elimu

  1. Mdudu Mende

    JamiiForums Tanzania Sitathubutu kuoa mwanamke mwenye elimu duni

    Nimesikia watu kadhaa wakisema wanawake wasiosoma ndio wazuri, lakini naona kwa karne ya sasa hali inaweza kuwa tofauti. Nimewahi kuwa na wasichana kadhaa, wengi wao ni wale ambao nafanana nao elimu, ila nikajitela kuja kuishi na mwanamke ambaye nimemuacha parefu. Aisee sio kwa balaa hili, kwa...
  2. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Hoja alizoibua CAG sio ufisadi mpaka zikose majibu

    Upuuzi ni ile hali ya kutotumia busara muda wote na kujadili ujinga ili hali unatakiwa kujadili masuala ya msingi. Utaratibu wa kufanya auditting unajulikana dunia nzima. Mkaguzi huibua hoja anapokuwa anafanya kaguzi. Hoja hizi mara nyingi huwa ni mashaka juu ya muamala uliofanyika na mara...
  3. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania CAG: Watoto wa Masikini wapigwa chini mikopo elimu ya juu, Watoto wa matajiri wala bata

    Hakuna wa kumlaumu kama kwa %kubwa wasiojiweza wamekosa mikopo ili hali wanavigezo. Kwani Mama Mwenye nyumba alishasema " hata watoto wenye uwezo nao wanufaike mikopo" yote hayo ni kupindua mambo aliyofanya Past President kwajuhudi alizokuw akifanya. Na kwasababu alitamki ulitegemea board...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya Kidato cha Nne na Certificate ya Secretarial Courses

    Habari Wapendwa, Mimi ni kijana wa kike Nina umri wa miaka 35, Elimu yangu kidato cha nne na Nina certificate ya secretarial. Natafuta kazi kati ya hizi:- Secretary Stationary Reception Costumer care Nina uzoefu wa kazi kwa miaka 10 katika computer full na stationary service. Nimewahi kufanya...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu: Elimu ya juu inaporomoka, viwango vya Uprofesa vimeshuka

    WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema elimu ya juu inaporomoka huku akishangaa kushuka kwa viwango vya kupata uprofesa. Hali hiyo imemfanya ayatake Mabaraza ya Vyuo Vikuu Tanzania kuwepo na ubora kwa kutoshusha vigezo ili kupata watu wengi. Alitoa kauli hiyo jana...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kinana ukiingia Tanga mtafute Bhoke Nyarobi, Afisa Elimu aliyenyanyaswa akaacha kazi

    Katika mapokezi ya makamu mwenyekiti wa CCM bara ndugu Abrahaman Omari Kinana jana, amesema amepewa maelekezo na mwenyekiti wake aanze kupitia baadhi ya mikoa ikiwemo mkoa wa Tanga. Kinana utakapo karibia Tanga fanya liwezekanalo hata kwa dakika chache uonane na aliyekua afisa elimu taaluma...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Muhtasari wa elimu ya Maombi, Dua na Sala kwa Mtu Binafsi, na Familia

    MAOMBI, DUA NA SALA KWA MTU BINAFSI, AU FAMILIA Anaandika, Robert Heriel. Andiko hili lafaa kwa mtu yeyote, lafaa kwa rika zote, hadhi, elimu na hali. Andiko hili ni sehemu tuu ya kumbukumbu kwa wajuao mambo haya, aidha andiko hili ni elimu ya manufaa kwa wageni wa mambo haya. Haya basi...
  8. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mwanza jiji: wanafunzi wa shule ya Msingi Kasota wakipata Elimu chini ya Miti

    Wakuu Kwa mujibu wa Mkuu wa Shule hii, Hii Shule ina madarasa ambayo hayakidhi mahitaji kabisa. Shule iko katika manispaa ya jiji la Mwanza, ina eneo kubwa tu ambalo wangeweza kuongeza madarasa matatu ama manne kabisa ambayo yangekidhi mahitaji ya shule.
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Haki Elimu linadhalilisha kada ya Ualimu

    Mwalimu yupo darasani anasema, which is talking? Wanafunzi wanaishia kushangaa. Tangazo hili la haki elimu ni kama linadhalilisha kada ya ualimu. Je ni kweli walimu wengi hawajui Kiingereza? Sasa inakuaje mtu anafika hadi chuo kikuu hajui kimombo? Je kada nyingine nazo vipi kuhusu kujua...
  10. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Elimu ya awali na UFUNDISHAJI unaozingatia syllabus ya Tanzania

