elimu

  1. kataip

    JamiiForums Tanzania Suala la elimu na kipato cha mwanamke na machungu kwa wanaume.

    Habari Ikiwa kutafuta elimu ni lazima kwa kila mwenye akili, hawa wanaume wasiojiamini wanapata wapi ujasiri na hofu wa kuogopa wasomi.?? Ni wazazi wangapi wenye mabinti wamewaandaa mabinti zao kuwa mama wa nyumbani kwa kuishia darasa la saba na kidato cha pili? Naona idadi ya wanaume inazidi...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Bajeti kwenye Familia.

    ELIMU YA BAJETI KWENYE FAMILIA! Anaandika, Robert Heriel. Picha linaanza nikaambiwa kwenye maisha hakuna pesa ndogo, sijafika mbali naambiwa nisiidharau pesa yoyote ipitayo mikononi mwangu. Picha linaendelea naambiwa usidharau kazi yoyote Ile ambayo iko mbele yako, siku zote fanya...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wasomi wanavyosindwa kumwelewa "prof" Kishimba kuhusu elimu

    Nimemsikiliza kwa makini sana Mbunge Kishimba na nimegundua mzee huyu anaongea mambo makubwa sana ambayo vyuo vyenye wataalamu wenye uelewa wangemtunuku mbunge huyu mwenye elimu ya darasa la saba uprofesa. Mzee Kishimba anasema tuweke malengo ili elimu yetu iwe hivi mtoto akimaliza kidato cha...
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulipofumua na kufuma upya mfumo wetu wa elimu, Watanzania walikejeli humu, sasa wanaiga

    Kama kawaida yao hawa majirani huchelewa kwenye vyote, hutucheka kila tunapothubutu ila baadye huishia kufuata nyayo zetu, wameanza mipango na jitihada za kufumua mfumo wao wa elimu maana unawachelewesha. =========== Dar es Salaam. The government yesterday disclosed areas that need to be...
  5. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Riziki Shahari: Hakuna Elimu Bila Walimu, Serikali Imalize Ukosefu wa Walimu

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA ELIMU ACT WAZALENDO NDG. RIZIKI S. MNGWALI KUHUSU HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023 Utangulizi: Ndugu Waandishi wa Habari, Jana tarehe 10 Mei 2022 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipokea na kuanza...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Marie Stopes yatoa Elimu ya Afya ya Uzazi kwa Wanahabari na Wadau

    Shirika la Marie Stopes Tanzania (MST), limewakutanisha waandishi wa habari zaidi ya 33 pamoja na wadau wengine jijini Dodoma na kuwapa elimu ya afya ya uzazi na kuwaeleza shughuli zinazofanywa na shirika hilo hapa nchini. Waandishi hao pia walipata fursa ya kufahamu shughuli nyingine za...
  7. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Tamisemi na Wizara ya Elimu mawazo ya Profesa Kitila Mkumbo yasipuuzwe

    Mawazo aliyoyatoa mbunge wa ubungo kilita mkumbo kuhusu kufuta cheo cha afisa elimu kata ni mazuri na yana tija kwani shughuli wanazofanya hao watu zinaweza kufanywa na mwalimu mkuu, au mkuu wa shule na tena serikali ikaokoa kiasi cha pesa kwani wanalipwa posho ya madaraka laki mbili na nusu...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Mitaala inayotengenezwa haimsaidii Mtanzania

    Katani Ahmed Katani (Mbunge wa Tandahimba) amesema Vyuo vinaendelea kutengeneza Mitaala na Kozi ambazo hata Mhitimu akienda 'Ajira Portal' hakutani na kitu alichosomea. Amesema, "Tunaendelea kutengeneza Mitaala ambayo haiendi kumsaidia Mtanzania" Amefafanua, "Tunaendelea kutumia Mitaala ya...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwanaisha Ulenge: Hakuna usawa katika upatikanaji wa Elimu

    Mbunge wa Viti Maalum, Mwanaisha Ulenge amesema Tanzania haina usawa katika upatikanaji wa Elimu kwasababu ipo Mikoa ambayo bado ipo nyuma Kielimu, ikimaanisha kuna watu wataendelea kubaki nyuma kimaendeleo Amefafanua, "Wakati tunaenda kufanya Mapitio kwenye Sera ya Elimu, tufanye Tafiti kujua...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wengi wa Kikristo wanachelewesha maisha ya watoto wao sana. Wanatoa sapoti ya elimu tu

