Tetesi: Waziri Jerry Silaa kuzuia ujenzi kituo cha mafuta, eneo lilikokuwa open space Moshi sasa lina Hati mmiliki

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,828
21,461
Waziri Jerry Silaa, chambua kwa kina taarifa Za eneo hilo.
Nikukumbushe tu kuwa eneo hilo lilikuwa open space na sasa lina hati kamili.
Mwisho panajengwa kituo cha mafuta.
 
Waziri Jerry Silaa, chambua kwa kina taarifa Za eneo hilo.
Nikukumbushe tu kuwa eneo hilo lilikuwa open space na sasa lina hati kamili.
Mwisho panajengwa kituo cha mafuta.
of all the people inside and outside CCM, huyu kinda ndiye waziri wa ardhi! Kwa outstanding qualifications zipi?
 
Hii nchi hii
Jerry silaa ndio WAZIRI eti.🤣🤣🤣

Nchi ya kisenge sana hii 😏
 
Waziri Jerry Silaa, chambua kwa kina taarifa Za eneo hilo.
Nikukumbushe tu kuwa eneo hilo lilikuwa open space na sasa lina hati kamili.
Mwisho panajengwa kituo cha mafuta.
Kituo kinaendelea kujengwa tena mcha peupe huku waziri akiwa amezuia ujenzi.
Nchi inaelekea wapi hii?
 
Back
Top Bottom