    NAMNA YA UFUNDISHAJI WA UJUZI WA KUSOMA KWA WATOTO KWA MJIBU WA SYLLABUS YA AWALI TANZANIA Na mwalimu Lameck 0785663328 Elimu ya awali Tanzania, kwasasa inamwongozo mzuri Sana, tatizo limebaki kwa walimu wengi wa awali wasioujua mtaala na syllabus, hawa ndiyo wanadhani kufundisha chekechea ni...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe alia ubaguzi katika mfumo wa elimu Tanzania

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ametoa msimamo wa chama chake, akisema kikifanikiwa kushika dola, lugha itakayotumika ni Kiingereza ili kuondoa alichokiita ubaguzi wa kiajira unaotokana na vijana wengi wa Kitanzania kutoijua lugha hiyo. Akiwa wilayani...
  12. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza. Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji mjadala wa Mabadiliko ya Elimu. Maprofesa watatupiga na kitu kizito tusipokuwa makini

    Watanzania wamepiga kelele we mara wakateuliwa maprofesa kushika Wizara ya Elimu na wakatueleza tutulie mabadiliko yako yanafanyiwa kazi. Niseme kitu kimoja " Sijawahi kuwaamini maprofesa wetu", nahisi watastup[iga na kitu kizito. Nimefuatilia michango ya maprofesa wetu mpaka juzijuzi hapa...
  14. Shaycas

    JamiiForums Tanzania Maarifa na Elimu Muhimu katika Maisha

    Soma kitabu hiki kuongeza maarifa na kipato zaidi 'WEWE NI TAJIRI: UMASIKINI UNAUTAKA MWENYEWE' kutoka CALIPA - CAS Life Purpose Academy Unajali Mafanikio yako, ya Mwanao au Ndugu yako Katika Elimu, Kijamii na Kiuchumi? Jisomee kitabu hiki: "MTOTO NA MAFANIKIO" hapa CALIPA - CAS Life Purpose...
  15. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Sera ya Elimu yataka umri wa elimu lazima kuwa miaka 10

    WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imeunda timu ya kuanza kupitia Sera ya Elimu ya Mwaka 2014 ambayo miongoni mwa mambo yanayotajwa kwenye sera hiyo ni elimu ya lazima kuwa miaka 10 badala ya saba. Hatua hiyo itakwenda sambamba na mabadiliko ya mitaala ya elimu kuanzia elimu ya awali...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kipaji pekee hakitoshi, Elimu ni msingi muhimu katika ukuzaji wa Sanaa

    Sanaa mara nyingi imekuwa ikitokana na kipaji ambacho msanii anazaliwa nacho, msanii aliyezaliwa na kipaji fulani hufanya vizuri zaidi katika fani husika kwani kitu afanyacho kipo kwenye damu na hufurahia kukifanya. Lakini msanii huyu ili afanye vizuri zaidi anatakiwa kuongezewa elimu katika...
  17. Da Gladiator

    JamiiForums Tanzania Wadau wa elimu, sel-form zipo hewani

    Asalaam Aleykum, Naona Tamisemi walishaweka form za SelForm katika tovuti yao, hivo kama mdau wa elimu(mhadhiri, mkufunzi, mwalimu na mwanafunzi n.k) Karibuni tutoe ushauri juu ya namna ya kufanya ili watoto na vijana wetu wapate miongozo iliyo karibu na usahihi.
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu Msingi, Sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu Waongezeka

    Nianze kwa kumpongeza Prof Adolf Mkenda kwa kazi nzuri aliyoifanya Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu msingi, sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu wa kufundisha madarasa ni Waongezeka. Hii ni baada ya malalamiko mengi kuandika Jf sasa...
  19. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Msaidieni rafiki yangu achague lipi kati ya Ndoa au Scholarship (Elimu)?

    Ni rafiki yangu wa kazi, tumpe Jina la John (yupo Halmashauri jirani). Amenipigia simu, na amenieleza jambo fulani nimeshindwa kumshauri. Sababu ya kushindwa kumshauri ni kwamba; mi ningemjibu fasta kuwa PIGA CHINI NDOA fata SHULE ila "the problem is" alishani tahadharisha nisiwe "bias" katika...
  20. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Mapambano ya shetani dhidi ya elimu ya Mungu yanaendelea

    Baada ya kuwaza na kuwazua yule Mwasi mkuu yaani Shetani akaja na wazo ili kudumisha wazo lake la kutokufa hakika (Mwanzo 3:4),alitunga Uongo mwingine ili kulinda uongo wake wa awali. Wazo lake likawa hivi: MTU AKIFA ROHO YAKE HAIFI,ITAENDELEA KUISHI MAHALI PENGINE. Katika uongo huu ameilevya...
Back
Top Bottom