    Habari wadau. Nimegundua wazazi wengi wakristo wa Tanzania bara wagumu sana kusapot watoto wao nje ya kulipa ada za shule na vyuo. Hata kama wana uwezo Ukiomba mtaji hawakupi ila ukitaka kusoma mpaka phd ada italipwa. Nina jamaa nawaona wana wazazi wapo vizuri ila hawapewi sapot za maisha...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Karatasi (Ream paper) kupanda bei hadi Tsh 20,000/=, Itaongeza ugumu wa elimu Tanzania

    Bei ya karatasi kwa Rimu reja reja ilikuwa 7000~12000/= Hivi sasa Bei imepanda ghafla bei ya Reja reja ni 18000~25000/= Je wizara ya elimu haioni kwamba hili litachangia kuongeza ugumu wa elimu kwa watoto wetu endapo gharama za uchapaji na ufundishaji zitaongezeka kutokana na kupanda kwa bei ya...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia asoma Bajeti ya Makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2022/23

    HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. ADOLF FAUSTINE MKENDA (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2022/23 A. UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lakoTukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...
  13. Augustine Moshi

    JamiiForums Tanzania Education is politics

    There is a raging debate on education in Tanzania at the moment. This is as it should be. But there is a lack of clarity on foundational matters. The political elite is blaming curricula for the woes in education. But we are in fact using the same kinds of curricula that are being used in...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TWAWEZA yawasilisha Matokeo ya Mpango wa 'KiuFunza' ambao umesaidia Wanafunzi 26,000

    Baada ya majaribio ya miaka mitatu, Twaweza, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, wameonesha kuwa malipo ya fedha kwa walimu kulingana na utendaji (au malipo ya ufaulu) yanaweza kuchangia kuboresha stadi za...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waliosomea shahada ya mifugo, misitu, kilimo, kuitwa Afisa mifugo, afisa misitu, afisa kilimo. Lakini waliosomea shahada ya elimu hawaitwi afisa elimu

    Hii imekaaje? Waliosomea nyanja ya mifugo, misitu, kilimo, uuguzi, nk katika ngazi ya shahada na kuendelea hutambuliwa kama maafisa katika nyanja zao kama vile afisa mifugo, afisa misitu, afisa kilimo, afisa uuguzi nk, na jamii kukubali kuwa wanastahili kutunukiwa uafisa katika maeneo yao ya...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Afisa elimu sekondari Songwe huko kwenye semina ya sensa zingatia yafuatayo

    Huyu mheshimiwa ndio amebaki wilaya ya Songwe baada ya God father wake kupelekwa Tabora. Watu wa Tabora chukueni tahadhari zote kuwania ameanza kuwahamisha watumishi wake vipenzia aliokuwa anafanya kazi nao mkoa wa Songwe kuwahamishia Tabora. Muwe makini hawachelewi kujazana maofisi huko...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mnaoomba kazi za Elimu na Afya kuweni serious

    Aisee jana katika pitapita zangu nikaona wadau wanaoomba ajira nikaona hiki ni kisanga. Yaani mtu kaandika barua kwa mkono kaipiga picha kwa simu anataka ku-upload aombe kazi. Hivi ulimwengu wa sasa mtu aanze kuhangaika na liandiko lako libaya, tena umelipiga picha kwa simu, serious? Wengine...
  18. A

    JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI

    CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI Mwenge catholic university vimeingizwa vyuo viwili hali ya kuwa kipo kimoja tu hivyo vyuo viwili vinavyoyumia jina moja la mwenge catholic university kimoja kina course nne (4) ambazo ni (1) ordinary diploma in holder certificate of secondary...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu na TAMISEMI kwa nini mnawatenga walimu wa Computer Studies?

    Ndugu wanna jamvi kuna changamoto inatokea kwa baadhi ya walimu kutokupewa vipaumbele kabsa. Kuna vijana wamehitimu udom 2015 wakiwa wamesoma computer studies na masomo ya sanaa ila wamebaguliwa kila ajira. Serikali inatoa kipaumbele kwa Chinese language unaacha computer studies? Je, mbona...
  20. mwenye shamba

    JamiiForums Tanzania Viambatanisho vya ajira Idara ya Elimu - TAMISEMI

    Jamani nipo kijijini maporini huku natumia opera mini. Naombeni mnijulishe ni vitu gani niviandae ambavyo vimeambatanishwa kwenye tangazo la ajira? Je,barua ya kujitolea nayo ni muhimu?
Back
Top Bottom