eneo

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TPA kuanza kuendesha eneo la TICTS Januari 2023

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), imesema kuanzia Januari Mosi, 2023 mamlaka hiyo italiendesha eneo lililokuwa likitumiwa na Kampuni Binafsi ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS). Kauli hiyo, imetolewa leo Jumatano Desemba 21, 2022 na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Juma Kijavala...
  2. Execute

    JamiiForums Tanzania Lile eneo chini ya Flyover ya Kijazi lililowekewa fensi waweke vibanda vya machinga

    Nimepita pale ubungo na kuona fursa kwa halmashauri. Chini ya flyover ya kijazi kuna eneo safi sana limewekewa fensi. Fanyeni kujenga daraja kama la manzese ili raia waweze kuingia pale ndani ya fensi kwa usalama na kununua bidhaa za machinga. Kwahivyo pale kwenye ile nafasi wekeni vibanda...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Zelensky atembelea eneo lililokuwa limekaliwa na Warusi tangu 2014

    Safari ya kufika Crimea bado iko pale pale, Zelensky ametembela eneo la Sloviansk ambalo lilikua limekaliwa na Warusi tangu 2014 na sasa lipo mikononi mwa wazalendo wa Ukraine. Vita kwa sasa vimechacha Bakhmut ambapo wanajeshi wa Urusi wameshindwa kiasi cha kupeleka makundi ya kulipwa ya...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa uchimbaji dhahabu (maduara) ni eneo gani bora kuwekeza kwa mtaji mdogo?

    Nimeona watu wanamiliki maduara, wengine wanamiliki crushers tu, wanasaga mawe ya watu, wengine wanamiliki plant au elusion plants. Wengine wanamiliki detectors wanakodisha, wengine ni wanunuzi wa dhahabu end products, wengine wanarundika michanga (marudio) yenye PPM nzuri na kuuza. Kwa mtaji...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Rais kukukumbusha maono yangu ya kulifanyia kazi eneo la Jangwani. Vizazi vitakuingiza katika kundi la mashujaa moja kwa moja

    Hili ono haliishi kunijia, nami, kwa upendo mkuu, nakufikishia Rais wangu mpendwa. Tafadhali fanya kitu pale jangwani; ondoa mateso ya mafuriko kila mwaka tangu tupate uhuru na badala yake ligeuze liwe eneo la kufurahi na kiuchumi, yaani 'kijiutalii' fulani hivi. Mama uwezo (fedha au mbinu za...
  6. system hacker

    JamiiForums Tanzania Hili ndio eneo linalopigwa hela ndefu pale RITA

    1. Ku reprint vyeti. 2. Vyeti vilivyokosewa. Nadhani kila cheti kitachokosewa kina dau lake refu sana. Bila shaka lile dustbin la vyeti vilivyokosewa ukilitandika from Dar laweza kufika hadi Zimbabwe na kurudi. Huu mchongo ni wa miaka na miaka no more no less.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Eneo la viwanda la Huawei lazinduliwa nchini Angola

    Hafla ya uzinduzi wa Eneo la Viwanda la Huawei imefanyika jana jumanne wiki hii katika mji mkuu wa Angola, Luanda, na kuhudhuriwa na rais wa nchi hiyo, João Lourenço. Kwenye hafla hiyo, Angola na kampuni ya Huawei zilisaini makubaliano kuhusu kuwaandaa watu wenye ujuzi wa kidigitali. Kutokana...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja DSM na Pwani

    VIWANJA VINAUZWA KWA OFA YA SABASABA VIWANJA vinapatikana Vigwaza ni km 8 kutoka barabara ya Morogoro na km 1 kwenda bandari ya nchi kavu. Kwa msimu huu wa sikukuu utapata kiwanja kwa gharama ya Tsh 1050 kwa sqm 1 Kama utalipa Cash na Tsh 1,250 kwa sqm 1 kwa mkopo ambapo utalipia 40% na...
  9. G

    JamiiForums Tanzania 2015 Nissan X-trail Hybrid Vs 2015 Honda vezel Hybrid gari zinazokuja kuteka soko kila eneo

    Nissan x-trail hybrid Honda vezel hybrid Gari zote ni cc chini ya 2000cc pia ni 4w drive consumption ya hybrid si chini ya 20km/l so nashauri kama unataka kaagiza gari basi zingatia hybrid cars kama hizo, maoni zaidi yanakaribishwa.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu

    Watu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga. Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao. Dunia nzima...
  11. B

