Nahitaji Eneo la Biashara ya Chipsi

Zikwe

JF-Expert Member
Mar 13, 2013
239
131
Habari Wana JF, Kama Kichwa Kilivyoeleza. Nahitaji Eneo la Biashara ya Chipsi Na Mgahawa Kwa Kupanga Na Ikiwezekana Tuma Na Picha Ya Eneo Lenyewe tuje tuingie Mkataba.
Haya ndo Maeneo Ninayoitaji Eneo Hilo Liwepo;
i) - Sinza
ii) - Kinondoni
iii) - Magomeni
!v) - Mbezi Karibu na Magufuri Stendi
v) - Kariakoo
Kama Unalo Hilo Eneo Nicheki
WhatsApp/Phone = 0657 33 28 14
 
Na mimi natafuta maeneo kama haya. Ispokuwa Mbezi kwa Magufuli tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom