Four-Star General
Member
- Nov 18, 2022
- 41
- 111
Hii kada ni ya wanyonge na wananyongwa kweli. Mke wangu ametumiwa meseji na mratibu wao kuwa yeye (mwalimu mkuu) pamoja na walimu wake wafike bila kukosa eneo la usa-river jumapili saa 1:00 asubuhi bila kukosa ili Rais atakapokuwa anapita basi awapungie mkono.
Cha kushangaza hakuna nauli wala posho, tena mratibu wao kawaambia kutakuwa fomu ya mahudhurio sasa ole wake mwalimu asifike aone cha mtema kuni.
Cc: mpwayungu village kwa taarifa
Cha kushangaza hakuna nauli wala posho, tena mratibu wao kawaambia kutakuwa fomu ya mahudhurio sasa ole wake mwalimu asifike aone cha mtema kuni.
Cc: mpwayungu village kwa taarifa