    JamiiForums Tanzania RC Makalla atoa onyo eneo la Muhimbili hospitali mwisho leo kufanyika biashara

    29 October 2022 Dar es Salaam, Tanzania RC MAKALLA ATOA ONYO ENEO HILI LA MUHIMBILI HOSPITALI |MWISHO LEO KUFANYIKA BIASHARA Source : Dar es Salaam RS Digital More info : October 31, 2022 2 min read Na Heri Shaban, TimesMajira Online, Ilala RC Makala: Hospitali ya Muhimbili sehemu...
  12. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Tusipotoshe: Meli za nafaka zilizoondoka jana zilikuwa ndani ya eneo la Uturuki

    Quote: "On Monday, the Joint Coordination Centre (JCC) in Istanbul said the UN, Türkiye and Ukraine had agreed on a movement plan for 16 vessels that are located in Türkiye's territorial waters despite Russia’s decision to suspend the deal." Tuache upotoshaji wa Simba na Yanga hasa kwa Pro West...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huu hapa ukweli kuhusu majini (eneo ambalo wanapatikana kwa wingi jijini Dar es Salaam)

    Katika ulimwengu wa roho, Dar es salaam ni jiji ambalo wanaishi binadamu na majini. Majini ni nini? In my personal opinion which is based upon my personal understanding of the spiritual world, majini ni viumbe ambao kwa ujumla wao wapo more advanced in technology kuliko binadamu kwa ujumla...
  14. Ibrahimeliza

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutafuta eneo (location) kwaajili ya biashara

    Watu wengi tushawahi kuwauliza watu eneo kwaajili ya kufanyia biashara fulani, yaani baada ya kupata wazo unalitekelezea wapi...?? Njia rahisi ya kupata eneo sahihi kwaajili ya biashara yako ni WAZO. Ndiyo wazo lako linathamani gani..?? Ukishakuwa nawazo fikiria wazo hilo au biashara hiyo...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Je, Geita ni eneo hatari sana? Mbona walinzi wa Rais wamesimama juu ya gari?

    Vipi huko kanda ya ziwa hasa Chato, mkoani Geita ni eneo hatari sana? Inakuaje walinzi wa Rais Samia kusimama juu ya gari? Ndiyo wanawaogopa Sukuma Gang?
  16. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Tunauza Viwanja na kutafuta wapangaji wa nyumba

    Inatokea unataka kuja DODOMA kusoma, kuishi au hata kikazi, nakusihi uwasiliane namimi endapo mahitaji yako ni chumba cha kuishi, nyumba au hata appartment. Mpangaji huweza kulipia mara baada ya kuona chumba Kama ni mhitaji wa chumba,nyumba kama ni mhitaji wa nyumba. Mpangaji hutoa chaguo lake...
  17. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Bunge la Urusi limekubali maombi ya maeneo pendwa, sasa sheria kulinda eneo hilo

    Russia’s parliament fully ratifies unification treaties The Federation Council has approved agreements with four former Ukrainian regions on accepting them as new Russian territories Russia’s parliament fully ratifies unification treaties The Federation Council in session. © Federation...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Makaburi ya Waislamu ya Kawe Mzimuni yameshajaa Mamlaka itenge Eneo jipya ili 'Marehemu' wapumzike kwa Kujinafasi

    Kinachofanyika sasa katika Makaburi ya Waislamu Kawe Mzimuni siyo Uzikaji wa Staha bali ni kutupa tu Maiti kisha Kuifukia na Waombolezaji Kutawanyika. Ni kawaida kwa Muombolezaji akienda Mazikoni hapo Makaburi ya Waislamu Kawe Mzimuni kukutana na Mifupa ya Marehemu na hata Mafuvu yao kutokana...
  19. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu makali sana kwenye magego ya upande wa kushuto, msaada wenu tafadhari

    Upande wa chini wa kinywa maeneo ya gego(meno makubwa) upande wa kushoto chini , ninapata maumivu makali sana , leo usiku sijalala kabisa , ni tiba ipi inafaa
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Maswali yazuka ushindi wa Ukraine.Kadyrov asema hakuna eneo lililokombolewa.

    Ikiwa ni siku chache tangu habari zisambae kuhusu Ukraine kuwarudisha nyumba askari wa Urusi na kukombolewa kwa kilomita mraba zaidi ya 8000 imefahamika kuwa hizo ilikuwa ni habari za uzushi.Mwanzo imejulikana kupitia raisi Kadyrov wa Chechnya ambaye ni mshirika mkubwa wa raisi Putin.Amesema...
Back
Top Bottom