Eneo serikali ya ccm imeupiga mwingine ni kwenye teuzi na tenguzi

sammosses

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,682
1,110
Katika eneo ambalo CCM na serikali yake ina upiga mwingi kwa msemo wa machawa na wafuasi wake ni kwenye uteuzi na utenguzi.

Hii ni moja ya sera yao ambayo hakunadiwa katika ilani yao lakini wasimamizi wake wa ilani wanaishadadia sana.

Huu ni mfumo ambao unazoeleka lakini hatuoni impact ya panga pangua,hususani ukizingatia hatuna vipau mbele vya Taifa.

Rejea ahadi za umeme Toka JK akiwa Rais,Baraza lake na mawaziri wenye dhamana hiyo mpaka Leo kwa dada yake Samia Kuna tija yeyote katika kulikabili tatizo Hilo!

Je tukisema uwezo wa CCM kuungoza umefika kikomo zaidi kilichobaki ni kupoteza muda kwa teuzi zisizo na mashiko kwa Taifa.

Ni lini Taifa litegemee ustawi wa wananchi wake ikiwa kazi iliyobaki ni kulipana mishahara na uteuzi tu.

Nini mpango kazi wa serikali kwa kutanguliza vipau mbele vya muda mrefu,wa kati na mfupi! Kama uwezo umekuwa mdogo wapishe wengine kwa hiyari, madaraka yasiwe kufa na kupona,wakati hii nchi ni yetu sote.

Toka ameingia anatengeneza safi lakini hakuna impact yeyote,watueleze
 
Ukiona hivyo lengo lake huwa ni kudraw attention ya watu kuwahamisha toka mjadala mmoja kwenda mwingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom