni huo unaopitia Dodoma. Na mwingine ni ule wa upande wa Magharibi mwa Tanzania unaopitia Ziwa Tanganyika hadi Nyasa.
 
Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu.

Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo Hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka
Kati ya Dodoma na Mbeya wapi ni njia ya Matetemeko?

Dodoma na Tokyo wapi Kuna Matetemeko au Dodoma China?

Teteko linaweza tokea popote na ni janga la asili kama ukame nk.

Hata ujenzi gorofa Moja au bila gorofa yaani ikiwa ndio kitovu chake inavunja vunja kama unavyovinja tambi za moo.
 
Upo sahihi Chiembe. Eneo la Dodoma lipo kwenye rift valley, maana yake lipo kwenye deep rooted structure. Kunapokuwa na movements za magma kwenye mantle, waves zilizokuwa generated, kwenye hizi deep rooted structures zinapenya na kuja kwenye uso wa Dunia zikisababisha maafa makubwa.

Maeneo ambayo ni earthquake prone hayatakiwi kuwa na majengo marefu wala kuwa na majengo yanayokaribiana sana kiasi kwamba hata ukikimbilia nje, hakuna mahali panapokuwa salama kwako.

Mwongozo wa awali wa CDA, Dodoma haikutakiwi kuwa na majengo marefu yanayozidi ghorofa 3. Kama wataalam mbalimbali wangeshirikishwa katika kuamua wapi kuwe mji mkuu, hiyo ya kuwa kwenye rift valley, ungeiondoa Dodoma.

Cha ajabu, Waziri Mkuu amewekwa katikati ya majabali ya mawe. Kukitokea tetemeko, hayo mawe yanageuka kuwa mabomu.
Ukiacha Pwani sehemu gani sio rift valley Tanzania hii?
 
Cha ajabu, Waziri Mkuu amewekwa katikati ya majabali ya mawe. Kukitokea tetemeko, hayo mawe yanageuka kuwa mabomu.

Hii ndiyo ajali za kujitakia kwa kutokuwa na serikali sikivu inayo kubali ushauri toka kwa raia na wataalamu.
 
Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu.

Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo Hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka
Mkuu nchi wanasiasa ni kila kitu, waheshimiwa ni wao, wataalamu ni wao, wabobezi na wajuvi wa mambo ni wao. Kwa hiyo tahadhari za kitaalamu nje ya "domain" yao, wanaona ni kama upuuzi.
 
Upo sahihi Chiembe. Eneo la Dodoma lipo kwenye rift valley, maana yake lipo kwenye deep rooted structure. Kunapokuwa na movements za magma kwenye mantle, waves zilizokuwa generated, kwenye hizi deep rooted structures zinapenya na kuja kwenye uso wa Dunia zikisababisha maafa makubwa.

Maeneo ambayo ni earthquake prone hayatakiwi kuwa na majengo marefu wala kuwa na majengo yanayokaribiana sana kiasi kwamba hata ukikimbilia nje, hakuna mahali panapokuwa salama kwako.

Mwongozo wa awali wa CDA, Dodoma haikutakiwi kuwa na majengo marefu yanayozidi ghorofa 3. Kama wataalam mbalimbali wangeshirikishwa katika kuamua wapi kuwe mji mkuu, hiyo ya kuwa kwenye rift valley, ungeiondoa Dodoma.

Cha ajabu, Waziri Mkuu amewekwa katikati ya majabali ya mawe. Kukitokea tetemeko, hayo mawe yanageuka kuwa mabomu.
Khaaaaaa mahabali sio madigo makubwa atar sasa Hawa walio plan kua mji mkuu walikua hawatazamii yaliyo ya baadae?😂😂
 
Lilishazingatiwa Hilo mda mrefu majengo yote yaliyopo hakuna lenye ghorofa 14+
 
Back
Top Bottom